
29/11/2022
VIDONDA VYA TUMBO SASA VIMESHAJULIKANA TIBA YAKE SAHIHI ILIYOTHIBITISHWA.
Dr MTAWA 0717418778.
Vidonda vya tumbo ni michubuko au makovu yanayotokea ndani katika kuta za tumbo au katika kuta za utumbo mdogo. Vidonda hivi husababiswa na bacteria anayeitwa Helicobactor pylori (H. pylori) ambaye huharibu utando unaokinga kuta za utumbo kutokuharibiwa na tindikali, hivyo husababisha ukuta wa utumbo kuharibiwa na tindikali na kupelekea vidonda katika kuta hizo za tumbo.
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna aina zipatazo mbili za vidonda vya tumbo:
i. Vidonda vya tumbo kubwa: hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
ii. Vidonda utumbo mdogo: hivi ni vidonda vya tumbo ambavyo vya hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
SABABU ZINAZOPELEKEA VIDONDA VYA TUMBO Zipo sababu nyingi lakini zilizo kuu ni hizi mbili:
i. Bacteria anayeitwa Helicobactor pylori (H. pylori)
ii. Tumbo kuunguzwa na kemikali.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Kiungulia au maumivu makali k**a kuungua katikati ya kifua
2. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiliwa
3. Kupata maumivIDONDA YA VIDONDA VYA TUMBO
1. Kupata saratani ya tumbo
2 . Kuziba kwa njia ya chakula
3. Kuathiri ini na kongosho
4. Kusababisha tundu katika tumbo na kusababisha tumbo kutoboka kwa ukuta wa tumbo
MATIBABU/ TIBA YA VIDONDA
Katika kampuni yetu ya BIGHT FUTURE tunatibu tatizo hili kwa kutumia dawa zifuatazo:
1. PROBIO 3: Kuongeza ulinzi kwenye tumbo na kuondoa bacteria wabaya
2. YUNZHI: Kuongeza kinga ya mwili, kuponyesha vidonda haraka.
Dozi ni siku 15 tu.
NAKUAHIDI NITAKUSAIDIA HAIJALISHI ULIKUTANA NA WATU WANGAPI WALIOSHINDWA KUKUPA MSAADA WA UHAKIKA.
Karibu Sana kwa ushauri,maswali na Tiba
By Dr MTAWA 0717418778.