27/10/2022
FAIDA ZA FOREVER LYCIUM PLUS
Imetokana na matunda ya lyceum na liquorice ambayo yaligundulika bara la Asia kwamba huboresha kinga ya mwili. China hujulikana k**a ‘yintonic’.
>Ina amino acids na vitamin, liquorice iliyotumiwa ina viini lishe zaidi ya 150 yenye mafufaa mwilini.
>Huwezesha vitamin C ambayo ni anti-oxidant kuingia na kutumika ipasavyo.
Hupunguza kasi ya uzee (mikunjo), kuongeza nguvu, kuondoa maumivu ya mgongo na viungo
Inaboresha uwezo wa macho kuona vizuri, rangi na muonekano wa ngozi
Inalisha ini na figo
Huondoa athari ya mionzi na kwa wale wanaopewa matibabu ya madawa makali
Liquorice yake inasaidia kuondoa vimbe,vidonda vya tumbo midomo na mwilini, na kikohozi
Huondoa sumu za free radical, huimarisha kapirali za damu, husaidia mzunguko wa damu, na kupunguza athari ya damu kuganda(clotting)
Inashusha homa, na kusafisha sumu zaidi ya mara 60-100 ya vitamin E na C.
Piga/What’s app +255759025687