19/09/2022
TATIZO LA TEZI DUME LIMEKUA TISHIO KWA AFYA YA WANAUME KWANZIA MIAKA 35+.
Matatizo Ya Tezi Dume Husabaishwa Na Vitu Mbalimbali Ikiwemo
✓Umri Mkubwa, Hupelekea Baadhi Ya Organs Kushindwa Kufanya Kazi Ipasavyo
✓Maradhi mengine K**a Kisukari, Pressure Acid Nyingi, Cholesterol.
✓Matatizo Katika Njia Ya Mkojo Na Maambukizi Ya Mara Kwa Mara
✓ Ufanywaji wa Ngono wa Mara Kwa Mara Unaihatarisha Afya Ya Tezi Dume.
✓ Utumiaji wa Mara kwa Mara Madawa Makali ya kuboost Nguvu za Kiume
✓Kuwekewa Mipira Ya Mkojo Mara Kwa Mara.
✓Ulaji Mbovu Unaopelekea Kukosa Madini Na Malighafi Mwili Muhimu Kwa Ajli ya Kulinda Na kuujengs Mwili.
✓Nature Za Kazi Ngumu Na Kukaa Muda Mrefu Bila Kazi
✓Kurithi. Tezi Dume Huweza Kuwa Pia Katika Vina Saba Vya Familia Fulani, Hivyo Unakuta Kila Mwanaume Au Asilimia Kubwa Ya Wanaume Kwenye Familia Hiyo Hupats Tatizo Hilo Wanapokua Na Umri fulani
DOSE HII YA TEZI DUME INA FAIDA ZIFUATAZO
✓ Inatibu Tatizo la TEZI Dume Pasipo Kufanyiwa Upasuaji (Ni Nzuri Pia Kwa Waliokwisha Kufanyiwa Upasuaji Ili Kuzuia Na Kutibu Kabisa Tatizo Lisijirudie)
✓ Inazuia Na Kutibu Saratani Ya Tezi Dume
✓ Inalinda tezi na kuzui kuongezeka kwa tezi dume
✓ Inadumisha Afya ya Mkojo
✓ Inaboresha Ufanisi Wa Tendo La Ndoa
✓ Inaondoa Maumivu Ya Kiuno Na Wakati Wa Kukojoa
✓ Husaidia Kufika Kileleni Vizuri Bila Maumivu.
Matokeo Ya Awali Ni Ndani Ya Siku Tatu Mpaka Wiki Tatu
Muda wa Kupona ni siku 90 mpaka 180 kutegemea na
✓Umri Wa Mtu
✓Umri Wa Tatizo
✓Chanzo Cha Tatizo
✓Ukubwa Wa Tatizo
✓Kinga Za Mwili.
Kwa taarifa Zaidi
+255754877333