Chrissy uzazi

  • Home
  • Chrissy uzazi

Chrissy uzazi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chrissy uzazi, Pharmaceuticals, .

21/06/2020

*MAUMIVU_YA_TUMBO_LA_HEDHI* *(Dismenorrhea)*
Hujitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni au wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake au kabla ya hapo.

Maumivu hayo huweza kuwa madogo au ya wastani. Huanza pale tu yai linapotoka katika mirija (fallopian tubes) na kuteremka chini ya mrija wakati wa ovulation

*AINA_YA_MAUMIVU*
1: Maumivu yasiyokuwa na sababu zozote kimsingi na kitiba. Hutokea sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni. Huanza siku moja kabla ya hedhi na humalizika baada ya siku mbili au nne.
2: Maumivu yanayojumuisha na sababu nyinginezo za kitiba k**a vile; matatizo ya kizazi, ugonjwa wa nyonga na matatizo katika mirija ya mayai.
Kadhalika imegundilika sababu zinazopelekea kuongeza uwezekano wa kuumwa tumbo wakati wa hedhi
-Umri chini ya miaka 20
-Kuvuja ungo wakati wa miaka 11 au chini
-kutoka damu nyingi wakati wa hedhi
-wanawake ambao hawajawahi kuzaa

magonjwa ambayo husababisha maumivu wakati wa hedhi ni:-

*ENDOMETRIOSIS*, ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kutoka nje ya fuko hilo au hata sehemu nyinginezo

*ADENOMYOSIS,* ni uvimbe au tezi (tumors) ziotazo katika mfuko wa uzazi

*PID* ni ugonjwa wa nyonga au uvimbe katika nyonga

Mlango wa uzazi unapokuwa mdogo kiasi kwamba unazuia damu ya hedhi isitoke kwa urahisi
Pia kuna baadhi ya magonjwa ambayo yanayoweza kusababisha mtu kupata maumivu ya tumbo la hedhi ni;
Ugonjwa wa nyonga ambao mara nyingi husababishwa na bacteria watokanao na zinaa.

maumivu ya tumbo la hedhi hutegemeana na mtu na mtu. Mwingine anaweza pata dalili zote ma mwingine moja na mwingine baadhi tu au hata dalili moja. Wanawake wengi hujitambua tu bila msaada wa daktari

*MATIBABU*
kwa kawaida hutibika kwa urahisi kwa kutumia dawa za kupunguza maumivu au kwa njia ya tiba lishe kwa kutumia virutubisho ambavyo huweza kukuponesha kabisa na tatizo likaikasha

18/06/2020

*NGONO YA MDOMONI NI HATARI JE, UPO TAYARI KUFURAHI KWA MUDA KIDOGO LAKINI BAADAE UJUTE!?*

Oral s*x siku hizi imekua ikifanywa sana na makundi ya rika zote kwa kigezo cha kuridhishana kimapenzi.. Lakini mara nyingi hua kimbilio la wengi hasa wale wanaoogopa mimba na hata wale ambao majogoo wao huchelewa kuwika...

👉Kwanza tujue maana ya oral s*x….
Kuna aina nyingi za oral s*x ambazo ni;

*Madhara ya Oral s*x ni kupata;*

HUMAN HERPERSVIRUS (HHV-1 &-2)
Human Herpesvirus-1 (HHV-1) ni virusi ambao hushambulia sehemu za siri na kusababisha ugonjwa uitwao ge***al herpes. Mara nyingi ugonjwa huu hutokea baada ya Kufanya ngono kwa njia ya mdomo au kwa kitaalamu “ *oral-ge***al s*xual in*******se* ”.
Human Herpesvirus-2 (HHV-2) pia husababisha malengelenge katika sehemu za siri..
👉Dalili hutokea baada ya siku tano baada ya kuambukizwa na virusi hawa. Sio mara zote watu wenye virusi hawa hutokwa na malengelenge sehemu za siri bali watu wengine wanaweza wasiwe na dalili yoyote ya virusi hawa na huambukiza wengine kwa urahisi zaidi kuliko yule mwenye malengelenge.

👉Mgonjwa anaweza kuhisi maumivu, kuungua, kuwasha, au unyeti wa ngozi kwenye maeneo ambapo Ge***al herpes wamezaliana.

👉Maambukizi hutokea wakati herpesvirus inapovamia midomo, ulimi, au ngozi yenye vidonda au michubuko.

👉KANSA YA KOO
Oral s*x au mapenzi kwa njia ya mdomo yanaweza kukusababisbia kupata virusi vinavyoitwa Human Papilloma Virus (HPV) ambavyo hushambulia koo na baadae unaweza kupata *kansa ya koo* .

👉Syphilis lesions (malengelenge ya kaswende)
Malengelenge ya kaswende hua yanatokea katika sehemu za siri na mara chache kwenye chuchu za maziwa. Lakini malengelenge hayo yanaweza kutokea kwenye midomo k**a utafanya mapenzi ya mdomo na mtu mwenye ugonjwa huo.

👉Chlamydia trachomatis
Bacteria hawa wamekua wakiwashambulia sana vijana kati ya miaka hii ya karibuni. Mara nyingi vijana wengi hukutwa na bakteria hawa katika koo zao.

Inaaminika wameambukizwa kwa kufanya mapenzi kwa njia iyo

16/06/2020

Wenye matatizo yote kiafya lipo suluhisho
Wale wenye
PID,UTI Sugu
Fangasi
Miwasho
Wanaotafuta mimba
Sukari, presha
Nguvu za kiume
0766178229 nipigie

Address


Telephone

0766178229

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chrissy uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram