19/01/2026
Mafunzo ya wafanyakazi wapya yamefanyika leo Nilax Home Care, yakiongozwa na Madam May (Board Member) βοΈ
Tumejikita katika misingi ya huduma za uangalizi nyumbani, kanuni muhimu na tofauti kati ya huduma za nyumbani na hospitalini.Huduma bora huanzia kwenye maandalizi sahihi.