Dr_Shekiondo

Dr_Shekiondo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr_Shekiondo, Doctor, Ilala, Dar es Salaam.

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???0624272067-maumivu makali kwenye magoti-magoti kushindwa kujikunja -kusikia milio ya...
29/09/2022

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???
0624272067
-maumivu makali kwenye magoti
-magoti kushindwa kujikunja
-kusikia milio ya magoti kusagana
-kushindwa kuinama
-kusikia ganzi kwenye miguu
-mifupa kusagana
-maumivu kwenye maungio (joints)
-kiuno kuuma
-mgongo kuuma
-pingili za vidole kuvimba (gout)

SABABU KUU INAYO SABABISHA CHANGAMOTO HIZI NI K**A !

-Ajali
-Uzito ulipindukia
-kutumika kwa viungo kupitia kiasi mfano wanamichezo
-Historia ya familia
-Umri (30+)

JE UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU BILA SULUHU YA UHAKIKA ?

JE ULIFANYIWA UPASUAJI NA KUWEKEWA VYUMA ILA BADO MAUMIVU NI MAKALI SANA NA MIFUPA BADO INASAGANA ?

HUNA HAJA YA KUHANGAIKA TENA TUNAYO SULUHU YA VIRUTUBISHO AMBAVYO VITAONDOA KABISA CHANGAMOTO YAKO YA MUDA MREFU YA MIFUPA NA HAITOJIRUDIA TENA

Wasiliana nasi kupitia 0624272067
Pia UNAWEZA KUJA WHATSAPP sasa hivi kupitia link hii direct
JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???

-maumivu makali kwenye magoti
-magoti kushindwa kujikunja
-kusikia milio ya magoti kusagana
-kushindwa kuinama
-kusikia ganzi kwenye miguu
-mifupa kusagana
-maumivu kwenye maungio (joints)
-kiuno kuuma
-mgongo kuuma
-pingili za vidole kuvimba (gout)

SABABU KUU INAYO SABABISHA CHANGAMOTO HIZI NI K**A !

-Ajali
-Uzito ulipindukia
-kutumika kwa viungo kupitia kiasi mfano wanamichezo
-Historia ya familia
-Umri (30+)

JE UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO. HUNA HAJA YA KUHANGAIKA TENA .

Wasiliana nasi kupitia 0624272067
……
Pia unaweza kuja whatsapp sasa hivi direct 0624272067

KARIBU TUKUHUDUMIE .ASANTE

28/08/2022

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE. 0624272067

Bawasiri ni nini
Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk

SABABU YA BAWASILI

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.Uzito kupita kiasi(Overweight)

Ujauzito
3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali

4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu

5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

6.Kujisaidia Choo Kigumu.

Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya Tumbo
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni

AINA 2 ZA BAWASIRI

BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI

Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI

1.Upungufu wa damu mwilini

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.kupungukiwa nguvu za kiume

5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.Kupata tatizo la kisaikolojia

Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua

TIBA YA BAWASILI

Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuaji

Ila tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji

Kwa maelezo zaid wasiliana nasi 0624272067

Doctor

Address

Ilala
Dar Es Salaam
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr_Shekiondo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category