
17/10/2023
Dr Bellam
0733883199
VIUNGO NA MIFUPA
Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapofika umri was miaka 30 na kuendelea.Hapa Sasa mtu ataanza kuhisi maumivu makali kwenye magoti,pingili za mgongo,nyonga na shingoni pia wapo ambao viungo vyao huuma mwili nzima kutokana na upungufu was madini muhimu K**a vile zink na calcium
Kitaalamu matatizo haya yamegawanyika katika makundi makuu manne (4) nayo ni_
1:osteoarthritis- ambayo viungo vinasagana kutokana na kulika kwa gegedu(cartilage) na Ute kuisha kwenye maungio
2:Rheumatic Arthritis--hii ni ile Hali ya Kinga ya mwili kutafuna gegedu(cartilage) hii hutokea kwa watu wa umri wowote
3:Osterporosis--hii ni ile Hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuwa rahisi kuvunjika na hutokana na upungufu wa madini ya calcium
4:Gaut Arthritis--hii inasababiswa na uric acid (kemikali inayotokana na protini ya nyama)
Dalili za matatizo ya mifupa kwa ujumla
@ . Maumivu kwenye maungio
@ .Viungo kushindwa kujikunja
@ .kusikia milio ya kusagana Viungo
@ .Kukaza kwa Viungo
@ . Kushindwa kuinama au kuinuka baada ya kukaa kwa mda flani
@ .Kuhisi ganzi kwenye miguu na kuwaka Moto kwa miguu
Sababu zinazoleta haya matatizo ya mifupa
@ .Uzito uliopindukia
@ .Historian ya familia
@ .Ajali
@ .kutumikisha viungu kupita kiasi mfano mazoezi makali
@ .Kisukari pia huleta madhara kwa mifupa na Viungo
Changamoto katika kutibu haya matatizo
@ .Watu wengi wanatumia dawa za kutuliza maumivu
*Dawa za maumivu hutuliza maumivu tu kwamda na baadae Maumivu hurudi Tena maana hazisaidii kuongeza Cartilage (gegedu) Wala uteute
wengi wanafanyiswa mazoezi
*Mazoezi huwasaidia watu kwa muda mfupi na baadae hurudi Tena tatizo
*Kwahiyo watu wengi wenye tatizo la viungu kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa Viungo kwa gharama kubwa Sana
Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa mda mrefu
@ . Kushindwa kukunja Viungo kabisa
@ .Kuvunjika kwa urahisi kwa mifupa