
29/08/2022
Kwa mujibu wa tafiti na ripoti mbalimbali, maradhi haya ndiyo maradhi yaliyoenea zaidi miongoni mwa maradhi ya udhaifu wa kiume, ambapo inakadiriwa kuwa asilimia 39 ya wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 64 wanasumbuliwa nao.
Tofauti na maradhi mengine ya udhaifu wa kijinsia (k**a vile tatizo la kusimamisha), tatizo hili halina uhusiano na umri wa mhusika.
Wanaume ni watu ambao wanabeba vitu vingi katika muoyo yao na ubongo kwa ujumla,hivyo kuwa na msongo wa mawazo mara kwa mara ni kawaida kwa mwanaumr hivyo wengi hupelekea mpaka kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Tafiti zinaonesha kuwa asilimia kubwa ya vijana wapya katika ndoa hukabiliwa na tatizo la kumwaga mapema, na huwenda tatizo hilo likaendelea kwa miaka mingi.
Tatizo hili ambalo hujitokeza dakika moja kabla ya mwanaume kumuingilia mwanamke au dakika moja baada ya kumuingilia, humfanya mwanaume asiwe na uwezo wa kuchelewa kumwaga. Maradhi haya hutokana na taathira hasi za kisaikolojia na kijamii kwa mwanaume husika, k**a vile wasiwasi na mkanganyiko, na linaweza kumfanya akimbie kushiriki tendo la ndoa. : Changoto ya afya ya uzazi kuwahi kufika ,dhakali kulegea,low s***m count,stress ,kuacha punyeto.
Tuwasiliane kupitia WhatsApp namba+255 767 846 339