natural_health_bf

natural_health_bf Suluhisho la matatizo ya wanawake. P.l.D, hormone imbalance, U.T.I sugu,
harufu mbaya ukeni, fangus,ugumba
wanawake wote wazuri wanatumia stem cell

No ngapi apo imekua addicted Kwako..?Like, comment and share tujifunze pamojabakinasi
02/12/2025

No ngapi apo imekua addicted Kwako..?

Like, comment and share tujifunze pamoja

bakinasi

Ushawahi jiuliza sababu kubwa ni nini..?Comment apo chini tujifunzeau Dm kwa maswali zaidi
27/11/2025

Ushawahi jiuliza sababu kubwa ni nini..?

Comment apo chini tujifunze

au Dm kwa maswali zaidi

26/11/2025

Kupewa zawadi ni kitendo cha kuonyesha anakujali na anatambua uwepo wako

Haijalishi zawadi ina dhamani gani, maana zawadi utofautiana kulingana na kipato cha Mtu

na anavyo iyona dhamani yako kwake, lakini si kila Mwaname anauwezo wa kutoa Zawadi kwa mwenza wake

Hii ni tabia ya Mtu husika, k**a si mtoaji kukupa zawadi sahau🤗 aya mambo yanawenyewe

Je..? Ulivyo pata mimba ulipewa zawadi gani au tumshukuru Mungu kila jambo 😊

Kwa ushauli wa Afya ya uzazi Dm please.!

21/11/2025

K**a wewe ni mwanamke sema Mungu asante kwa kuniumba kuwa mama

Mwanamke umepewa nguvu ya kupambana na mambo magum na kuyashinda

Hizi hekaheka za mimba uwiiiii😆 afu bado siku yenyewe na haijaishia apo kuna kulea

Ndomana mama akisema neno zuri au baya huwa linatokea,

Kwa wewe Mwanamke unayetamani siku moja na wewe ubebe mtoto wako akikisha unabonyeza link apo juu ili niweze kukushauli zaidi

Au call/whatsapp 0628139096 afya yako ni jukum Letu sote
🙏

K**a kipindi cha Ujauzito ulitapika sana comment apo chini 😊tupate uzoefu

20/11/2025

Unakuta anasikia dalili zote Za mimba na tumaini linakuja kwamba mimba ipo lakini baada ya siku chache anaona hedhi k**a kawaida

Mwanamke huyu anapata machungu sana na anaweza kuwaza labda kuna vitu kamkosea Mungu

Kwanza swala la mimba ni jambo la pande zote mbili akikisha wote mnafanya vipimo ili kujua chanzo ni nini..?

Lakini badili lifestyle yako uwenda ndio chanzo kikubwa cha mimba kuto patikana

Kuwa na Doct ambaye atakuongoza kwenye safari yako ya Ujauzito

Bila kusahau kuwa na imani na ondoa hofu kwani jambo lolote linaitaji imani kwanza

Mwanamke akikisha huu mwezi unatumia vizuri ili mwakani na wewe utimize hitaji lako

KWa usahuli wa Uzazi Dm please..! Au call WhatsApp 0628139096

Ukiona hivyo jua mwili unajitaidi kukusemesha kwamba kuna kitu hakipo sawa Akikisha unafanya uchunguzi haraka kujua chan...
19/11/2025

Ukiona hivyo jua mwili unajitaidi kukusemesha kwamba kuna kitu hakipo sawa

Akikisha unafanya uchunguzi haraka kujua chanzo chake na kupata matibabu sahihi

Akikisha una share, like na comment ili Elimu hii iwafikie watu wengi zaidi

Dm kwa matatizo ya uzazi

19/11/2025

K**a wewe umejalibu kutafuta mimba kwa mda mrefu pengine umepima vipimo vyote na majibu yanasema huna tatizo

Dm please..! niweze kukushauli kwa namna gani unaweza kupata kupata Ujauzito

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when natural_health_bf posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram