20/04/2023
Fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika
VISABABISHI VYA FANGASI UKENI
1.matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za K**e
2. Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke
3.kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga
4.kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali K**a Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.
5.ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).
6.kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .
DALILI ZA FANGASI UKENI
~muwasho Sehemu Za Siri
~vipele Vidogo Vidogo Ukeni
~kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya
~vidonda Au Michubuko Ukeni
~kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni
~kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa
~kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke
~kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke
NAMNA YA KUZUIA FANGASI UKENI
1. Epuka Kusafisha Uke Kwa Kutumia Vitu Vyenye Kemikali K**a Sabuni
2. Epuka Kutumia Marashi Yenye Chemikali Ukeni Na Kuingiza Vitu MbĂ limbali Ukeni K**a Vidole, Asali, Mgagani N.k
3. Epuka Kutawadha Kutokea Nyuma Kwenda Mbele Baada Ya Kujisaidia Haja Kubwa Au Ndogo
4. Mtibu Mpenzi Wako Alie Na Ugonjwa Wa Fangasi
5. Safisha Uke Na Kujifuta Kwa Kitambaa Safi Ilikuuacha Mkavu
6.Hakikisha Kinga Ya Mwili Wako Iko Juu
7. Vaa Chupi Zitengenezavyo Kwa Vitu Halisi K**a Pamba
8. Epuka Ulaji Mbaya Wa Chakula Hasa Punguza Vyakula Vyenye
Sukari Kwa Wingi Mwilini