22/08/2022
SULUHISHO LA SARATANI YA (KUTANUKA KWA) TEZI DUME BILA UPASUAJI.
Tezi dume ni nini?
Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.
Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.
Saratani ya tezi dume ni nini?
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani.Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini
Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume
*Umri Mkubwa kuanzia miaka 50
*Nasaba (ukoo wenye historia ya saratani hii
*Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu
*Unene uliokithiri/kupita kiasi
*Ukosefu wa mazoezi
*Upungufu wa virutubisho,mfano vitamin D.
*Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume.
Dalili zake ni zipi?
*Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.(Kwenda kukojoa mara kwa mara).
*Kushindwa kukojoa.
*Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
*Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno, nyonga na mbavu.
Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
*Miguu kuwa dhaifu
* Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
*Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
*Tumbo kuja gesi mara kwa mara
MADHARA YA SARATANI TEZI DUME/ TEZI ILIYOTANUKA
*Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
*Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
*Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
*Kushindwa kumudu tendo la ndoa
* Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
*Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
* Kifo
SULUHISHO
Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili unavihitaji. Hivyo basi program maalumu ya virutubisho imeandaliwa kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Kuna suluhisho bora ambalo ni virutubisho lishe muhimu vilivyotengenezwa kutoka kwenye matunda na vyakula mbalimbali ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na nadhifu ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume.
Wasiliana nasi
0620106461