Maisha Na Afya

Maisha Na Afya Tunatatua changamoto za afya.

Magonjwa yenye kushambulia via vya uzazi wa mwanamke yenye dalili kama KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI, HARUFU MBAYA, FUNGAS, UTI SUGU SHIDA YA HEDHI NK.

**SABABU ZA UKE KUTOA HARUFU MBAYA:* Zipo sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutokwa na harufu mbaya ukeni, baadhi ya ...
01/03/2024

**SABABU ZA UKE KUTOA HARUFU MBAYA:*

Zipo sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutokwa na harufu mbaya ukeni, baadhi ya sababu hizo ni pamoja na;

*A) Magonjwa Ya Zinaa (Sexually Transmitted Diseases).*
Mfano wa magonjwa ya zinaa ni pamoja na kisonono, kaswende, Trichomoniasis n.k. Magonjwa haya yasipotibiwa kwa wakati hupelekea mwanamke kutoa harufu mbaya ukeni.

*B) Matumizi Mabaya Ya Dawa Za “Antibiotics”.*
Hutumiaji kiholela wa dawa hizi bila ushauri au maelekezo ya wataaalamu wa afya (daktari) ni mojawapo ya sababu ya mwanamke kutoa harufu mbaya ukeni. Hivyo ni vyema mwanamke akafuata ushauri na maelekezo ya wataalamu wa afya kabla ya kutumia dawa za Antibiotics.

*C) Kutozingatia Usafi Na Kutokwa Sana Na Jasho.*
Ni wazi kwamba uchafu na kuwepo kwa unyevunyevu sehemu za siri huzalisha harufu mbaya.Kisayansi ni kwamba tezi zilizopo ndani ya mwili (Apocrine sweat glands) hutengeneza mafuta kuelekea kwenye maeneo ya mwili.

*D) Maambukizi Katika Via Vya Uzazi (Pelvic Inflammatory Disease).*
Pelvic Inflammatory Disease (PID) hili ni tatizo linalotokana na magonjwa sugu ya zinaa k**a vile gonorrhea, chlamydia. Hivyo magonjwa ya zinaa ambayo hayakugundulika mapema, tiba hafifu, au uzembe wa kutumia dawa ni chanzo kimojawapo cha mwanamke kutoa harufu mbaya ukeni.

*E) Bacterial Vaginosis.*
Kwa kawaida mwili wa binadamu una bakteria wa aina mbili, bakteria rafiki (normal flora) na bakteria adui (pathogens) ambapo ukeni kuna bakteria rafiki kwa kiwango kinachohitajika, bakteria hawa wanapoongezeka na kuvuka mahitaji huwa sio rafiki tena, huanza kushambulia sehemu ya uke na kuruhusu maambukizi ambayo hutoa majimaji yenye harufu mbaya ukeni.

*F) Mabadiliko Ya Homoni.*
Mabadiliko ya homoni kutokana na mzunguko wa hedhi unaweza kuchangia harufu mbaya ukeni. Wanawake wanaokaribia kukoma hedhi (menopause) wapo kwenye hatari zaidi kwani homoni ya estrogen hupungua sana na hivo kusababisha tishu za kuwa na tindikali kidogo.

Je umewahi kukumbana na changamoto ya namna hii ikulu kwako?
Tuambie kiundani kwa kubofya neno WhatsApp hapo chini kisha tutakupa Tatuzi ya tatizo lako!!

“Learn as if you will live forever, live like you will die tomorrow.”
22/02/2024

“Learn as if you will live forever, live like you will die tomorrow.”

06/05/2023

SABABU ZA UGUMBA KWA MWANAMME

🖊️-Tiba za chemotherapy au za kutumia mionzi
🖊️– Sumu kwenye mazingira, k**a madini ya lead na dawa za kuulia wadudu
🖊️– Kutumia pombe kupita kiasi
🖊️– Kuumia sehemu za mfuko wa pumbu au pumbu zenyewe
🖊️– Uvutaji wa sigara
🖊️– Pumbu kupata joto kupita kiasi kutokana na kuvaa nguo zinazobana sana, kuogelea katika au kuoga maji ya moto
🖊️– Kuwa na pumbu ambazo hazijatoka na kuning’inia nje ya mwili
🖊️– Varicocele – Kuvimba kwa mishipa ya damu ya veni inayozunguka mfuko wa korodani.

whatsap no 0622732323

10/08/2021

*🤦‍♀️JE UNATAKA KUPONA P.I.D SUGU? NA HUJUI UFANYE NINI ILI UPONE?*
👇👇👇👇👇👇👇

💥 PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID) -Ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani uterus, Fallopian tube, o***y na parametrium.

💥 HUSABABISHWA NA WADUDU WAJULIKANAO K**A:
🖍️Gonococci
🖍️Chlamydia
Hawa wawili ndo visababishi vikubwa vya PID, na wengineo K**a vile:
🖍️ Staphylococcus
🖍️ Streptococcus
🖍️ Coliforms
🖍️ Mycoplasma
🖍️Colistridium perfringens

🔷Huenezwa kwa njia ya kufanya mapenzi (through sexual in*******se) kwa asilimia kubwa.
🔷Njia zingine ni k**a:
👉 Wakati wa ukuwekewa kitanzi cha uzazi wa mpango (insertion of intrauterine contraceptive device)
👉 Wakati wa kutoa mimba(therapeutic or elective abortion)
👉 Wakati wa kujifungua mtoto(during childbirth)
👉 Wakati wa Upasuaji wa endometrium(endometrial biopsy)

💥 DALILI ZA PID NI HIZI HAPA💥
🖍️Kutoka uchafu usio wa kawaida ukeni (vaginal discharge with abnormal colour)
🖍️ Maumivu ya Tumbo la chini(lower abdominal pain)
🖍️ Hedhi isiyoeleweka (irregular menstrual cycle)
🖍️ Maumivu wakati wa hedhi(increased menstrual cramping)
🖍️ Maumivu wakati wa kufanya mapenzi (pain during sexual in*******se)
🖍️Kutoka damu baada ya tendo(bleeding after sexual in*******se)
🖍️ Kichefuchefu (nausea)
🖍️Kukosa hamu ya chakula (lack of appetite)
🖍️ Kuchokachoka (fatigue)
🖍️ Maumivu ya kiuno(lower back pain)

🔷WATU WALIOPO KWENYE HATALI YAKUPATA PID NI🔷
👉Watu waliofikia umri wa kufanya mapenzi (sexually active age group)
👉Watu wenye mahusiano na mpenzi zaidi ya moja(multiple sexual partners)
👉Wenye upungufu wa Kinga ya mwili(immunodeficiency)
👉Wenye historia ya kuwa na PID(past history of PID)
👉Wenye kuingiziwa vitanzi(Insertion of IUCD).

🔷 MADHARA YA PID NI🔷
🖍️Ugumba/kushindwa kubeba mimba (infertility)
🖍️Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy)
🖍️ Maumivu ya muda mrefu(chronic pelvic pain)
🖍️ Kutungwa kwa usaha(pelvic abscess)
🖍️Mimba kuharibika (Miscarriage)
🖍️Kukosa hamu ya ten

Address

IRINGA
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha Na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Maisha Na Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram