05/01/2026
Zipo sababu nyingi zinazosababisha Sehemu za siri za mwanamke kuwa kavu , hali Hiyo inaanza Kwenye kupotea kwa unyevunyevu mpaka vimbe sehemu za ukuta wa uke na zaidi.
Hapa unajifunza namna gani ya kufanya uyafurahie maisha Yako ya tendo la ndoa (sex).Ukavu ukeni kunaweza kusababisha Maumivu makali wakati wa tendo na matatizo mengine k**a ,maambukizi kirahisi ya vimelea .
*Sifaham sababu Hizi tano ambazo husababisha uke kuwa mkavu .*
1.Umri pamoja na Jambo la kihisia.
-Watu wenye Umri mkubwa kwanzia Miaka 40+ hupatwa sana na Changamoto hii sababu ni kupungua Kwa vichocheo Katika mwili (kukosa usawa), pia kukosa hisia na Mpenzi wako inaweza kupelekea ukavu.
2.Kukosa Hamu ya tendo la ndoa .
-Husababishwa na kupungua kwa Nguvu za k**e ,mara nyingi unaweza kuona ni hali ya kawaida ,kutotamani Mpenzi wako na kutohisi raha yeyote ya tendo .
3.Matumizi ya sababu za kemikali kali kuoshea ndani ya uke .
-Hupoteza Vimelea muhimu Katika utunzaji wa sehemu Hiyo .
4.Matumizi holela dawa za Uzazi mpango pamoja na P2.
5.Msongo wa mawazo .
-Mfululizo wa mawazo yanayodumu kwa muda mrefu , huwa inazima hisia na Homorne zinazohusika Katika swala zima la tendo .
6.Matuzimi ya vilevi k**a sigara , pombe kali .
7.Magonjwa ya muda mrefu
-hasa yanayotumia miyozi au dawa kali .
Hizi sababu mbili ni Bonus .
Je , unahisi wewe ni sababu ipi unaishi inaweza kuwa ni chanzo cha Changamoto Yako .
Comment hapa chini kwa msaada Bila kuoga