Dr lishe360

Dr lishe360 Daktari na Mtaalamu wa

Suluhisho la watoto wanaosumbua kula, wasioongezeka uzito vizuri

Unatumia nini kati ya hizi🤔?Tuambie kwenye comments👇Tutakujibu k**a uko sahihi au umepuyanga
30/10/2024

Unatumia nini kati ya hizi🤔?

Tuambie kwenye comments👇

Tutakujibu k**a uko sahihi au umepuyanga

Tumia butter k**a mafuta ya kupikia, kuoka, kuchanganya na vyakula ili kumpa afya bora mtoto wako.Unsalted butter ni amb...
09/03/2024

Tumia butter k**a mafuta ya kupikia, kuoka, kuchanganya na vyakula ili kumpa afya bora mtoto wako.

Unsalted butter ni ambayo haijaongezwa chumvi na ina ladha nzuri hivyo inafaa zaidi kwa mtoto hasa chini ya mwaka mmoja?

Una swali lolote?

Tuulize kwenye comments👇

K**a tunavyojua, kuna wakati watoto hawatabiriki kwenye kula. Leo atakula vizuri, kesho atabadilika ghafla na kukataa ki...
23/02/2024

K**a tunavyojua, kuna wakati watoto hawatabiriki kwenye kula. Leo atakula vizuri, kesho atabadilika ghafla na kukataa kila kitu 😩

Kabla hujafikiria kumpa multivitamins na dawa za hamu ya kula chukua dakika chache kumtazama mtoto kinywani kwanza.

Wangapi tumekutwa na hii kesi ya mtoto aliyekuwa anakula vizuri kuanza kusumbua ghafla?

Tuongee kwenye comments 👇

Uji ni sehemu kubwa sana ya milo na lishe ya mtoto hivyo ni vizuri kufahamu unga sahihi wa kumpatia mtoto kwa ajili ya u...
15/02/2024

Uji ni sehemu kubwa sana ya milo na lishe ya mtoto hivyo ni vizuri kufahamu unga sahihi wa kumpatia mtoto kwa ajili ya uji 🥣

Pamoja na yote hakikisha mtoto anapata milo yake mingine k**a kawaida kwani unga wa uji pekee hauwezi kukidhi mahitaji yote ya virutubisho.

Kuweka ladha na virutubisho zaidi kwenye uji unaweza kupikia maziwa, tui la n**i, unsalted butter n.k lakini pia ukaongeza viambata k**a greek yogurt na siagi za njugu k**a karanga na korosho.

Rojo za matunda, syrup ya tende na sosi ya apple huweza kutumika k**a mibadala ya sukari kuupa uji utamu.

Una swali lolote?

Tuilize kwenye comments👇

Trip za hospitali hazitoisha k**a kingamwili ya mtoto wako haitoimarika.Kingamwili (immunity) duni ni sababu kubwa ya ma...
08/02/2024

Trip za hospitali hazitoisha k**a kingamwili ya mtoto wako haitoimarika.

Kingamwili (immunity) duni ni sababu kubwa ya mafua na vikohozi visivyoisha.

Jifunze leo mambo muhimu ya kufanya kusaidia kubusti immunity ya mwanao.

Una swali lolote?

Tuulize kwenye comments 👇

Vyakula hivi vinaweza kudhoofisha afya ya  mtoto taratibu au ndani ya muda mfupi.K**a umekuwa ukimpatia, sitisha mara mo...
29/01/2024

Vyakula hivi vinaweza kudhoofisha afya ya mtoto taratibu au ndani ya muda mfupi.

K**a umekuwa ukimpatia, sitisha mara moja.

Wakati mwingine unaweza kutumia baadhi ya vyakula hivi kwa maelekezo maalumu, mfano unaweza kutumia 100% juisi ya apple kusaidia kuondoa kifunga choo kwa mtoto.

Una swali lolote? Tuulize kwenye comments

Sukari haishauriwi kabisa chini ya mwaka mmoja, ikiwezekana usitumie hadi mtoto atimize miaka miwili.Hii ni kwa sababu s...
19/01/2024

Sukari haishauriwi kabisa chini ya mwaka mmoja, ikiwezekana usitumie hadi mtoto atimize miaka miwili.

Hii ni kwa sababu sukari haina virutubisho vyovyote, hufanya mtoto kupendelea vyakula vya sukari tu pia huharibu meno na ni hatari ya magonjwa k**a kisukari baadae.

Mibadala ya sukari ni bora kwa kuwa zaidi ya kuweka utamu kwenye chakula ina virutubisho muhimu kwa ukuaji wa mtoto.

Huwa unatumia mbadala gani wa sukari kwa mtoto wako?

Tuambie kwenye comments 👇

Umekua ukiambiwa usitumie chumvi chini ya mwaka mmoja na hujui sababu?Share na rafiki zako wajifunze.Hii haimzuii mtoto ...
17/01/2024

Umekua ukiambiwa usitumie chumvi chini ya mwaka mmoja na hujui sababu?

Share na rafiki zako wajifunze.

Hii haimzuii mtoto kula milo ya familia mara moja moja inapotokea.

Ni mara ngapi umempa mtoto wako chakula chenye chumvi bila kujua madhara yake?

Tuambie kwenye comments 👇

Umekua ukiambiwa usitumie chumvi chini ya mwaka mmoja na hujui sababu?Share na rafiki zako wajifunze.Hii haimzuii mtoto ...
17/01/2024

Umekua ukiambiwa usitumie chumvi chini ya mwaka mmoja na hujui sababu?

Share na rafiki zako wajifunze.

Hii haimzuii mtoto kula milo ya familia mara moja moja inapotokea.

Ni mara ngapi umempa mtoto wako chakula chenye chumvi bila kujua madhara yake?

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr lishe360 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr lishe360:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share