Kimimbi Herbal Clinic

Kimimbi Herbal Clinic herbal clinic deals with traditional medicine,health care and cosmetics email.doctarkimimbi@yahoo.com contant with us :0674 456789 / 0743 068792

GAPOXPID inaweza isilete dalili zo zote mbaya baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote, pale zinapojitokeza zinaweza k...
12/05/2023

GAPOX
PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote, pale zinapojitokeza zinaweza kuwa- MAUMIVU – Yanayoweza kuwa madogo au makali maeneo ya chini ya tumbo au nyonga.

UCHAFU- usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya.

KUTOKWA DAMU- Kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku za hedhi.

MAUMIVU- Maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

HOMA- Homa kali au wakati mwingine kusikia baridi.

MAUMIVUWAKATI WA KUJISAIDIA HAJA NDOGO- wakati wa haja ndogo, haja ndogo ya mara kwa mara au haja ndogo kutoka kwa shida.

CHANZO CHA PID
Kuna bakteria wa aina nyingi wanaoweza kusababisha PID, lakini maambukizi ya gonorrhea na chlamydia ndiyo yanayoonekana zaidi.

Bakteria hao huambukiza wakati tendo la ndoa linapofanyika bila ya kutumia kinga, bakteria hawa huingia kwenye viungo ya uzazi vya mwanamke pale ulinzi wa kwenye shingo ya kizazi(cervix) unapovurugwa.

Hii inaweza kutokea mathalani, wakati wa hedhi na baada ya kuzaa, mimba kuharibika au kutoa mimba.

GAPOX ni dawa bora sana kuwai kutokea kwa matatizo ya wanawake, hii ni dawa asili tupu haina kemikali yoyote.

GAPOX inasaidia kwa mwanamke anaekwenda hedhi muda mrefu, inaweza kukata na ikawa sawa kabisa na kuweka mpangilio mzuri katika mzunguko.

GAPOX inatibu maambukizi yoyote ya bacteria katika via vya uzazi vya mwanamke, na kuondoa fangasi pamoja na kutibu PID.

GAPOX inatibu matatizo ya homoni kwa mwanamke na kuondoa kabisa tatizo la uzazi.

Sisi kimimbi herbal clinic wataalamu wa tiba mbadala tiba asili tunashugulika na kutibu magonjwa sugu k**a.
Kisukali, Vidonda vya tumbo, Presh, Uzazi, Hedhi, Pumu, Bawasili, UTI sugu, Maralia sugu, Uvimbe tumboni, N.K.

Kwa ushauri au matibabu fika katika clinic yetu Daresalaam kiwalani jirani na Airport.
K**a unapenda kujifunza zaidi juu ya afya yako karibu katika group zetu za whattsap, tuandikie neno NIUNGE. kisha tuma kwenye namba 0743 068792.

Afya salama hukaa katika mwili salama ijali afya yako.

HII NI DAWA YA NGUVU TU.Mchanganyiko wa mimea na matunda sio ya maji wala mafuta ni matunda matamu.Dawa hii inaboresha m...
12/05/2023

HII NI DAWA YA NGUVU TU.
Mchanganyiko wa mimea na matunda sio ya maji wala mafuta ni matunda matamu.

Dawa hii inaboresha misuli iliyoregea kwa sababu mbalimbali punyeto, kuanza ngono katika umri mdogo, mangonjwa ya kiume, usukumo hafifu wa damu, au upungufu wa nguvu za kiume.

CUBA sio dawa ya kunywa ni dawa ya kupaka na yenyewe inaingia kwenye misuli ya UUME na kuimassage na kuifanya kuwa imara.

CUBA ni dawa inayoanza kazi siku hiyo hiyo unayoanza kutumia aina muda wa kuchelewa.

Dawa hii ili ikuimarishe vizuri unapoitumia ni lazima ushiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kuufanyisha mazoezi uume.

Haina madhara yoyote kwa mtumiaji hivyo unaweza kujiimarisha upendavyo wewe mwenyewe tu.

Natumizi ya dawa hii ni siku 14.

Hii ni dawa bora na haifanani na dawa yoyote kuwahi kutokea, ni tiba kabisa iwapo utatumia ipasavyo.

Tunajivunia sababu hii ni dawa asili kabisa na inatibu Uume Tu, wakati unatumia dawa hii hakikisha mwili wako upo Sawa, Una pumzi za kutosha ili wakati Uume unaimarika na mwili upo imara.

Sisi kimimbi herbal clinic ni wataalamu wa tiba mbadala tiba asili tunashugulika na kutibu magonjwa sugu k**a.

Magonjwa ya Kisukali, Vidonda vya tumbo, Presh, Uzazi, PID, Hedhi, Pumu, Bawasili, UTI sugu, Maralia sugu, Uvimbe tumboni, fangasi, N.K.

Kwa ushauri au matibabu fika katika clinic yetu Daresalaam kiwalani jirani na Airport.

K**a unapenda kujifunza zaidi juu ya afya yako karibu katika group zetu za whattsap, tuandikie neno NIUNGE. Whattsap 0743 068792.

TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKETezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND)Hii ni tezi inayopa...
06/05/2022

TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND)

Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.
Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.

Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.

Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.

Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.

Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-
• Kukojoa Mara kwa mara.

• kubakiza mkojo kwenye kibofu.

• kukojoa saana usiku.

• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

• Kupungukiwa nguvu za kiume

• UTI ya Mara kwa mara.

• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

• Kupoteza fahamu.

•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

• Uume kushindwa kusimama vizur.

•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-

1.Kushindwa kabisa kukojoa.

2.Kupatwa na maambukizi ya UTI

3.Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.

4.Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.

5)Figo inaweza kuharibika.

Lakini kimimbi herbal clinic tunaendelea na offer yetu ya matibabu ya bure kabisa kwa ajili ya wakina baba wenye changamoto hizi kwenye njia ya haja ndogo na tezi kwa ujumla offer inaelekea mwishoni toka tarehe 26 mwezi 4 mpaka tarehe 10 mwezi huu wa tano

Tufatilie whatsapp 0743068792
AFYA SALAMA HUKAA KWENYE MWILI SALAMA

CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYOMagonjwa ya moyo hutokea pale ambapo moyo huathiriwa na kuharibiwa kwa vitenda kazi vyake. Ku...
02/05/2022

CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO

Magonjwa ya moyo hutokea pale ambapo moyo huathiriwa na kuharibiwa kwa vitenda kazi vyake. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata magonjwa ya moyo nayo ni pamoja na;

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P)

Kuvuta sigala

Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

Kisukari

Kukaa sehemu kwa mda mrefu bila kuufanyisha kazi mwili

Umri

Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

Historia magonjwa yanayoambatana na moyo katika familia

DALILI ZA UGONJWA WA MOYO

Mara nyingi dalili hujionesha wakati mtu kakaa na ugonjwa kwa mda mrefu kidogo, ila kuna zingine zinatangulia na mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia. Uonapo baadhi ya dalili fanya mawasiliano.

Moyo kwenda mbio (Moyo kudunda kwa nguvu isivyo kawaida )

Uchovu uliopitiliza, mwili kuwa dhaifu na kuchoka haraka hata kwenye shughuri ndogo

Maumivu ya kifua hasa yanayotembea mpaka kwenye mabega, shingo au taya

Kushindwa kulala vizuri hasa kushtuka usingizini kuhisi k**a unakabwa na kukosa pumzi

Tumbo kujaa, kichefuchefu na kutapika

Kukosa pumzi au kushindwa kupumua vizuri hasa unapolala chali

Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

Kwa tiba na ushauri fika kimimbi herbal clinic
Tunapatikana kiwalani kigilagila mkabala na airport

Au piga simu 0743068792

Tembelea pia kwenye account zetu za
Facebook na Instagram kwa elimu ya afya yako

AFYA SALAMA HUKAA KWENYE MWILI SALAMA JARI AFYA YAKO

Karibu sana clinic
29/04/2022

Karibu sana clinic

Karibu sana
27/04/2022

Karibu sana

DALILI ZA KUKOMA KWA HEDHIWanawake wengi wanaokaribia kukoma hedhi wanapata hot flashes, yaani  ghafla kusika joto linal...
27/04/2022

DALILI ZA KUKOMA KWA HEDHI

Wanawake wengi wanaokaribia kukoma hedhi wanapata hot flashes, yaani ghafla kusika joto linalosambaa sehemu ya juu ya mwili, vikiambatana na hali ya kutahayari na kutokwa jasho.

Hali hii huwa si kali sana kwa wanawake wengi lakini kwa wengine huwa mbaya.

Dalili nyingine zinazotokea mwanamke anapokaribia kukoma hedhi ni pamoja na:
Hedhi zisizo na mpangilio au zinazorukaruka
Kukosa usingizi
Kusikia hasira mara kwa mara
Uchovu
Mfadhaiko
Moyo kwenda mbio
Maumivu ya kichwa
Maumivu ya joints na misuli
Mabadiliko katika kusikia hamu ya tendo la ndoa
Uyabisi wa uke
Shida kudhibiti haja ndogo

Si wanawake wote wanaopata dalili hizi zote.

Matatizo Ya Muda Mrefu Yanayotokana Na Kukoma Hedhi

Kukosekana kwa estrogen ndani ya damu kunakotokana na kukoma hedhi kumethibitika kusababisha baadhi ya matatizo ya kiafya yanayowapata wanawake wanapokuwa na umri mkubwa.

Wanawake waliokoma hedhi wanaweza kutokewa na yafuatayo:
Mifupa kuwa myepesi
Magonjwa ya moyo
Kibofu cha mkojo kutofanya vizuri na matatizo ya haja kubwa
Hatari ya kupata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu
Mikunyanzi ya ngozi
Kukosa nguvu za mikono
Kupungua kwa nguvu ya kuona.

KWA TIBA NA USHAURI FIKA KIMIMBI HERBAL CLINIC

Tunapatikana kiwalani kigilagila mkabala na airport

Au piga simu 0743068792 au 0674456789

Pia tupo Instagram.Facebook. Tiktok

AFYA SALAMA HUKAA KWENYE MWILI SALAMA JARI AFYA YAKO

22/04/2022
Karibu sana clinic kwetu Daresalaam kiwalani jirani na Airport 0743 068792.
21/04/2022

Karibu sana clinic kwetu Daresalaam kiwalani jirani na Airport 0743 068792.

Address

Kimimbi Herbal Clinic
Dar Es Salaam

Telephone

+255743068792

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kimimbi Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kimimbi Herbal Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram