AFYA LEO

AFYA LEO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA LEO, Medical and health, .

Tunawasaidia wanawake wenye changamoto za uzazi
28/08/2022

Tunawasaidia wanawake wenye changamoto za uzazi

  KUHUSU AFYA YA MIFUPA NA  NA MAUNGIO (JOINTS )     nitatizo la kuisha kwa gegedu (cartilage) au uteute(synovialfluid) ...
06/07/2022

KUHUSU AFYA YA MIFUPA NA NA MAUNGIO (JOINTS )
nitatizo la kuisha kwa gegedu (cartilage) au uteute(synovialfluid) katikati ya maungio(joints).

👉osteoathrits
👉gaut athrits
👉 rheumatoid athrits etc.


👉 umri kuanzia miaka 30+
👉ajali
👉uzito kupita kiasi nk
👉kupungua kwa virutubisho K**a vile glucoseamine mwilini
👉kutumikisha viungo kupita kiasi


1.Maumivu kwenye magoti
*wakati wa kupanda ngazi au mlima au wakati wa kutembea
2.magoti kushindwa kujikunja
3.kusikia milio ya mifupa kusagana kwenye magoti na magoti kuchoma
4. Maumivu ya mgongo
5.kushindwa kuinama
6. ganzi kwenye mapaja au miguuni.


1. KANSA YA MIFUPA
2. KUSHINDWA KUTEMBEA KABISA
3.VIUNGO KULIKA KWA KIASI KIKUBWA

TUTAFUTE KWA NAMBA 0745298304

Medical & health

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA LEO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram