Pandex Herbal Clinic

  • Home
  • Pandex Herbal Clinic

Pandex Herbal Clinic Tunawasaidia Waganga wa magonjwa mbalmbal kwa kutumia mimea tiba iliyofanyia utafiti wa kisayansi na

ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO.Dr.Mapande (+255 656 198 441)Pa...
26/08/2024

ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO.

Dr.Mapande (+255 656 198 441)
Pandex Herbal Clinic
Dar es salaam
ILALA BOMA.
PANGANI & UTETE STREET

_Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila mafanikio na kupelekea kukata tamaa ya kutafuta tiba na badala yake humuona kila mtoa huduma ni tapeli_

Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:

1.📎 Kutopata dawa sahihi
-Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri.

2.📎 Kutofuata ushaur wa daktari.
-Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatzo lako ni ngumu kupona tatzo lako.

3.📎 Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri. Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha mfano;
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana chini
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa k**a Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo k**a vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa.
-Kuharisha mara kwa mara
-Kujisaidia choo Kigumu

Hata utumie dawa zaid ya 100,usipoziacha sababu hizo ni ngumu sana kupona Bawasiri na matokea yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa daktar.

⚫ Ukizingatia hayo utapona Bawasiri kwa muda mfupi sana(week 1 mpaka 3) Biidhnillaah ja wapo wanaopona kwa siku 5 licha ya kukaa na Bawasiri kwa miaka kadhaa .

Dr.Mapande (+255 656 198 441)
Pandex Herbal Clinic
Dar es salaam
ILALA BOMA.
PANGANI & UTETE STREET

JE UNATOKWA  UCHAFU NA HARUFU MBAYA UKENI???_________________________________Pelvic Inflammatory Disease (PID) Ni maambu...
06/03/2024

JE UNATOKWA UCHAFU NA HARUFU MBAYA UKENI???
_________________________________
Pelvic Inflammatory Disease (PID) Ni maambukizi katika via vya Uzazi ambayo huathiri mirija ya uzazi (fallopian tubes),Mji wa mimba(Uterus),shingo ya Uzazi (Cervix) na Uke (va**na). Maambukizi haya husababisha mwanamke kutokwa UCHAFU NA HARUFU MBAYA UKENI.
_________________________________
DALILI ZA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)
_________________________________
1.🖇️ Kutokwa uchafu Ukeni wenye rangi nyeupe au njano.
2.🖇️ Kutokwa na harufu mbaya Ukeni.
3.🖇️ Miwasho mikali ukeni.
4.🖇️ Maumivu ya tumbo.
5.🖇️ Maumivu ya kiuno
6.🖇️ Kuhisi kichefuchefu
7.🖇️ mwili kupata joto na kuhisi homa.
8.🖇️ Maumivu wakati wa Tendo na wakati wa kukojoa
9.🖇️ Kutokwa DAMU Ukeni wakati au baada ya TENDO
10.🖇️ Kukojoa mara kwa mara.

MADHARA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)

1.🖇️ Kupata saratani ya shingo ya kizazi (CERVICAL CANCER)
2.🖇️ Mirija za uzazi kuziba na kujaa maji (HYDROSALPINX) na kupelekea UGUMBA.
3.🖇️ Mimba kutunga nje ya kizazi (Ectopic pregnancy)
4.🖇️ Mwanamke kunyanyapaliwa na Mwanaume kutokana na uchafu na harufu mbaya ukeni.
5.🖇️ Maumivu wakati wa TENDO
6.🖇️ Kutokwa MAJIPU na USAHA katika via vya Uzazi.

K**A UNA DALILI TAJWA HAPO JUU, WASILIANA NASI KWA HARAKA ILI UWEZE KUOKOA KIZAZI CHAKO NA KUEPUKA MADHARA HATARI YANAYOTOKANA NA PID

TUNATOA SULUHISHO LA UHAKIKA KWA MATATIZO SUGU YA PID KWA MUDA MFUPI.

REJESHA NDOTO YAKO YA KUONDOKANA NA UGUMBA KWA KUTIBU PID.
_________________________________
WASILIANA NASI KWA:⤵️⤵️

PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com
DAR ES SALAAM-TANZANIA
_________________________________
Bonyeza link hii kujiunga kwenye group maalumu kwaajili ya SULUHISHO la Pelvic Inflammatory Disease (PID): https://chat.whatsapp.com/IcC8bFv6yyPJaJUeTA3PsG

Address

Dar Es Salaam

1000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pandex Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Pandex Herbal Clinic:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram