Afya Njema ni Mtaji

Afya Njema ni Mtaji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Njema ni Mtaji, Dar es Salaam.

Habari, Mimi ni Mshauri wa Afya na LisheNinahusika na utoaji ushauri katika changamoto mbalimbali ya kiafya kama vile:-
� Shinikizo la damu
� Kisukari
� Magonjwa ya Figo
� Upungufu wa nguvu za Kiume
� Saratani (Cancer)
� Changamoto za Uzazi

MALKIA KIT PROGRAMMshauri: +255679448434K**a wewe Ni Mmoja Kati Ya Wale Waliokata Tamaa kwa sababu zifuatazo1️⃣ Kutokwa ...
05/01/2025

MALKIA KIT PROGRAM

Mshauri: +255679448434

K**a wewe Ni Mmoja Kati Ya Wale Waliokata Tamaa kwa sababu zifuatazo

1️⃣ Kutokwa Uchafu Na Harufu Mbaya Ukeni..

2️⃣ UTI Sugu isiyoisha

3️⃣ Kupata Miwasho Mara Kwa Mara

4️⃣ PID sugu na inayojirudia mara kwa mara.

5️⃣ Kukosa hamu ya tendo la ndoa na kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

💯NIKWAMBIE TU💯

Program hii Inakuhusu Sana ,
Hakikisha unafanya maamuzi na kupata TIBA Mapema kwani Wengi Wameshapona Japo Walikata Tamaa...

Kwa Kutumia Program Hii
Hata Wewe Unaweza Kupona na Ukawa K**a Zamani Ukafurahia Tendo la Ndoa.

✅ UTAKAPOTUMIA PROGRAM HII UTAPATA UHAKIKA WA YAFUATAYO

▶️ Utajiamini wakati wote kwani utakuwa mkavu na mwenye furaha

▶️ Utapata Ute mzuri usio na maambukizi na utafurahia tendo.

▶️ Kwa anayetafuta mtoto atapata uhakika wa kubeba mimba kwani atapata ute wa mimba haraka.

▶️ Aliyekosa hedhi au kupata hedhi nyingi au kidogo atakaa sawa

▶️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa yatakoma.

▶️ Maumivu makali wakati wa hedhi yatakoma.

💯💯Tiba Hii Matokeo Nikuanzia Siku 3-7 💯💯

🥲 KUMBUKA MADHARA YA PID

Ikiwa haitatibiwa kwa wakati, PID inaweza kusababisha:
1. Ugumba (kutoweza kushika mimba).
2. ⁠Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy).
3. ⁠Maumivu ya kudumu ya nyonga
4. Makovu kwenye mirija ya uzazi na kuziba kwa mirija
5. ⁠Saratani ya shingo ya kizazi na hatimaye kifo.

💰 Program hii ya MALKIA KIT utaipata katika Package 3
1. Package ya Tshs. 292,000/-
2. ⁠Package ya Tshs. 145,000/-
3. ⁠Package ya Tshs. 95,000/-
Kila Package hutegemea Hali ya UGONJWA

Tuwasiliane kwa namba ifuatayo ili uanze program hii +255 0679 448 434

TUNAPATIKANA JIJINI MWANZA, JIRANI NA STAND YA BUZURUGA. PIA TUNA MAWAKALA NCHI NZIMA

01/10/2023

UMUHIMU WA KUPUNGUZA SUMU MWILINI

Mshauri: 0679 448 434

Magonjwa Mengi yas K**a vile Kisukari ,presha ,shida ya Figo ,moyo,Uzazi Nk Ni magonjwa yanayotokana Na Mlundikano Wa Sumu Nyingi Sana Mwilini Unaotakana Na Mitindo Yetu Ya maisha Ambayo haizingatii Misingi ya Mwili KIUTENDAJI,

Asilimia ya vyakula vingi tunavyotumia vimejaa Wanga na Sukari, Matumizi ya Vinywaji vyenye kamikali yamekuwa mengi na Kupelekea Uzalishwaji Wa SUMU Nyingi Sana Mwili Na KUPELEKA magonjwa Sugu Yote pamoja na kufeli kwa Figo.

Hivyo Ni muhimu Sana kuweza kukusaidia Figo Ambayo Ndicho kiungo pekee kinachohusika kutoa sumu Zote Mwilini.

Mgonjwa Wa Sukari Anazalisha Sumu Nyingi Sana Mwilini Kutokana na kupanda kwa Sukari Mwilini ,Hivyo Kupelekea Figo Kushindwa Kufanya kazi Vizuri .

Detoxfication itakusaidia kuweka Mwili na Mifumo yake vizuri kwakuzipunguza sumu Zote Mwilini na Kukulinda Usipatwe na Shida ya Figo Hapo Baadaye

FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI (DETOXIFICATION)

▶️ Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.

▶️ Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.

▶️ Husaidia matatizo ya homa ya ini (hepatitis) ikiwa itatumiwa na bidhaa zingine kwa muda wa siku 90 mfululizo

▶️ Huondoa uchovu, huleta usingizi mzuri Na kuupa mwili nguvu.

▶️ Husaidia kumaliza kabisa tatizo la kukosa kumbukumbu kwa watu wazima

▶️ Huondoa kitambi na manyama uzembe kwa kuchoma Mafuta yaliyozidi mwilini

▶️ Huondoa uric acid Zote Mwilini na kumaliza kabisa changamoto ya Gauti (Gout)

▶️ Husafisha figo Kwani Husaidia Figo kuweza kuwa Imara na Kuondoa mrundikano wa sumu kwenye figo

▶️ Huondoa shida ya macho Kwani Husaidia Damu kufika vizuri kwenye macho

Kopo moja hutumika kwa muda wa siku 20 kwa gharama ya Tshs. 75,000 tu.

Wasiliana nasi kwa namba +255679448434 au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=Nahitaji%20TIBA%20kwa%20ajili%20ya%20%20KUONDOA-SUMU-MWILINI

CHANZO CHA KUKONDA MGONJWA WA KISUKARI“DIABETIC KETOACIDOSIS”Na Mshauri Makini: 0679448434👉🏽Je umewahi kumuona Mgonjwa w...
04/09/2023

CHANZO CHA KUKONDA MGONJWA WA KISUKARI

“DIABETIC KETOACIDOSIS”

Na Mshauri Makini: 0679448434

👉🏽Je umewahi kumuona Mgonjwa wa Kisukari Anavyokonda? Unajua ushauri anaoambiwa na watu? "Usibague Chakula ndio maana Unakonda" Ushauri huu Unakusindikiza kupoteza Maisha.

👉🏽 Kutokana na Uchakavu wa seli za mwili wa mgonjwa wa Kisukari seli hushindwa kutumia sukari k**a awali kwa sababu ya Usugu na Uchakavu uliojengeka kwenye seli kwa miaka mingi (5-10) (Insulin resistance).

👉🏽 Ubongo Ukisha baini seli za mgonjwa hazipokei sukari hutafuta njia mbadala ya kuzalisha sukari bila kujali wingi wa sukari kwenye damu. "Ubongo unahisi seli zinapungukiwa sukari kumbe uhalisia ni seli hazipokei sukari kwa sababu ya Hitilafu, Insulin resistance"

👉🏽 Mwili Huwa unatafuta njia mbadala ili kuhakikisha seli zinapata chakula na una endelea kuwa hai. Maamuzi ya Mwili ni Kuanza kutumia *VYANZO MBADALA VYA KUZALISHA SUKARI.* Na sukari Hii inayozalishwa huzalishwa kwa lengo Kwenda Kuzipa sukari seli ambazo Hazipokei sukari. Matokeo yake Ini litazalisha sukari na hiyo sukari iliyozalishwa NAYO HAITATUMIKA kwa sababu SELI ZIMECHAKAA NA SELI ZINA USUGU KITAALAMU INAITWA INSULIN RESISTANCE.

👉🏽 Ndio sababu mgonjwa wa Kisukari hata k**a akifunga bila kula masaa zaidi ya 20 akija Kupima sukari anakuta iko Juu hata zaidi ya 20 mmol/L wakati yuko kwenye mfungo na hajala Chochote. Inatoka wapi? Inatoka kwenye Ini.

👉🏽 Kadri asilimia ya seli ambazo hazitumii sukari (Insulin resistant cells) zinavyo ongezeka maana yake usugu wa kisukari Unashamiri Ndivyo na Ini Huongeza hasira ya Kutema Sukari.

👉🏽 Baada ya seli za mwili Kufanya mgomo wa kutumia sukari. Mwili hukimbilia KUCHOMA MAFUTA YA NDANI YALIYOHIFADHIWA. Kisayansi Mafuta ni Nishati mbadala Ya pili pale ambapo Sukari Imeisha au Haitumiki na Mwili.

👉🏽 Kwa hiyo Utachoma mafuta Yote na baada ya mafuta Kuisha Mwili Hukimbilia nishati mbadala ya tatu Inaitwa PROTEIN ambapo sasa Mwili Utaanza KUCHOMA PROTINI YA VIUNGO VYA MWILI NA UTAANZA KUKONDA KWA SABABU MWILI UNAJITAFUNA.

👉🏽 Kasi ya Kuchoma Mafuta ya ndani Pale Ini linapokua linakunusuru usife kwa Kukosa Nishati ya Mwili inaweza kuwa Kubwa sana Kwa Mgonjwa endapo yupo kwenye hatua mbaya

⏺️ Kwahiyo ili mgonjwa wa Kisukari arudi katika hali yake ya awali ya kuwa na mwili wa kawaida, Kwanza atatakiwa kuzuia ini lisizalishe sukari.

⏺️ Pili atatakiwa kuondoa usugu kwenye seli (insulin resistance),hapo ndipo mwili utaacha kutumia protini za viungo mbalimbali (utaacha kujila wenyewe)

💯 Je umeelewa? K**a una ndugu na jamaa YAKO wanapitia changamoto hii Basi usisite kuwasliana nami kupata tiba sahihi na pia kuna program maalumu ya kutibu Kongosho… Tuwasiliane kwa namba 0679448434 au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=Naomba%20MAELEZO%20KUHUSU%20PACKAGE%20YA%20%20KISUKARI

*JE UNAKUNYWA DAWA NYINGI KILA SIKU, SOMA HII INAKUHUSU* MSHAURI: 0679448434👉🏽 Kuna watu kutokana na magonjwa fulani wan...
09/06/2023

*JE UNAKUNYWA DAWA NYINGI KILA SIKU, SOMA HII INAKUHUSU*

MSHAURI: 0679448434

👉🏽 Kuna watu kutokana na magonjwa fulani wanatakiwa watumie dawa kila siku k**a vile Wenye changamoto za KISUKARI, SHINIKIZO LA DAMU, HIV, SARATANI, KIHARUSI N.K.

👉🏽 Kuna mtu anakunywa dawa hasa antibiotics, dawa za kutuliza maumivu kila siku bila ushauri wa daktari au vipimo yaani kawa daktari mwenyewe wa mwili wake kitu ambacho ni hatari sana…

💯 Ninachotaka kuzungumza hapa ni kwamba k**a umeshauriwa na daktari kutumia dawa kwa kipindi fulani au utumie Maisha yako yote basi fuata ushauri wake ila kuna kitu cha ziada cha kufanya na ndio sababu kuu iliyonifanya kuandika Makala hii.

▶️ Dawa zinapotibu tunatakiwa kuusaidia mwili kuondoa masalia au sumu ambazo zimebakizwa na dawa hizo kwani zinaweza kuleta madhara mengine hapo baadae, kwahiyo kuna njia nyingi k**a kufanya mazoezi, kunywa maji mengi , kula matunda kwa wingi, kula mboga mboga kwa wingi hasa za kijani n.k na ndio maana ushauri huu madaktari wengi hukupatia unapoanza kutumia dawa zozote.

▶️ Habari njema ni kwamba nimekuletea tibalishe ambazo zitaondoa sumu, masalia ya dawa mwilini na kimetengenezwa na mimea asilia.

💯 Bidhaa hii unapoitumia utahisi mwili wako unakua mwepesi, italainisha mishipa yako ya damu k**a imekak**aa damu hasa watu wenye kisukari au presha maana huwa wanapata shida hiyo sana, utapata choo kizuri na laini, itafanya mmeng’enyo wa chakula ufanye kazi kwa vizuri.

👉🏽 Endapo wewe unakunywa dawa kila siku, kila wiki, kila mwezi iwe ya ugonjwa Fulani, antibiotics au ya kupunguza maumivu basi nakushauri uwe na kawaida ya KUSAFISHA mwili wako kwa kutumia bidhaa hii ambayo itaondoa sumu na masalia yote yasiyohitajika mwilini mwako.

Kwa mahitaji ya TIBA hii piga namba +255679448434 au bonyeza link hii kuja moja kwa moja inbox 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=NAHITAJI%20TIBA%20YA-KUONDOA%20SUMU%20MWILINI

CHANZO CHA KUKONDA MGONJWA WA KISUKARI“DIABETIC KETOACIDOSIS”Na Mshauri Makini: 0679448434👉🏽Je umewahi kumuona Mgonjwa w...
31/05/2023

CHANZO CHA KUKONDA MGONJWA WA KISUKARI

“DIABETIC KETOACIDOSIS”

Na Mshauri Makini: 0679448434

👉🏽Je umewahi kumuona Mgonjwa wa Kisukari Anavyokonda? Unajua ushauri anaoambiwa na watu? "Usibague Chakula ndio maana Unakonda" Ushauri huu Unakusindikiza kupoteza Maisha.

👉🏽 Kutokana na Uchakavu wa seli za mwili wa mgonjwa wa Kisukari seli hushindwa kutumia sukari k**a awali kwa sababu ya Usugu na Uchakavu uliojengeka kwenye seli kwa miaka mingi (5-10) (Insulin resistance).

👉🏽 Ubongo Ukisha baini seli za mgonjwa hazipokei sukari hutafuta njia mbadala ya kuzalisha sukari bila kujali wingi wa sukari kwenye damu. "Ubongo unahisi seli zinapungukiwa sukari kumbe uhalisia ni seli hazipokei sukari kwa sababu ya Hitilafu, Insulin resistance"

👉🏽 Mwili Huwa unatafuta njia mbadala ili kuhakikisha seli zinapata chakula na una endelea kuwa hai. Maamuzi ya Mwili ni Kuanza kutumia *VYANZO MBADALA VYA KUZALISHA SUKARI.* Na sukari Hii inayozalishwa huzalishwa kwa lengo Kwenda Kuzipa sukari seli ambazo Hazipokei sukari. Matokeo yake Ini litazalisha sukari na hiyo sukari iliyozalishwa NAYO HAITATUMIKA kwa sababu SELI ZIMECHAKAA NA SELI ZINA USUGU KITAALAMU INAITWA INSULIN RESISTANCE.

👉🏽 Ndio sababu mgonjwa wa Kisukari hata k**a akifunga bila kula masaa zaidi ya 20 akija Kupima sukari anakuta iko Juu hata zaidi ya 20 mmol/L wakati yuko kwenye mfungo na hajala Chochote. Inatoka wapi? Inatoka kwenye Ini.

👉🏽 Kadri asilimia ya seli ambazo hazitumii sukari (Insulin resistant cells) zinavyo ongezeka maana yake usugu wa kisukari Unashamiri Ndivyo na Ini Huongeza hasira ya Kutema Sukari.

👉🏽 Baada ya seli za mwili Kufanya mgomo wa kutumia sukari. Mwili hukimbilia KUCHOMA MAFUTA YA NDANI YALIYOHIFADHIWA. Kisayansi Mafuta ni Nishati mbadala Ya pili pale ambapo Sukari Imeisha au Haitumiki na Mwili.

👉🏽 Kwa hiyo Utachoma mafuta Yote na baada ya mafuta Kuisha Mwili Hukimbilia nishati mbadala ya tatu Inaitwa PROTEIN ambapo sasa Mwili Utaanza KUCHOMA PROTINI YA VIUNGO VYA MWILI NA UTAANZA KUKONDA KWA SABABU MWILI UNAJITAFUNA.

👉🏽 Kasi ya Kuchoma Mafuta ya ndani Pale Ini linapokua linakunusuru usife kwa Kukosa Nishati ya Mwili inaweza kuwa Kubwa sana Kwa Mgonjwa endapo yupo kwenye hatua mbaya

⏺️ Kwahiyo ili mgonjwa wa Kisukari arudi katika hali yake ya awali ya kuwa na mwili wa kawaida, Kwanza atatakiwa kuzuia ini lisizalishe sukari.

⏺️ Pili atatakiwa kuondoa usugu kwenye seli (insulin resistance),hapo ndipo mwili utaacha kutumia protini za viungo mbalimbali (utaacha kujila wenyewe)

💯 Je umeelewa? K**a una ndugu na jamaa YAKO wanapitia changamoto hii Basi usisite kuwasliana nami kupata tiba sahihi na pia kuna program maalumu ya kutibu Kongosho watakao hitaji Tuwasiliane kwa namba 0679448434 au guda link hii kuja moja kwa moja inbox 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=Naomba%20MAELEZO%20KUHUSU%20PACKAGE%20YA%20%20KISUKARI

FAHAMU KUHUSU ASIDI / TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)MSHAURI: +255679448434✍🏻 Hili ni tatizo linalo...
07/05/2023

FAHAMU KUHUSU ASIDI / TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)

MSHAURI: +255679448434

✍🏻 Hili ni tatizo linalotokea katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, linalosababishwa na hitilafu ya chakula au maji kurudi katika koo la chakula (umio) mara baada ya kuwa chakula Hiko kimeshamezwa.Au Ni kitendo cha kupanda kwa acids (tindikali) ya tumbo hadi kwenye Koo /Umio la chakula kwa muda mrefu na matokeo yake husababisha kiungulia (HEARTBURN).

✍🏻 Ili kuelewa vizuri tatizo hili linavyotokea tunatakiwa kujua vizuri jinsi chakula kinavyofika tumboni. Kawaida Mara baada ya mtu kutafuna chakula au kunywa maji, chakula husafirishwa kupitia mrija wa chakula (Esophagus) hadi tumboni lakini juu kidogo kati ya tumbo na mrija huu wa chakula kuna kizuizi kilicho na sura ya bangili ( lower esophageal spincher) kibangili hiki hufanya kazi ya kuzuia chakula kisirudi mdomoni au kwenye koo baada ya kuwa kimeshamezwa.

✍🏻 Baada ya chakula kuingia tumboni huchanganyikana na vimeng'enya pamoja na tindikali ambayo hufanya kazi ya kuua vimelea vyote vilivyoingia tumboni pamoja na chakula mchanganyiko huu husababisha chakula kupata chachu(acids) ambayo matokeo yake huwa ni rahisi sana kuweza kurudi katika koo la chakula endapo kizuizi cha juu ya tumbo kitakua kimepata hitilafu au maambukizi.

🚫 *GERD ni hatari zaidi kwa sababu inaweza kupelekea uwezekano wa kupata Madonda Tumboni au SARATANI YA KOO*.

*CHANZO CHA GERD*

1️⃣ Kudhohofika kwa utendaji kazi wa kizuizi cha juu ya tumbo ( Lower esophageal sphincter)

2️⃣ Mfumo dhaifu wa mmeng'enyo wa chakula kutokana na lishe kuwa mbovu, watu wanaokula zaidi vyakula vilivyosindikwa, sukari, chocolate, vyakula vyenye caffeine k**a kahawa wapo kweye hatari zaidi ya kupata matatizo haya

3️⃣ Tindikali ( Hydrochloric acid) kuzidi tumboni.

4️⃣ Upungufu wa madini k**a Magnesium na Potassium.

5️⃣ Uzito mkubwa na kitambi na msongo wa mawazo kupita kiasi ni chanzo cha kupata matatizo haya.

*DALILI ZA KUZIDI KWA ASIDI YA TUMBO*

➡️ Kupatwa na kiungulia mara kwa mara ambapo huambatana na koo la chakula kuwaka moto

▶️ Tumbo kuunguruma na Kukosa hamu ya kula chakula na kuhisi kichefuchefu.

▶️ Mdomo kunuka kutokana na kurudi juu kwa chakula cha tumboni chenye tindikali.

▶️ Kupata hali ya kuunguza kwenye kifua karibu na moyo, hali inayotokea Muda Mfupi baada tu ya kula na kupata shida wakati wa kumeza chakula.

▶️ Kucheuwa Maji Maji Yenye Tindikali Ukiwa Usingizini Hasa Baada Ya Kulala Muda Mfupi Baada Ya Kula.

▶️ Kukohoa au kupaliwa mara kwa mara ikiambatana na kuweweseka Kwa Kukosa Pumzi.

▶️ Mdomo kuwa mchachu kwa muda mrefu na kukauka.

▶️ Kupata usingizi kwa shida kutokana na maumivu ya tumbo na Koo.

▶️ Kuvimba Kwa Tezi za Shingoni K**a Vile mafindofindo (Tonsillitis) na Goita.

▶️ Meno kupoteza uimara na kuanza kumomonyoka kutokana na uwepo wa tindikali.

▶️ Tumbo kujaa Gesi na Kuunguruma Hasa Muda Mfupi Baaada Ya Kula.

*MADHAYA YA KUTOTIBU GERD*

🚫 Kupata SARATANI YA koo

🚫 Sauti kubadilika kuwa k**a mkwaruzo

🚫 Masikio kuuma

🚫 Kubeuwa mara kwa mara asidi kali Sana k**a inaunguza

🚫 Kiungulia cha mara kwa mara

🚫 KIFUA kuuma/kuwaka moto

🚫 Maumivu ya mgongo na KIUNO

🚫 Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara

Iwapo una dalili nyingi kati zilizotajwa hapo juu, Tuwasiliane ili upate TIBA NA KINGA YA GERD kwa namba 0679448434 au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=NAOMBA%20MAELEZO%20KUHUSU%20TIBA-YA%20UGONJWA-WA%20%20ASIDI-YA-TUMBO

JE, WAJUA CHANZO,  DALILI NA TIBA YA KUDUMU YA UVIMBE WA FIBROID? MSHAURI: +255679448434Fibroids au uvimbe ndani ya kiza...
01/05/2023

JE, WAJUA CHANZO, DALILI NA TIBA YA KUDUMU YA UVIMBE WA FIBROID?

MSHAURI: +255679448434

Fibroids au uvimbe ndani ya kizazi cha mwanamke, ni uvimbe wa misuli laini wenye mizizi ya kuiunganisha, unaoota na kukua kwenye mfuko wa uzazi (Uterus).

👉🏽 Uvimbe wa fibroids unakuwa na ukubwa tofauti tofauti, unaweza kuwa mdogo k**a haragwe au kufikia ukubwa wa tikiti maji.. Uvimbe wenyewe huwa sio Saratani.

*AINA ZA UVIMBE WA FIBROIDS.*

Vivimbe mbalimbali tofauti huanza kujitokeza katika maeneo tofauti ndani na nje ya kifuko cha uzazi (uterus).

1️⃣ *Intramural Fibroids* Aina hii hukua kwenye kuta za uterus. Hii ndiyo aina ya Uvimbe unaowapata wanawake wengi. Uvimbe huu unaweza kukua na ukawa mkubwa zaidi na unaweza kumfanya mhusika kuwa na tumbo k**a mjamzito.

2️⃣ *Subserosal Fibroids:* Aina hizi za uvimbe hujitokeza nje ya tumbo la uzazi la mwanamke (uterus), ambazo hujulikana kwa jina la Serosa. Vivimbe hivi vinaweza kuendelea kukua na kuwa vikibwa sana kuliko kawaida na pia kulifanya tumbo kuwa kubwa.

3️⃣ *Submucosal Fibroids:* Aina hizi za uvimbe hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi. Aina hii ya uvimbe sio ya kawaida sana k**a vivimbe vingine, bali wakati vinapojitokeza, humsababishia mhusika kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi na hivyo kushindwa kubeba ujauzito.

4️⃣ *Cervical fibroids:* Uvimbe wa aina hii hujijenga kwenye shingo ya tumbo la uzazi (Cervix).

*CHANZO CHA FIBROIDS*

▶️ Kutopata ujauzito kwa muda mrefu.
▶️ Kutoshiriki tendo la ndoa muda mrefu (yaani dada ama mama anapofikia umri wa miaka 25-30 bila kushiriki tendo la ndoa).
▶️ Matumizi ya pedi zisizokuwa na uthibitisho wa madaktari.
▶️ Kutoa mimba
▶️ Mapungufu ya virutubisho mwilini.
▶️ Kutokubalance kwa homoni (Hormonal Imbalances)

*DALILI ZA FIBROIDS*;

▶️ Kutokwa na damu kwa wingi wakati wa siku au kutokwa na damu kwa muda mrefu.

▶️ Kutokawa na damu kusiko kwa kawaida katikati ya siku za mwezi.

▶️ Maumivu ya nyonga (uvimbe kugandamiza kwenye viungo vya nyonga)

▶️ Kupata haja ndogo mara kwa mara (Uvimbe ukiwa mkubwa hukandamiza kibofu).

▶️ Maumivu ya mgongo kupita kiasi.

▶️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

▶️ Upungufu wa damu kwa sababu ya kutokwa na damu kwa wingi wakati wa siku.

▶️ Maumivu ya kichwa kupita kiasi hasa wakati wa hedhi.

▶️ Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo (Fibroids kubwa)

▶️ Kutopata Ujauzito au Ujauzito kuharibika mara kwa mara.

*Uvimbe huu unapokuwa mkubwa husababisha dalili zifuatazo;*
▶️ Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe hukandamiza kibofu cha mkojo.
▶️ Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo.
▶️ Choo kuwa kigumu ama kukosa choo.
▶️ Kupungukiwa damu kwasababu fibroid hunyonya damu.

👉🏽👉🏽 Uvimbe wa fibroid unapokuwa mkubwa sana hukandamiza mishipa ya kupitishia mayai kutoka katika kiwanda cha mayai yanakozarishwa yaani o***y.

👉🏽👉🏽 Uvimbe aina ya Submucosal huzuia yai lililorutubishwa lisijishikishe kwenye kizazi.

👉🏽👉🏽 Mwisho kabisa, huzuia mfuko wa kizazi kusukuma mbegu za mwanaume kwenda kwenye mishipa ya kupitishia mayai.

*MATIBABU*

*K**a Unamfahamu mtu mwenye dalili Zilizoainishwa Hapo Juu, mpe namba hii +255679448434, Tunazo Tiba lishe zenye mchanganyiko wa vyakula na mimea mbalimbali ya asili, nazo zina uwezo wa kuondoa matatizo ya uvimbe na magonjwa mengine mbalimbali.*
Au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox… 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=NAOMBA%20MAELEZO%20KUHUSU%20TIBA%20ya%20%20UVIMBE(FIBROIDS)

JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINIMSHAURI: +255679448434 Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanato...
19/04/2023

JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI

MSHAURI: +255679448434

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.

VYANZO VYA SUMU

Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;
1️⃣ Matumizi ya dawa mara kwa mara
2️⃣ Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
3️⃣ Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
4️⃣ Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
5️⃣ Matumizi ya vipodozi vyenye kemikali.
6️⃣ Uzito mkubwa na unene uliozidi.
7️⃣ Mitindo ya maisha (kula hovyo)
8️⃣ Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango za kisasa.

DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI

👉🏽 Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
👉🏽 Kuwa na uzito wa kupindukia
👉🏽 Kutopata choo au kupata choo kigumu
👉🏽 Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
👉🏽 Kichwa kuuma kila mara pasipo sababu
👉🏽 Kupata miwasho na mzio (Allergy).
👉🏽 Maumivu ya viungo K**a vile mgongo, goti, nyonga nk
👉🏽 Kuwa na hasira mara kwa mara.
👉🏽 Tumbo kujaa gesi na kuunguruma kwa muda mrefu.
👉🏽 Uchovu kupitiliza na kukisa usingizi.

MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU

1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.

FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI (DETOXIFICATION)

▶️ Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.
▶️ Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.
▶️ Husaidia matatizo ya homa ya ini (hepatitis)
▶️ Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke pale atakapoitumia na Bidhaa zetu nyingine.
▶️ Huweka hedhi sawa na kuondoa maumivu wakati wa hedhi.
▶️ Huondoa uchovu Na kuupa nguvu.
▶️ Huondoa sumu na kulinda ini.

TUMEKUANDALIA VIRUTUBISHO VITAKAVYOONDOA SUMU KATIKA INI NA MZUNGUKO MZIMA WA DAMU, VIRUTUBISHO HIVI NI VYA ASILI NA HAVINA MADHARA YEYOTE

Wasiliana nasi kwa namba +255679448434 au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=Nahitaji%20TIBA%20kwa%20ajili%20ya%20%20KUONDOA-SUMU-MWILINI

FAHAMU KUHUSU ASIDI / TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)MSHAURI: +255679448434✍🏻 Hili ni tatizo linalo...
17/04/2023

FAHAMU KUHUSU ASIDI / TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)

MSHAURI: +255679448434

✍🏻 Hili ni tatizo linalotokea katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, linalosababishwa na hitilafu ya chakula au maji kurudi katika koo la chakula (umio) mara baada ya kuwa chakula Hiko kimeshamezwa.Au Ni kitendo cha kupanda kwa acids (tindikali) ya tumbo hadi kwenye Koo /Umio la chakula kwa muda mrefu na matokeo yake husababisha kiungulia (HEARTBURN).

✍🏻 Ili kuelewa vizuri tatizo hili linavyotokea tunatakiwa kujua vizuri jinsi chakula kinavyofika tumboni. Kawaida Mara baada ya mtu kutafuna chakula au kunywa maji, chakula husafirishwa kupitia mrija wa chakula (Esophagus) hadi tumboni lakini juu kidogo kati ya tumbo na mrija huu wa chakula kuna kizuizi kilicho na sura ya bangili ( lower esophageal spincher) kibangili hiki hufanya kazi ya kuzuia chakula kisirudi mdomoni au kwenye koo baada ya kuwa kimeshamezwa.

✍🏻 Baada ya chakula kuingia tumboni huchanganyikana na vimeng'enya pamoja na tindikali ambayo hufanya kazi ya kuua vimelea vyote vilivyoingia tumboni pamoja na chakula mchanganyiko huu husababisha chakula kupata chachu(acids) ambayo matokeo yake huwa ni rahisi sana kuweza kurudi katika koo la chakula endapo kizuizi cha juu ya tumbo kitakua kimepata hitilafu au maambukizi.

🚫 GERD ni hatari zaidi kwa sababu inaweza kupelekea uwezekano wa kupata Madonda Tumboni au SARATANI YA KOO.

CHANZO CHA GERD

1️⃣ Kudhohofika kwa utendaji kazi wa kizuizi cha juu ya tumbo ( Lower esophageal sphincter)

2️⃣ Mfumo dhaifu wa mmeng'enyo wa chakula kutokana na lishe kuwa mbovu, watu wanaokula zaidi vyakula vilivyosindikwa, sukari, chocolate, vyakula vyenye caffeine k**a kahawa wapo kweye hatari zaidi ya kupata matatizo haya

3️⃣ Tindikali ( Hydrochloric acid) kuzidi tumboni.

4️⃣ Upungufu wa madini k**a Magnesium na Potassium.

5️⃣ Uzito mkubwa na kitambi na msongo wa mawazo kupita kiasi ni chanzo cha kupata matatizo haya.

DALILI ZA KUZIDI KWA ASIDI YA TUMBO

➡️ Kupatwa na kiungulia mara kwa mara ambapo huambatana na koo la chakula kuwaka moto

▶️ Tumbo kuunguruma na Kukosa hamu ya kula chakula na kuhisi kichefuchefu.

▶️ Mdomo kunuka kutokana na kurudi juu kwa chakula cha tumboni chenye tindikali.

▶️ Kupata hali ya kuunguza kwenye kifua karibu na moyo, hali inayotokea Muda Mfupi baada tu ya kula na kupata shida wakati wa kumeza chakula.

▶️ Kucheuwa Maji Maji Yenye Tindikali Ukiwa Usingizini Hasa Baada Ya Kulala Muda Mfupi Baada Ya Kula.

▶️ Kukohoa au kupaliwa mara kwa mara ikiambatana na kuweweseka Kwa Kukosa Pumzi.

▶️ Mdomo kuwa mchachu kwa muda mrefu na kukauka.

▶️ Kupata usingizi kwa shida kutokana na maumivu ya tumbo na Koo.

▶️ Kuvimba Kwa Tezi za Shingoni K**a Vile mafindofindo (Tonsillitis) na Goita.

▶️ Meno kupoteza uimara na kuanza kumomonyoka kutokana na uwepo wa tindikali.

▶️ Tumbo kujaa Gesi na Kuunguruma Hasa Muda Mfupi Baaada Ya Kula.

MADHARA YA KUTOTIBU GERD

🚫 Kupata SARATANI YA koo

🚫 Sauti kubadilika kuwa k**a mkwaruzo

🚫 Masikio kuuma

🚫 Kubeuwa mara kwa mara asidi kali Sana k**a inaunguza

🚫 Kiungulia cha mara kwa mara

🚫 KIFUA kuuma/kuwaka moto

🚫 Maumivu ya mgongo na KIUNO

🚫 Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara

Iwapo una dalili nyingi kati zilizotajwa hapo juu, Tuwasiliane ili upate TIBA NA KINGA YA GERD kwa namba 0679448434 au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=NAOMBA%20MAELEZO%20KUHUSU%20TIBA-YA%20UGONJWA-WA%20%20ASIDI-YA-TUMBO

FAHAMU KUHUSU ASIDI / TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)MSHAURI: +255679448434✍🏻 Hili ni tatizo linalo...
09/04/2023

FAHAMU KUHUSU ASIDI / TINDIKALI YA TUMBO (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE)

MSHAURI: +255679448434

✍🏻 Hili ni tatizo linalotokea katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, linalosababishwa na hitilafu ya chakula au maji kurudi katika koo la chakula (umio) mara baada ya kuwa chakula Hiko kimeshamezwa.Au Ni kitendo cha kupanda kwa acids (tindikali) ya tumbo hadi kwenye Koo /Umio la chakula kwa muda mrefu na matokeo yake husababisha kiungulia (HEARTBURN).

✍🏻 Ili kuelewa vizuri tatizo hili linavyotokea tunatakiwa kujua vizuri jinsi chakula kinavyofika tumboni. Kawaida Mara baada ya mtu kutafuna chakula au kunywa maji, chakula husafirishwa kupitia mrija wa chakula (Esophagus) hadi tumboni lakini juu kidogo kati ya tumbo na mrija huu wa chakula kuna kizuizi kilicho na sura ya bangili ( lower esophageal spincher) kibangili hiki hufanya kazi ya kuzuia chakula kisurudi mdomoni au kwenye koo baada ya kuwa kimeshamezwa.

✍🏻 Baada ya chakula kuingia tumboni huchanganyikana na vimeng'enya pamoja na tindikali ambayo hufanya kazi ya kuua vimelea vyote vilivyoingia tumboni pamoja na chakula mchanganyiko huu husababisha chakula kupata chachu(acids) ambayo matokeo yake huwa ni rahisi sana kuweza kurudi katika koo la chakula endapo kizuizi cha juu ya tumbo kitakua kimepata hitilafu au maambukizi.

🚫 *GERD ni hatari zaidi kwa sababu inaweza kupelekea uwezekano wa kupata Madonda Tumboni au SARATANI YA KOO*.

*CHANZO CHA GERD*

1️⃣ Kudhohofika kwa utendaji kazi wa kizuizi cha juu ya tumbo ( Lower esophageal sphincter)

2️⃣ Mfumo dhaifu wa mmeng'enyo wa chakula kutokana na lishe kuwa mbovu, watu wanaokula zaidi vyakula vilivyosindikwa, sukari, chocolate, vyakula vyenye caffeine k**a kahawa wapo kweye hatari zaidi ya kupata matatizo haya

3️⃣ Tindikali ( Hydrochloric acid) kuzidi tumboni.

4️⃣ Upungufu wa madini k**a Magnesium na Potassium.

5️⃣ Uzito mkubwa na kitambi na msongo wa mawazo kupita kiasi ni chanzo cha kupata matatizo haya.

*DALILI ZA KUZIDI KWA ASIDI YA TUMBO*

➡️ Kupatwa na kiungulia mara kwa mara ambapo huambatana na koo la chakula kuwaka moto

▶️ Tumbo kuunguruma na Kukosa hamu ya kula chakula na kuhisi kichefuchefu.

▶️ Mdomo kunuka kutokana na kurudi juu kwa chakula cha tumboni chenye tindikali.

▶️ Kupata hali ya kuunguza kwenye kifua karibu na moyo, hali inayotokea Muda Mfupi baada tu ya kula na kupata shida wakati wa kumeza chakula.

▶️ Kucheuwa Maji Maji Yenye Tindikali Ukiwa Usingizini Hasa Baada Ya Kulala Muda Mfupi Baada Ya Kula.

▶️ Kukohoa au kupaliwa mara kwa mara ikiambatana na kuweweseka Kwa Kukosa Pumzi.

▶️ Mdomo kuwa mchachu kwa muda mrefu na kukauka.

▶️ Kupata usingizi kwa shida kutokana na maumivu ya tumbo na Koo.

▶️ Kuvimba Kwa Tezi za Shingoni K**a Vile mafindofindo (Tonsillitis) na Goita.

▶️ Meno kupoteza uimara na kuanza kumomonyoka kutokana na uwepo wa tindikali.

▶️ Tumbo kujaa Gesi na Kuunguruma Hasa Muda Mfupi Baaada Ya Kula.

*MADHAYA YA KUTOTIBU GERD*

🚫 Kupata SARATANI YA koo

🚫 Sauti kubadilika kuwa k**a mkwaruzo

🚫 Masikio kuuma

🚫 Kubeuwa mara kwa mara asidi kali Sana k**a inaunguza

🚫 Kiungulia cha mara kwa mara

🚫 KIFUA kuuma/kuwaka moto

🚫 Maumivu ya mgongo na KIUNO

🚫 Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara

Iwapo una dalili nyingi kati zilizotajwa hapo juu, Tuwasiliane ili upate TIBA NA KINGA YA GERD kwa namba 0679448434 au gusa link hii kuja moja kwa moja inbox
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=NAOMBA%20MAELEZO%20KUHUSU%20TIBA-YA%20UGONJWA-WA%20%20ASIDI-YA-TUMBO

FAHAMU KUHUSU TEZIDUMEMshauri: +255679448434 Tezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu mojawapo ya uzazi wa mwanaume. Hupa...
23/03/2023

FAHAMU KUHUSU TEZIDUME

Mshauri: +255679448434

Tezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu mojawapo ya uzazi wa mwanaume. Hupatikana chini ya kibofu, njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume. Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii) ya mwanaume.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME

⏺️ Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku.
⏺️ Mkojo kutiririka polepole na kukatikakatika.
⏺️ Mkojo kushindwa kutoka, hata mtu anapohisi kukojoa
⏺️ Kutumia nguvu nyingi kuanzisha mkojo hata k**a kibofu kimejaa
⏺️ Kubakiza mkojo kwenye kibofu na kuendelea kutoka kidogo kidogo baada ya kukojoa na kuchafua nguo za ndani
Kukujoa sana usiku
⏺️ Maumivu wakati wa kukojoa na
UTI ya mara kwa mara.

MADHARA YA TEZI DUME ILIYOVIMBA

▶️ Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
▶️ Figo kujaa maji kwa sababu ya mkojo kurudi nyuma kuelekea figo.
▶️ Mkojo kushindwa kutoka kabisa na kuziba kwa njia ya mkojo
▶️ Kukosa uwezo wa kufikia mshindo (retrogade ej*******on).

TIBA YA TEZI DUME ILIYATANUKA

Tumewaandalia TIBA ya kudumu ambayo haina KEMIKALI, itakayoondoa UVIMBE WA TEZI DUME bila UPASUAJI na kuzuia TEZI DUME kuvimba.

KUPATA TIBA HIZI PIGA NAMBA 0679448434 AU BONYEZA LINK HII KUJA MOJA KWA MOJA INBOX

https://wa.me/+255679448434?text=NAOMBA%20MAELEZO%20JINSI%20TIBA%20YA-TEZIDUME%20%20INAVYOPATIKANA

FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE.“Ni Mimi Mshauri Makini 0679448434”👉🏽 Vidonda vya tumbo (Ulcers) ni ugonjwa...
21/03/2023

FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE.

“Ni Mimi Mshauri Makini 0679448434”

👉🏽 Vidonda vya tumbo (Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na mfumo wa Maisha, ulaji mbaya na Mazingira tunayoishi Kwa ujumla.

👉🏽 Ugonjwa huu unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

1️⃣ BAKTERIA
Chanzo kikubwa cha ugonjwa wa vidonda vya tumbo ni Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori). Bakteria hawa huenezwa kwa kula chakula na kunywa maji. Katika mwili wa binadamu Bakteria hawa wapo katika mate na katika ute unaotanda juu ya kuta za Sehemu ya Utumbo Mwembamba (Duodenum) na mfuko wa tumbo.

2️⃣ MADAWA:
Matumizi makubwa ya dawa za kupunguza maumivu ya kichwa na maumivu mengine madogo madogo. Dawa hizo ni k**a aspirin, diclofenac, naproxen, ibuprofen n.k. Dawa hizi hupunguza uwezo wa tumbo wa kutengeneza utando wa ute wa kulikinga tumbo hivyo kulifanya liweze kuliwa kirahisi zaidi na tindikali.

3️⃣ POMBE NA TUMBAKU
Watu wanaokunywa pombe na wale ambao wanatumia tumbaku wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kuupata ugonjwa huu wa vidonda vya tumbo.

4️⃣ Kutokula chakula kwa wakati au kula vyakula vyenye viungo vingi na pilipili nyingi.

5️⃣ Msongo mkubwa wa Mawazo N.K

DALILI YA VIDONDA VYA TUMBO

▶️ Tumbo kujaa gesi.
▶️ Tumbo kuwaka moto.
▶️ Kukosa choo au kupata choo kwa shida.
▶️ Kutapika nyongo
▶️ Kutapika damu au kuharisha.
▶️ Sehemu za mwili kupata ganzi.
▶️ Kukosa hamu ya kula.
▶️ Kusahau sahau na hasira bila sababu.

Hizo ni baadhi tu ya dalili za kuwa na vidonda vya tumbo lakini zipo nyingi, hivyo basi pindi uonapo moja kati ya hizo dalili ni vyema ukaenda kupima vidonda vya tumbo mapema.

MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO

1️⃣ KUVUJA DAMU TUMBONI
Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja. Hali hii ni hatari sana na inahitaji tiba ya dharura.

2️⃣ KUTOBOKA UKUTA WA TUMBO
Vidonda vya tumbo huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.

3️⃣ Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease).

4️⃣ KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA CHAKULA
Kuvimba kwa kuta za tumbo pamoja na makovu yanayosababishwa na vidonda hivi huweza kusababisha kuziba kwa njia ya kupitishia chakula kutoka kwenye tumbo (stomach) kwenda sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum)

5️⃣ SARATANI YA TUMBO
Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata Saratani ya tumbo (stomach cancer).

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Kwa matatizo ya vidonda vya tumbo, watu wengi wamekuwa hakihangaika sana kupata matibabu sahihi na badala yake wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo na si kutibu chanzo cha tatizo moja kwa moja.

Tunayo TIBA nzuri sana ya kutibu vidonda vya tumbo hakika utapona kabisa. TIBA hii ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo hata k**a vimekuwa sugu Kwa miaka mingi vitapona tu kwa sababu tunazuia CHANZO CHA TATIZO na KUTIBU TATIZO LENYEWE

Kwa mahitaji ya tiba hii tutafute Tunapatikana Kupitia 0679448434 call/sms/Whatsapp au gusa link hii kuja moja kwa moja Inbox.👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255679448434?text=NAOMBA%20MAELEZO%20KUHUSU%20TATIZO-LA%20VIDONDA-VYA%20%20TUMBO

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255679448434

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Njema ni Mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share