AFYA BORA

AFYA BORA suppliments

IMARISHA AFYA YA UZAZI NA TENDO  KWA FOREVER MULTI - MACA Nikirutubisho ambacho kimetokana na mmea wa  MACA unaopatikana...
06/03/2022

IMARISHA AFYA YA UZAZI NA TENDO KWA FOREVER MULTI - MACA
Nikirutubisho ambacho kimetokana na mmea wa MACA unaopatikana nchini Peru. Wenzetu Peru wanachanganya kwenye chakula na mboga ili kuboresha na kuimalisha mifumo ya uzazi katika jinsia zote

Forever Multi - Maca ina Madini ya Zinc, Selenium, Chuma na Copper pamoja na vitamin B, C na D ambavyo vina muhimu mkubwa katika afya ya uzazi na mzunguko wa damu

FAIDA ZA MULTI - MACA

🔥 Husaidia kuupa mwili nguvu,Hamu, na stamina wakati wa tendo

🔥Huimarisha misuli ya ASKARI alielegea kutokana na kujichua

🔥Husaidia kwa wenye tatizo la kuwahi kufika kwenye tendo

🔥Husaidia kubalance hormones kwa wenye tatizo la Hormonal imbalance

🔥Husaidia kutoa mbegu zenye afya na zenye uwezo wa kuogelea na kulifikia yai kiurahisi

🔥Husaidia kuzibua uchafu kwenye mirija ya uzazi, hivyo kuepusha kuathirika kwa tezi dume

🔥Husaidia kupunguza msongo wa mawazo

TUNAFANYA DELIVERY TANZANIA NZIMA NA NCHI JIRANI.

Kwa MAELEZO ZAIDI Piga 0688484174

Https://wa.me/+255688484174

K**A SIYO MWANAUME USISOME HIIWanaume wengi wamekuwa wakilalamika suala la maumbile yao ya kiume kuwa madogo kuliko kawa...
12/02/2022

K**A SIYO MWANAUME USISOME HII

Wanaume wengi wamekuwa wakilalamika suala la maumbile yao ya kiume kuwa madogo kuliko kawaida

JE UNAZIJUA SABABU?👇👇👇👇👇👇

🍆KURITHI,,hii Ni sababu moja ya kuwa na maumbile madogo,, muhusik hujikuta maumbile yake ni madogo kuliko umri na hana changamoto yoyote iliyopelekea kuwa hivyo,,ukifata historia utakuta Babu mzaa Bibi,,mzaa baba alikuwa na hilo tatizo hadi vitukuu vinarithi.

🍆PUNYETO,,,wengi wamekuwa na maumbile madogo kutokana na tabia ya kuchua uume,, kitu kilichopelekea uume kusinyaa,,kuwa legelege na kunywea ndani k**a mtoto mdogo.hapa hadi nguvu za kiume muhusik hujikuta ana hilo tatizo yaan kuwahi kufika kileleni mapem na kushindwa kurudia tendo, kutoa mbegu chache, kushindwa kurudia tendo baada ya mshindo wa kwnza,,uume kusimamisha ukiwa legelege nk.

🍆HOMONAL IMBALANCE,,,mwili wa binadamu una homon nyng sna na kila homon ina kaz yake mfano pituitary,thairoidy,, adrenaline nk yaani kuna ya kizuia sukar,,ya ukuaji wa viungo vya mwili na hii NDIYO homon inayohusiana na mambo ya kukua kwa viungo mbalimbali baada ya baleghe K**a viungo vya uzaz,,nyonga,,kifua,,nk.homon hii ikishindwa kufanya Kaz kwa ufanis hupelekea maumbile kuwa madogo pia.

🍆UNENE ULOPITILIZA,,, takwimu zinaonyesha watu wanene sana kuwa na maumbile madogo kuliko wembamba asilimia 60% ni kweli hususan wale waliozaliwa hivyo.hapa mwili unakosa kurelax,, pe*******on ya damu kuwa ndogo pia Ni rahis mishipa ya damu kuziba na kushindwa kufanya Kaz vzr hvyo hata homon hushindw kufanya Kaz vzr.

🍆NGIRI,,,(hernia) hupelekea maumbile madogo na upungufu wa nguvu za kiume,,kwa wenye tatizo hili watakuw mashahidi yaan.,kukosa choo, Tumbo kuuma, maumivu makali Chin ya kitovu,, ugumu wa choo (k**a choo cha mbuz),na uchovu Wa mara Kwa mara

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUTATUA TATIZO HILI

CALL/WHATSAPP
0688484174

Https://wa.me/+255688484174

K**A WEWE NI MWANAUME USIPITE BILA KUSOMA HII👇👇👇*K**A MWANAUME UNAJISKIAJE KUPITIA CHANGAMOTO HII*Kwangu ilikua ngumu sa...
08/02/2022

K**A WEWE NI MWANAUME USIPITE BILA KUSOMA HII👇👇👇

*K**A MWANAUME UNAJISKIAJE KUPITIA CHANGAMOTO HII*

Kwangu ilikua ngumu sana,
nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.....

Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu k**a huu.

Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake k**a naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.

Nilijaribu kua muwazi kwa rafiki zangu k**a wawili hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata k**a hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....

Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni
Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.

Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale k**a nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..
Kwa sasa nafuraha sana kukushirikisha jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.

Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako itatokaje,?

Zipo njia ama bidhaa zinaweza kukusaidia sana kuondokana na tatizo hili na ukafurahia Ndoa yako.

Kwa ushauri zaidi na namna ya kupata Huduma Yetu comment namba yako au piga kupitia..

0688484174

Https://wa.me/+255688484174

Whatsap/texts/calls.

kwa msaada zaid.

Popote ulipo huduma hii itakufikia.

Ahsante na karibu sana.

SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA: -Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo m...
14/12/2021

SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:

-Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo mwingilia mwanamke kimwili,na humchukua dakika moja ama mbili tu,kumaliza tendo, baada ya hapo hukoswa hamu ya kuendelea tena, na uume wake huwa legelege..
-Sababu nyingine ni kupania,kuwa na hamasa kupitiliza,kuwa na uoga na matatizo mengine ya kiseikolojia..
-Uwezo mdogo wa ngozi ya uume kuhisi au kupata mguso wakati wa tendo,na matatizo ya neva za mwili..
-Sababu nyingine ni uume kushindwa kusimama(erectile dysfunction) kutokana na kulegea kwa msuli wa pelvic floor muscle.
-Kiwango kidogo cha homoni,uzalishwaji hafifu wa kemikali kwenye ubongo(neurotransmitters)..
-Sababu zingine ni za kijenetiki,maambukizi hususani magonjwa ya zinaa,na matatizo ya vimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanaume..

DALILI ZA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:

-Kumaliza mapema au kabla ya tendo,tatizo hili huweza kuwatokea hata wale wanaofanya punyeto,wana weza kufika kileleni mapema tu,lakini wakati huo huo kufanya punyeto ni sababu moja wapo ya tatizo..
-Dalili zingine ni,kuboreka,kughadhabika na uoga wa kumkalibia mwenza wako..
Tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanaume watatu,mwanaume mmoja ana tatizo la kufika kileleni mapema au kabla, wakati wa tendo la ndoa!!

Hili tatzo kwa kweli linakosesha amani Sana, yaani usikubali kuliacha liwe sugu litakusumbua Sana, litakupatia stress Sana.

SULUHISHO
👇
TUMIA VIRUTUBISHO ASILI 💯 KURUDISHA HESHIMA YAKO ,
EPUKA FEDHEHA

PIGA SIM NO 0688484174

NJOO WHATSAPP KUPITIA LINK HII👇👇👇👇
Https://wa.me/+255688484174

*KWA NINI UTUMIE MULTI-MACA?:**MULTI-MACA (100% NATURAL) NI KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME NA WANAWAKE.*HUSAID...
10/12/2021

*KWA NINI UTUMIE MULTI-MACA?:*

*MULTI-MACA (100% NATURAL) NI KIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA WANAUME NA WANAWAKE.*
HUSAIDIA:
1. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume bila kuchoka
2. Ku-balance homoni
3. Kuboresha msukumo wa damu ambayo ni muhimu kwenye nguvu za kiume
4. Kupunguza madhara ya menopause (kukoma kwa hedhi)
5. Kuzuia ukuaji wa tezi dume
6. Kuongeza stamina pamoja na nguvu za kiume
7. Kuongeza idadi, kasi na ubora wa mbegu
8. Kutatua tatizo la vaginal dryness kwa kumuwezesha mwanamke kuwa mnyevu wakati wote wa tendo la ndoa na kulifurahia bila kuwa na mawazo ya michubuko na maambukizi ya magonjwa ya zinaa
9. Kupunguza athari za msongo wa mawazo kwenye mwili
10. Inarutubisha mayai na kuweka sawa afya ya uzazi kiujumla

*MULTI-MACA NI TSH 75,000 ( KSH 3675)*

*KARIBU SANA, UANZE KUITUMIA LEO.*💥💥💥

Kwa maelezo zaidi
+255688484174

HII NDIO PROGRAM YA C9 ( clean 9 )....Clean 9 ni program ya siku tisa iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya kuuandaa mwili w...
30/11/2021

HII NDIO PROGRAM YA C9 ( clean 9 )....

Clean 9 ni program ya siku tisa iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya kuuandaa mwili wako katika Safari ya kupungua uzito uliozidi PAMOJA NA UNENE KUPITA KIASI.. program hii Ina bidhaa tano tofauti, yaan.

🎯LOE VERA GEL 2..

🎯ULTRA LITE VANILLA ( Maziwa )..

🎯 FOREVER GARCINIA..

🎯FOREVER THERM...

🎯 FOREVER FIBER pakiti 9

-- Tape 1 na kitabu Cha muongozo 1..

C9 inapunguza uzito pamoja na unene KUPITA KIAS kwa njia salama zaidi.. kumbuka hii ni program ya siku tisa tuu mwili wako unakuwa ni wa kuvutia zaidi.. enjoy maisha yako na C9..... KITAMBI HAKIFAI, PIGA VITA DHIDI YA KITAMBI NA C9.

MTU MAKINI HUANZA NA AFYA YAKE KWANZA..... GET FIT NATURALLY WITH FOREVER LIVING PRODUCTS..

KWA MAWASILIANO
CALL
WhatsApp
SMS
0688484174

,,,,,

*ONDOA TATIZO LA MISULI KULEGEA, KUSHINDWA KURUDIA, KUKOSA HAMU NA KUKOSA NGUVU NA STAMINA KWA NJIA HII!*Inawezekana upa...
23/11/2021

*ONDOA TATIZO LA MISULI KULEGEA, KUSHINDWA KURUDIA, KUKOSA HAMU NA KUKOSA NGUVU NA STAMINA KWA NJIA HII!*

Inawezekana upata changamoto mojawapo katika hizo, au baada ya kumaliza laundi ya kwanza ukitaka kuendelea uume huwa lege lege, Kutoa mbegu mapema kabla ya tendo au unapojisaidia haja ndogo au kubwa, unakosa hamu kabisa ya tendo.

Wengine kupata maumivu makali ya Korodani au korodani zinalegea na uume kunywea au kusinyaa k**a wa mtoto.

Kawaida changamoto hii inapaswa imutokee mtu mwenye miaka zaidi ya 70 kwenda juu tena mara moja moja siyo kila siku, Lakin mambo hayako hivyo kwa maisha ya sasa. Vijana miaka 30, 40 na watu wazima mpaka 60 tatizo limekuwa kubwa na linazidi kuwa kubwa!

K**a ulipitia mchezo wa punyeto hapo zamani,
Mfumo wako wa vyakula unavyotumia, una msongo wa mawazo, Unatumia vilevi vikali, Una ugonjwa Sukari, Pressure n.k, Changamoto hii haiwezi kuwa mbali nawe! Lakini kwa kijana k**a upo addicted na vitendo vya kuangalia picha za ngono basi ni rahisi kupata shida hii.

*NINI UFANYE KUMALIZA TATIZO HILI !??*

Kwa ajili yako wewe unaetaka kuzidi kuwa imara, kulinda nguvu zako hata k**a uko sawa na kuhakikisha haupati shida yoyote, Wewe ambae tayari unatatizo ili urudi kawaida na maanisha wewe unaeishia bao moja na unashindwa kuendelea na tendo, Maumbile yanapungua, Uliyejichua yaani k**a uliwahi kupiga punyeto, Unae poteza hamu ya tendo la ndoa na ambae unatoa mbegu kidogo.

*TUMIA ARG PLUS, MULTI MACA NA MEN VITALITY SUPPLEMENTS - MKOMBOZI KWA WANAUME WOTE*

Ndiyo, hizi bidhaa mbili zimefanya mabadiliko makubwa sana kwa wanaume wengi sana ambao nimewahudumia bidhaa hizi na ambao walikuwa na Matatizo hayo

Hizi ni sababu kuu 7 za kwa nini utumie virutubisho vya *ARGI+, MULTI MACA na MEN VITALITY SUPPLEMENTS* kwa ajili ya kuimalisha, kulinda, kutunza na kutibu kabisa tatizo la nguvu za kiume hata k**a hali yako ikiwa mbaya kiasi gani zitakupatia matumain mapya na kurudi katika hali yako bila kutumia madawa hatarishi kwa afya yako kwa ujumla.

1. Kuimalisha mzunguko wa damu.
Bidhaa hizi tatu zinakusaidia kuimarisha mzunguko wa damu mwili mzima na kwenye mfumo wa uzazi na kuufanya uume uweze kupata damu ya kutosha hivyo kuwa na uwezo wa kusimama k**a msumari,
Huondoa mafuta mabaya kwenye mishipa, hubalance presha na kuimalisha utendaji kazi wa moyo.
Ili uweze kusimamisha vizuri, damu inatakiwa ifike ya kutosha katika Dhakari yako, hivyo bidhaa hii itafanya uume unakuwa unasimama imara zaidi na unakuwa na uwezo wa kuludia tendo la ndoa mara nyingi zaidi.

2. Kuimarisha mishipa ya damu.
Mzunguko wa damu ukiwa vizuri kwenye uume husaidia kuimalisha mishipa au misuli yake, hata k**a ulijichua yaani punyeto mishipa inaludi kawaida na maumbile k**a yalipungua kwa sababu ya kujichua uume unaongezeka na kuludi k**a awali,
naomba uelewe k**a umezaliwa hivo hivo uume wako mdogo hautaongezeka lakin k**a uume ulipungua kwa sababu zozote mwanzoni ulikuwa mkubwa unaludi ukubwa ule unaotakiwa.

3. Kubalance hormone
K**a hamu ya tendo la ndoa imepungua, huhisi hisia wakati wa tendo la ndoa pia k**a ukimaliza bao la kwanza hisia/hamu zinapotea zinakusaidia kuludisha hormone sawa ambapo hamu ya tendo la ndoa inaongezeka.

4. Kuimarisha na kulinda tezi dume.
Hii k**a wewe unaumri kuanzia miaka 40 kwenda juu hii ni muhim sana kwako kwani unapoitumia unaepuka kutanuka kwa tezi dume mapema na kuzidi kuwa na nguvu za kiume k**a kijana wa miaka 25, waliopata shida ya tezi dume nadhani watanielewa ninachokimaanisha tezi dume ikianza kusumbua mambo yako katika tendo pia nayo yana haribika.

5. Huongeza wingi na ubora wa mbegu.
Kwa mtu ambae anakiwango kidogo cha mbegu hii itamsaidia sana kuimalisha na kuongeza wingi na ubora, k**a unashindwa kumpa ujauzito mwanamke au mwanamke anashindwa kupata mimba na mmefanyiwa check up hakuna tatizo lolote na mambo mengine yako sawa hii itakusaidia sana kuludi kawaida,
Hii nakupa asilimia 100% kabsa kwani nina shuhuda za wanaume wengi sana na wanawake pia shida zao za kapata watoto kupitia hizi wamefanikiwa

6. Nguvu za kiume
Kuwahi kufika kilelen yaani kumaliza ndani ya dakika chache, uume kusimama lege lege, kuchelewa kuendelea na tendo baada ya bao la kwanza na kushindwa kumaliza au kuchukua mda mlefu wakati mwingine kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa shida hio inaisha, kwasababu mzunguko wa damu utakuwa sawa, nguvu na stamina pia.

7. Pumzi
Wanaume wengine huishiwa nguvu haraka wakati wa tendo la ndoa yaani huchoka haraka mwingine akimaliza tendo anaweza kupitiwa mpaka na usingizi mzito kweli, Sasa hizi zitakusaidia kuupa mwili nguvu ambapo mishipa hulishwa protin ya asili ambapo mwili unakuwa na nguvu za kudumu.

*HILI NI SULUHISHO SAHIHI NA LA KUDUMU KWA CHANGAMOTO HIZO.*

*UNGEPENDA KUANZA KUTUMIA SASA, NJOO UPATE MWONGOZO!??*

Whatsapp no 0688484174
Call 0688484174

Note:e

Hizi siyo dawa ni ni lishe yaani virutubisho havina athari zozote mbaya kwa mtumiaji.
Hazina masharti yoyote wakati wa matumizi.

*KARIBU SANA.*

SHULUHISHO LA KUDUMU KWA WEWE UNAESUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA UKOSEVU WA NGUVU ZA KIUMETUMIA PACKAGE MAALUM ITAYOMALIZA K...
31/07/2021

SHULUHISHO LA KUDUMU KWA WEWE UNAESUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA UKOSEVU WA NGUVU ZA KIUME

TUMIA PACKAGE MAALUM ITAYOMALIZA KABISA MATATIZO YAKO
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

- ITAKUSAIDI KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA HIGH BLOOD PRESSURE

-KUSAFISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA

-WAATHIRIKA NA PUNYETO

- KUWA NA UWEZO. KURUDIA TENDO VIZURI.

-KUONGEZA IDADI YA MBEGU

-KUSIMAMISHA UUME VIZURI.

- KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.

-KUIMARISHA MISULI

-KUPATA HAMU YA KUFANYA TENDO

KUTOFIKA MAPEMA KILELENI

NB: KUMBUKA HIZI SIO DAWA NI VIRUTUBISHO
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA/

WHATSAPP +255688484174

*SARATANI YA TEZI DUME*Tezi dume ni nini?Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kuten...
16/06/2021

*SARATANI YA TEZI DUME*

Tezi dume ni nini?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.

*Ipo wapi?*

▪️Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.

_*Saratani ya tezi dume ni nini?*_
▪️Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini

*Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume*

▪️Umri Mkubwa kuanzia miaka 50

▪️Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii

▪️Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu

▪️Unene uliokithiri

▪️Ukosefu wa mazoezi

▪️Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.

▪️Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume

*Dalili zake ni zipi?*
▪️Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
▪️Kwenda kukojoa mara kwa mara.
▪️Damu ndani ya mkojo.
▪️Kushindwa kukojoa.
▪️Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
▪️Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
▪️Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
▪️Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.

*UCHUNGUZI*
Wanaume wote wanpaswa kufanya uchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka 50. Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka 45.

*Uchunguzi unafanyika kwa njia zifuatazo*

🔹Uchunguzi kwa cancer marker kwa kuchunguza damu (PSA).
🔹Uchunguzi kwa njia ya kipimo cha njia ya haja kubwa (DRE)
🔹Biopsy.
🔹Ultrasound.
🔹X-ray.
🔹Bone scan.

*Jinsi ya kutibu saratani ya tezi dume*

▪️Matibabu ya tiba lishe na tabia*
▪️Upasuaji.
▪️Mionzi
▪️Dawa ya saratani
▪️Homoni.

*Matibabu hutegemea*

▪️Ngazi na ukali wa ugonjwa.
▪️Je, ugonjwa upo ndani ya tezi dume tu au umesambaa.
▪️Umri na afya ya mgonjwa.
▪️Magonjwa ambatanishi na saratani hiyo, shinikizo la damu, matatizo ya moyo na kisukari.

TIBA
*TIBA LISHE, KUBADILIFUMO WA MAISHA NA TABIA*
▪️Tiba hii hulenga kuondoa mazingira hatarishi ya kuzaliwa kwa chembechembe hai za tezi dume bila utaratibu, kupunguza mazingira ya acid na lulifanya tezi kurudi katika umbo lake la awali. Vyakula k**a nyama, maziwa, ngano, pombe na sigara huondolewa katika mlo huo ili kupunguza shambulio hatarishi. Sambamba na lishe, mgonjwa au mtu alie na dalili hizo hushauriwa kutumia virutubisho vyenye Zinc, vitamin D, E, C, Follic acid na amino acids kwa kiasi kikubwa.

*UPASUAJI*
▪️Kuondoa tezi dume yote peke yake inaweza ikatosha.
▪️Kuondoa tezi dume na tezi jirani.
▪️Kuondoa tezi dume na kuhasi
▪️Kuondoa tezi dume kidogo kupitia njia ya mkojo na kumpa mgonjwa tiba shufa.

MIONZI.
▪️Dawa na upasuaji inaweza kuondoa ugonjwa iwapo haujasambaa.
▪️Mionzi pia hutolewa k**a tiba shufaa.

*DAWA YA SARATANI*
▪️Baadhi ya wagonjwa hufaidika na tiba hii, dawa hutolewa kwa muda mfupi na kufuatilia maendeleo ya mgomjwa kwa kufanya PSA,dawa inaweza kuwa moja au mchanganyiko.

*HOMONI*
▪️Hutolewa mfullulizo kwa njia ya vidonge au sindano.

*Ufuatiliaji wa karibu*
▪️Ni muhimu kufuatilia hali ya tezi isirejee baada ya ugonjwa kutibiwa kwa kufanya kipimo cha PSA mara kwa mara angalau miezi mitatu mara moja.

_Athari zitokanazo na matibabu mbalimbali yaliyotajwa._

*Upasuaji*
Unaweza kusababisha kutoweza:
▪️Kuzuia mkojo
▪️Kupoteza nguvu za kiume.

*Homoni*
▪️Homoni huongeza joto mwilini
▪️Kupungukiwa na nguvu za kiume

UMUHIMU WA KUTUMIA ARCTIC SEA .SUPER  OMEGA- KATIKA KUPUNGUZA CHOLESTEROL, KUIMARISHA AFYA YA MOYO, MFUMO WA FAHAMU, AFY...
15/06/2021

UMUHIMU WA KUTUMIA ARCTIC SEA .SUPER OMEGA- KATIKA KUPUNGUZA CHOLESTEROL, KUIMARISHA AFYA YA MOYO, MFUMO WA FAHAMU, AFYA YA WATOTO NA NGOZI.

Tunapoangalia suala la fat, kuna aina ya fat ambayo ni muhimu sana katika kuimarisha afya. Aina hii ni Omega-3 fatty acids.

Unashauriwa kuchagua Omega-3 fatty acids zitokanazo na wanyama kwani manufaa mengi yamehusishwa na aina ya EPA na DHA tofauti na ile ya ALA ambayo hupatikana katika vyakula vya mbegu.

Katika Arctic sea wamefanikisha kupatikana kwa virutubisho (supplements) vya Omega-3, ambayo ni FOREVER ARCTIC SEA (Omega 3 na 9)

Arctic Sea imetokana na mafuta ya samaki aina ya SALMON kutoka katika kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 (750 mg). Mafuta haya yanasaidia kuondoa cholesterol, ukuaji na ufanyaji kazi mzuri wa macho na ubongo. Kila kidonge kimoja cha mafuta haya kina vijiko 30 vya chai vya mafuta ya samaki.

Bidhaa hii inaweza kupasuliwa na kupakwa kwenye ngozi kwaajili ya massage. Tafiti zinaonesha kuwa utumiaji wa omega-3 husaidia luondokana na hatari ya magonjwa ya kansa, kisukari na magonjwa ya moyo.
Arctic sea imejumuisha pia mafuta ya calamari na mzeituni ambayo inayotoa Omega 9 (250 mg).

1. Omega-3 inasaidia kuondokana na hatari ya kupata shambulio la moyo pamoja na kiharusi.

2. Omega-3 inapunguza kiasi cha cholesterol na fat ya kwenye damu (triglycerides). Virutubisho vya mafuta ya samaki vinaweza kupunguza kiwango cha triglyceride pamoja na kuvunja vunja cholesterol mwilini. Kiwango kikubwa cha fat hii katika damu kunapelekea hatari ya kupata magonjwa ya moyo.

3. DHA imeonekana kuwa muhimu katika uimarishaji wa afya ya macho na mfumo wa fahamu kwa watoto. DHA inadumisha afya ya ubongo na uwezo wa kujifunza kwa watoto. Upungufu wa DHA unapelekea uwezo mdogo wa kujifunza na upungufu wa kumbukumbu kwa watoto. Tafiti zinaonesha watoto wanaotumia omega-3 wakiwa wachanga wanakuwa na uwezo mkubwa wa akili kuanzia umri wa miaka mitatu (3) na mitano (5).
Pia EPA na DHA inaongeza kiwango cha dopamine katika ubongo, inafanya ukuaji wa neva katika in ubongo wa mbele.

4. Omega-3 inasaidia kuondokana na hatari ya kupata Rheumatoid arthritis. Virutubisho vya mafuta ya samaki (EPA na DHA) vinasaidia kuondokana na tatizo la kukak**aa viungo.

5. Msongo wa mawazo. Tafiti mbalimbali zimeonesha kuwa jamii zenye kupata Omega-3 ya kutosha zinaondokana na tatizo la msongo wa mawazo.

KWA MAELEZO ZAIDI
USHAURI
KUPATA BIDHAA HII
PIGA SIM NO +255688484874

BORESHA AFYA YA MOYO, UBONGO, KUMBUKUMBU, MACHO, NYONGA, MISULI NA MZUNGUKO WA DAMU KWA KUTUMIA 👇👇👇👇👇FOREVER ARCTIC SEA ...
15/06/2021

BORESHA AFYA YA MOYO, UBONGO, KUMBUKUMBU, MACHO, NYONGA, MISULI NA MZUNGUKO WA DAMU KWA KUTUMIA 👇👇👇👇👇

FOREVER ARCTIC SEA (SUPER OMEGA 3)

Ni mafuta ya Samaki yaliyotokana na samaki aina ya Salmon, Cod, Anchovy na Calamari na kuongezewa mafuta ya mzaituni, Limao na Ndimu kwa Utunzaji.

Mafuta haya yana Omega 3 & 9, Vitamin A & E, DHA & EPA.

OMEGA 3 ni mafuta mazuri yanayohitajika mwilini kwa kutunza Joto la mwili na husaidia usafirishaji wa Damu kiurahisi inayoanzia kwenye Moyo kuelekea sehemu zingine za mwili.

OMEGA 3 inapopungua mwilini mtu huhisi dalili za Ganzi kwenye Viuungo, Ubaridi, maumivu ya Kichwa au Macho.

OMEGA 9 ni mafuta yanayosaidia kuyeyusha na kuunguza mafuta mabaya ( Cholesterol ) yanayoganda kwenye Mishipa na kuifanya Damu isisafiri vizuri.

Mafuta mabaya yakizidi mwilini hupelekea mtu kuwa na BP ya kupanda au kushuka au kupatwa na Kiharusi ( Stroke ).

VITAMIN A husaidia afya ya Ubongo, Kumbukumbu, Macho, Kuongeza Kinga ya mwili, Kuboresha afya ya mmeng'enyo wa chakula na Homorne za kijinsia.

VITAMIN E husaidia kuimalisha afya ya Misuli, Mifupa na kurainisha Nyonga.

DHA ni Cell ambazo zinasaidia kuimalisha afya ya Ubongo na Kumbukumbu kwa binadamu.

EPA ni mafuta ambayo yanasaidia kuyeyeyusha mafuta mabaya mwilini.

KWA MAELEZO ZAIDI
USHAURI
KUPATA BIDHAA HII

PIGA SIM NO
+255688484174

*FAHAMU JINSI UZITO MKUBWA,KITAMBI NA NYAMA ZEMBE ZINAVYOPELEKEA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.**Watu wengi hujiuliza   je  ...
12/06/2021

*FAHAMU JINSI UZITO MKUBWA,KITAMBI NA NYAMA ZEMBE ZINAVYOPELEKEA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.*

*Watu wengi hujiuliza je kuna uhusiano gani ya mimi kuwa na uzito mkubwa na kukosa nguvu za kiume? Jibu ni.....*

1. Kuwa na uzito mkubwa huongeza idadi ya sumu mwilini hivyo huingilia utendaji kazi na uzalishwaji wa hormone ya kiume yaan TESTOSTERONE mwilini na badala yake kuzalishwa hormone ya k**e yaan ESTROGEN.
Hivyo basi shughuli zote za Afya ya uzazi ya mwanaume ,uwepo wa sauti nzito, misuli, ukuuaji wa uume, uwezo wa kushiriki tendo la ndoa na afya ya moyo kushindwa kufanyika kiufasaha kwa sababu hormone ya kiume inakuwa inazalishwa kwa kiwango cha chini.

2. Uwepo wa nyama zembe katikati ya mapaja hufanya korodani ziwe kwenye joto kubwa zaidi ya 35C ambalo sio salama kwa uzalishwaji wa mbegu.
Hivyo mbegu kuzalishwa ndogo,nyepesi na hafifu na kushindwa kutungisha mimba.

3. Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume mnene zaidi ya inch 40 kiuoni wapo kwenye hatari zaidi ya kupata tatizo la utanukaji wa tezi dume na kansa yake.
Maana uzito wa mafuta huleta shida kwenye tezi.
Na katika uhalisia tezi ikishaanza tu kutanuka mwanaume hushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi.

4. Kitambi kinaenda bega kwa bega na upungufu wa nguvu za kiume.
Kwa nini? Kwa sababu kitambi huharibu mzunguko wa damu. Tunahitaji mzunguko wa damu wenye afya kwa ajili ya damu hiyo kuingia ndani ya uume na kujaa.
K**a damu haingii ya kutosha kwenye uume nguvu za kiume pia hupotea. Uume hauwezi kusimama vizuri na huwezi kuwa na ufanisi mzuri wakati wa tendo.

5.Pia uzito wa mafuta ya kwenye kitambi hudhuru misuli iitwayo "*pelvic floor muscles*". Hii ni misuli muhimu sana, iko chini ya nyonga. Inafanya kazi nyingi, baadhi ya kazi zake ni kusaidia kusimamisha uume kuwa imara kabisa, na pia kuzuia kufika kileleni haraka.
Mafuta ya kwenye kitambi huidhikisha na kuidhoofisha misuli hii na hivyo kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

*Tunaposema mtu ana upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha vitu vifuatavyo:*

1. Uume wa mwanaume kushindwa kusimama kabisa au kuwa legelege.
2. Mwanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa.
3.Mwanaume kushikiriki tendo mala moja tu na kushindwa kurudia tendo.
4. Mbegu za mwanaume kuwa nyepesi na kushindwa kutungisha mimba.
5. Kufika kileleni mapema na kushindwa kurudia mpaka mda fulani upite..

*Hivyo basi kuna ulazima wa mtu wa namna hiii kupata virutubisho pamoja na mazoezi ili kuweza kuondokana na changamoto hizi.*

*KUMBUKA:*
Program zetu zote za kupunguza uzito na kumaliza tatizo la nguvu za kiume ni za virutubisho, hivyo zina faida nyingi sana kwako mtumiaji na ni guaranteed.

*UNAPATA CHANGAMOTO HII !??.*
*NJOO TUZUNGUMZE.*

*MAWASILIANO:*
+255688484174*

Address

Kijutonyama , Makumbusho
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA BORA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram