Desdery K Peter, Eternal Hope.

Desdery K Peter, Eternal Hope. 🥼Certified Psychotherapist and International Executive Diplomat 🌍
💼 Mental Health Practitioner🧠 Psychotherapy, Counselling Psychology and Mental Health.

AFRICAN SOCIETY OF ASSOCIATION EXECUTIVE.THEME LEVERAGING AI AND INNOVATION IN ASSOCIATION.
29/10/2024

AFRICAN SOCIETY OF ASSOCIATION EXECUTIVE.

THEME LEVERAGING AI AND INNOVATION IN ASSOCIATION.

25/07/2024

  Malezi yanaweza kuchangia uwepo wa changamoto katika mahusino na Ndoa, ambapo hizo changamoto zinaweza kupelekea magon...
17/07/2024

Malezi yanaweza kuchangia uwepo wa changamoto katika mahusino na Ndoa, ambapo hizo changamoto zinaweza kupelekea magonjwa ya Akili.

Unapo mlea Mtoto ni vyema na muhimu kuzingatia Afya yake ya Akili.

Africa Academy for Public Health - AAPH East Africa Radio Mc Ritha Chuwalo Wizara ya Afya Tanzania Agape Women Development Foundation Rafiki Foundation Mtwara Economic and Social Research Foundation (ESRF) - Tanzania Family Welfare Foundation-FWF

  . SCHIZOID PERSONALITY DISORDER (SPD).Inawezekana mwanao, ndugu, Rafiki au hata wewe mwenyewe unapitia changamoto hizi...
18/05/2024

. SCHIZOID PERSONALITY DISORDER (SPD).

Inawezekana mwanao, ndugu, Rafiki au hata wewe mwenyewe unapitia changamoto hizi zifuatazo, 👇

- Unatamani uwe peke yako na kufanya shughuri zako mwenyewe.
- Hutaki kufurahia uhusiano wako wa Karibu sana watu wako.
- Uwezi kuwa na hisia za kuwa na mahusino ya kimapezi ( tendo la ndoa).
- Uwezi kufurahia maisha hata k**a umepata nafasi hiyo.
- Huna uwezo wa kujitia moyo na kufanya malengo yako.

Basi ni wazi kuwa wenda unapitia changamoto ya Afya ya Akili au ugonjwa unao julikana kwa jina la Schizoid Personality Disorder (SPD) .

Ugonjwa huu wa SPD unawakumba zaidi vijana haswa kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea. Japo kua pia huwa tatizo linaanza kuonenaka utotoni.

Huu ugonjwa unaweza kusababisha usifanye vizuri Shuleni, kazini na katika maeneo mengine katika maisha yako, japo pia upande wa kazini unaweza kufanya vizuri endapo utakuwa peke yako.

Ugonjwa huu SPD unaweza kurithi (Vinasaba) lakini pia sababu mbali mbali za Kimazingira, kijamii zinaweza kichangia kupata ugonjwa wa SPD.

Matibabu yake yapo ya aina tofauti tofauti na yanapatikana katika vituo vya kutolea huduma za Afya.

.
Africa Academy for Public Health - AAPH Mental Health Tanzania East Africa TV East Africa Radio

         PERINATAL DEPRESSION & PRENATAL DEPRESSION🧠.Wanawake katika Jamii zetu wamekuwa wanapitia changamoto nyingi Kab...
16/05/2024


PERINATAL DEPRESSION & PRENATAL DEPRESSION🧠.

Wanawake katika Jamii zetu wamekuwa wanapitia changamoto nyingi Kabla au baada ya kujifungua, wengi wao udhani ni hali ya kawaida kumbe ni ugonjwa.

Mwanamke mwenye ujauzito au aliye jifungua na ana dalili hizi,👇
- Kumpoteza ham ya upendo/ uhitaji wa Mtoto.
- Kuwaza kifo mara kwa mara, kutamani kujidhuru au kujaribu kujiondoa uhai.
- Kujihisi mchovu au Kupoteza nguvu kuliko kawaida.
- Kujihisi mwenye hatia, huna thamani na kutokuwa na msaada wowote.
- Kupata shida katika kusinzia.
- Kuumia mwili, kichwa Kuuma sana.
- Kuwa na wasiwasi.
- Kuhisi unakosa matumaini.
- Kujihisi kuwashwa, kuchanganyikiwa, na kukosa utulivu. Basi ni wazi kwamba anaweza kuwa na ugonjwa wa Akili unao julikana k**a Perinatal Depression.

Perinatal Depression; Ni Sonona (Depression) ambayo inakuwa/ inatokea kipindi cha ujauzito ( Perinatal depression) na wiki mbili baada ya Mtoto kuzaliwa ( Postpartum Depression). Mara nyingi vipindi vya kujirudia ni kati ya wiki 4 - 8 baada ya Mtoto kuzaliwa.

Ugonjwa huu sio wa mtu mmoja bali ni kila mtu anaweza kupatwa na tatizo hili bila kujali kabila, rangi, Umri wala Elimu Kwa maana hiyo utakiwi kujutia kwa lolote lile.

Tafiti zinaonyesha kuwa Mazingira na vina saba vinaweza kuchangia kupata ugonjwa huu.
Mfumo wa maisha mf; k**a umewai kupitia kipindi cha mateso na manyanyaso ya kuumiza moyo, kukosa kazi na Mabadiliko ya homoni kipindi cha ujauzito na baada vinaweza kuchangia kupata Perinatal Depression.

Lakini pia wanawake ambao wako hatarini kupata PD ni wale wenye mtu au familia yenye historia ya kuwa na Sonona (Depression) au Bipolar au labda waliwai kupata Sonona kipindi cha ujauzito.

Perinatal na Postpartum Depression inatibika , ni vyema k**a unapitia hali hii basi ni wakati wa kufika hospital kuonana na Daktari kwa msaada zaidi.

Africa Academy for Public Health - AAPH Mental Health Tanzania East Africa TV East Africa Radio Mental Health Clubs Tanzania .

Vipaumbele vya  vipo 10 na Mhe  Ametaja Huduma za Afya ya Akili k**a Kipaumbele namba 9. Hii inaonesha umuhimu wa huduma...
13/05/2024

Vipaumbele vya vipo 10 na Mhe Ametaja Huduma za Afya ya Akili k**a Kipaumbele namba 9. Hii inaonesha umuhimu wa huduma hizi kuimarishwa zaidi.

Asante sana Serikali yetu pendwa kupitia Wizara ya Afya Kwa kutambua umuhim wa Afya ya Akili kwa watanzania.

Dr. Lewis teaches us to use “PUPPY” to notice and get help for your mental health: P- pay attention to how you feel U- u...
10/05/2024

Dr. Lewis teaches us to use “PUPPY” to notice and get help for your mental health:
P- pay attention to how you feel
U- understanding why you feel this way
P- provider- reach out!
P- present the information to your provider
Y- yes, you’re on your way!

Africa Academy for Public Health - AAPH

  , Nilipata nafasi ya Kushiliki kikao maalum cha uwasilishaji wa takwimu za utafiti wa Afya ya Akili kwa vijana ulio fa...
06/05/2024

, Nilipata nafasi ya Kushiliki kikao maalum cha uwasilishaji wa takwimu za utafiti wa Afya ya Akili kwa vijana ulio fanywa na Taasisi ya Africa Academy for Public Health - AAPH kwa kushilikiana na kutoka Canada. Ikiwa ni pamoja na kutambua jitiada za kuongeza uelewa juu ya Afya ya Akili Tanzania kutoka Kwa wadau mbali mbali.

  https://forms.gle/NyX8S4tivXLRT5aDAMwezi wa Mei huwa ni wa kuongeza uelewa kuhusu Afya ya Akili (May is Mental health ...
13/04/2024



https://forms.gle/NyX8S4tivXLRT5aDA

Mwezi wa Mei huwa ni wa kuongeza uelewa kuhusu Afya ya Akili (May is Mental health awareness Month); SAFE na wadau wa afya ya akili wanakuletea matembezi ya hisani na mdahalo wa afya ya akili.

Karibu ujisajili...bonyeza link hii kujisajili kushiriki matembezi ya hisani mkoani Arusha.

Kufadhili matembezi na mdahalo
Wasiliana nasi: 0782 630 138 au 0683551117

Kwa mara ya tatu, *Mental  Health  Tanzania  (MHT)*, itatoa elimu na huduma za afya ya akili kwa wanafunzi na jamii ya c...
09/04/2024

Kwa mara ya tatu, *Mental Health Tanzania (MHT)*, itatoa elimu na huduma za afya ya akili kwa wanafunzi na jamii ya chuo kikuu cha *Kampala International University*, Dar Es Salaam, tarehe 16/05/2024 kuanzia saa 9 alasiri. Semina hii imedhaminiwa na taasisi ya *Tanzania Health & Medical Education Foundation (TAHMEF)*. TAHMEF ni mshirika wa MHT na hasa katika kuhamasisha App ya Ahadi. Jinsi ya kujua nini kinapatikana kwenye App au maulizo zaidi wasiliana namba: +255 692 773 854

Karibu KIU, kwa elimu ya afya ya akili, magonjwa ya akili na changamoto za kisaikolojia.

Mental Health Tanzania Mental Health Clubs Tanzania East Africa TV East Africa Radio

 . Kuna tabia ambazo sasa Jamii inazichukulia kawaida kwa Watoto. kwa mfano;- Kushiliki mapenzi katika umri mdogo.- Kuwa...
16/03/2024

. Kuna tabia ambazo sasa Jamii inazichukulia kawaida kwa Watoto. kwa mfano;
- Kushiliki mapenzi katika umri mdogo.
- Kuwa na tabia za ubakaji.
- Kuwa waongo sana.
- Kutoroka nyumbani kwao.
- Kuwa watoro sana shuleni.
- Kutumia madawa ya kulevya na pombe.
- Kuwa wakaidi na kuto kufata maelekezo.
- Kuwa wahalibifu wa vitu.
- Kuto kujali hisia za wenzao.
- Kutumia siraha Ili kuwadhuru wengine n.k

Wazazi k**a mna watoto wenye Changamoto hizi basi si hali ya kawaida bali ni ugonjwa wa Akili unao faamika kitaalamu ; CONDUCTIVE DISORDER; Hili ni tatizo la kundi la tabia na mihemko, tatizo hili uanza wakati wa utoto au ujanani.

Sababu za ugonjwa huu hazitambuliki. Lakini kwamujibu wa utafiti inaaminika kuwa muunganiko wa Kisaikolojia, Kibaiolojia, vinasaba, Kimazingira na kijamii zinaweza kusababisha ugonjwa huu.

KIBAIOLOJIA.
Baadhi ya tafiti zinaonyesha Mtoto akipata jeraha sehem ya ubongo inaweza kusababisha ugonjwa huu wa Conductive. Pia watoto wenye ugonjwa wa Conductive Disorder wanaweza kuwa na ambatanisho la ugonjwa mwingine wa Akili k**a vile Attention - deficit/ hyperactivity disorder (ADHD), Depression(Sonona), matumizi ya madawa ya kulevya, na wasiwasi.

KISAIKOLOJIA
Tafiti zinatuonyesha kuwa mwenye ugonjwa wa Conductive Disorder anakuwa hawezi kuwa na huzuni au majuto pia anakosa motisha binafisi.

VINASABA
Watoto wengi wenye ugonjwa huu wanakuwa malanyingi wamezungukwa kwa Karibu na familia zenye ugojwa wa Akili k**a vile sonona, Wasiwasi, matumizi ya madawa ya kulevya .n.k hivyo hii inaweza kupelekia sababu ya ugonjwa.


KIMAZINGIRA
Tafiti zinaonyesha Mateso ya watoto, familia yenye historia ya matumizi ya madawa ya kulevya, Matukio ya kuumiza kwa Watoto, ugonvi wa wazazi vinaweza kupelekea Mtoto kupatwa na ugojwa huu.

Matibabu ya magonjwa huu yanapatikana katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya au unaweza kupiga sim Call/Whatsapp 0763716765/071003750.

Usingoje tatizo liwe kubwa au lifike ukubwani maana itakuwa ni hatari kwa familia, Jamii na taifa Kwa jumula.

Mental Health Tanzania

Kumekuwa na kawaida watu kusema "Yaani Mke/Mume wangu, mpenzi, Rafiki, ndugu, mfanyakazi wangu, mwanafunzi n.k baada ya ...
14/03/2024

Kumekuwa na kawaida watu kusema "Yaani Mke/Mume wangu, mpenzi, Rafiki, ndugu, mfanyakazi wangu, mwanafunzi n.k baada ya kukumbwa na tatizo amekuwa Mtu wa Kujitenga, hapendi kufanya kazi k**a zamani na hata akifanya anafanya chini ya kiwango, hanipendi tena k**a zamani, amekuwa Mtu wa kuria mara kwa mara, usiku anapata shida sana katika usingizi, anapuuzia vitu vya msingi na wakati mwingine huwa najisemea kuwa anaweza kujiua n.k"

Ukweli ni kwamba mtu wa namna hii kunauwezekano mkubwa kuwa amepata ugonjwa wa Akili unaojulikana k**a ADJUSTMENT DISORDER huu ni ugojwa unao endana na msongo wa mawazo ulio pitiliza zaidi ya matarajio haswa baada ya tukio la kutisha au kuhuzunisha. mf; Kumpoteza Mtoto, Mume/Mke, ndugu, Rafiki, kazi, au kufeli shule n.k

Ugonjwa huu unaonekana miezi 3-6 baada ya tukio lakini pia ugonjwa huu unaweza kuwa katika vinasaba.

Jambo jema nikuwa usikubali kumpteza ndugu mke / mume , kazi au wewe mwenyewe kwasababu ya tatizo hili . Huu ugonjwa unatibika vizuri sana Fika katika vitu vya kutolea huduma za Afya uonane na mtaalam, au piga sim namba +255 710 037 504 / +255 763 716 765. kwamaelezo zaidi.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255763716765

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Desdery K Peter, Eternal Hope. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Desdery K Peter, Eternal Hope.:

Share