Uti Sugu Tiba Na Ushauri

Uti Sugu Tiba Na Ushauri UTI SUGU

VIDOKEZO 15 VINAVYOHUSU UTI1.Kunywa maji kwa wingi kila siku2.Epuka tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu3.Wanawake wanap...
13/12/2021

VIDOKEZO 15 VINAVYOHUSU UTI

1.Kunywa maji kwa wingi kila siku

2.Epuka tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu

3.Wanawake wanapaswa kubadili pedi mara kwa mara wakati wanapokuwa katika hedhi, angalau wabadili pedi mara 2-3 kwa siku.

4.Epuka kujisafisha ukeni kwa sabuni zenye kemikali, pia kupulizia marashi

5.Pale unapojisafisha baada ya kujisaidia anzia mbele kwenda nyuma kuepusha bakteria walio eneo la haja kubwa kuingia kwenye njia ya mkojo.

6.Boresha usafi wa vyooni, mwaga maji kabla ya kwenda haja ndogo na tumia maji safi na salama kujisafisha sehemu za siri.

7.Epuka kujamiiana kinyume na maumbile kwani chanzo cha U.T.I ni bakteria wapatikanao njia ya haja kubwa.

8.Safisha uke kabla ya kushiriki tendo la ndoa na nenda haja ndogo baada ya kumaliza kujamiiana

9.Tumia mipira ya kujikinga yenye vilainishi au mafuta ili kupunguza kutokea kwa michubuko ukeni ambayo uwepo wake ni mazalia ya vimelea.

10.Vifaa vya kupanga uzazi k**a vile diaphram, kondomu kavu na mafuta mazito ya kuangamiza mbegu za kiume huambatana na michubuko. Hakikisha unatumia vifaa hivi katika viwango sahihi.

11.Kausha maeneo ya ukeni kwa kitambaa safi na kikavu, vaa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba ili zisaidie kunyonya majimaji kirahisi

12.Vaa nguo za ndani zisizobana mwili, epuka kuvaa nguo ngumu zinazobana mwili na nguo za ndani zilizotengenezwa kwa nailoni au silk

13.Kula lishe bora na kuzingatia kanuni za afya ikiwamo mlo uliosheheni protini, mboga za majani na matunda ili kujenga kinga imara ya mwili.

14.Pale unapopata dalili au viashiria vya awali fika mapema katika huduma za afya zinazotambulika na serikali kwa ajili ya uchunguzi, matibabu na ushauri.

15.Epuka matibabu yanayotolewa kienyeji mtaani na watu wasio na sifa stahiki za kutoa matibabu ya binadamu. Zingatia matibabu ya wataalam wa afya na usikatishe dozi

OFA YA X-MASS
FEMICARE NI TSH. 28,000/=
Kupata Ofa Hii Piga Simu Uletewe Ulipo AU Tembelea Ofisi Zetu.
0767112291 (Mlimani City)

0748668404 (Mbezi Mwisho)

0743235150 (Kinondoni)
(WHATSAPP/SIMU/SMS)

KWA MIKOANI:
1. Dodoma -Meriwa Gama.
2. Iringa -Makongoroni.
3. K'njaro -Bomang'ombe
4. Arusha -Kaloleni
5. Zanzibar -Saateni




IFAHAMU U.T.I SUGU NA TIBA YAKE MBADALA YA VIRUTUBISHO IITWAYO FEMICARE.U.T.I(URINARY TRACK INFECTION).U.T.I ni ugonjwa ...
04/12/2021

IFAHAMU U.T.I SUGU NA TIBA YAKE MBADALA YA VIRUTUBISHO IITWAYO FEMICARE.

U.T.I(URINARY TRACK INFECTION).
U.T.I ni ugonjwa ambao unasumbua wengi sana na kwa kipindi cha sasa umekuwa ugonjwa sugu na hasa akina MAMA.
Hii inatokana na maumbile yao yalivyo.

U.T.I ni maambukizi kwenye njia ya mkojo.
Kwa kawaida, uke mwanamke una centimeter 1-4 kutoka nje kwenda ndani kwenye njia ya haja ndogo.
Milango yake iko wazi sana na ni rahisi kupata maambukizi.

Wanawake wengi wakiwa wanajisafisha baada ya haja kubwa,hujisafisha kutoka nyuma kwenda mbele na hapo ndipo wanapo hamisha vimelea na kuvipeleka njia ya haja ndogo na kusababisha U.T.I.

U.T.I isipo pata matibabu sahihi huwa SUGU.
Vimelea hawa hudhoofisha njia ya uke na kuathiri vimelea rafiki kwenye UKE(Normal Flores), hivyo inakuwa rahisi kupata maambukizi mbalimbali.

ZIFUATAZO NI DALILI ZA U.T.I
1. Maumivu wakati wa kukojoa.
2. Kujihisi kukojoa ila mkojo unakuwa mdogo.
3. Damu katika mkojo.
4. Mkojo wenye harufu mbaya.
5. Harufu mbaya ukeni.
6. Maumivu ya kiuno kwa akina mama.
7. Maumivu ya sehem za nyuma kwa wanawame.

DALILI NYINGINE ZA U.T.I NI K**A:;
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo.
2. Homa.
3. Kuhisi baridi.
4. Kuhisi kichefuchefu.
5. Kutapika.

ATHARI ZA KUIPUUZIA U.T.I SUGU;
1. Figo kushindwa kufanya kazi
2. Kibofu kupata shida yakuziba.
3. Maumivu ya kiuno,nyonga,na mgongo.
4. Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
5. Kuharibu homoni.
6. Mimba kuharibika.
7. kushindwa kubeba mimba.

TIBA MBADALA YA U.T.I SUGU
FEMICARE;:; Hii ni tiba yenye virutubisho na viini lishe kutoka katika matunda, mafuta na mbogamboga yenye uwezo wa kuuwa na kuondoa bacteria wote wabaya wanao sababisha U.T.I sugu kwa muda mfupi tu (7 days) kwa akina mama/Dada.

UMUHIMU WA FEMICARE.
1. Inatibu U.T.I sugu.
2. Inasaidia kuondoa harufu mbaya ukeni(
3. Inaulinda uke na maambukizi yatokanayo na bacteria wabaya na fangasi.
4. Inasaidia kuondoa uchafu mbaya ukeni(Vaginal discharge).
5. Inasaidia kuzuia na kuondoa miwasho ukeni.
6. Husaidia kuodoa maumivu wakati wa hedhi.
7. Inarekebisha uke uliolegea.

KWA MAHITAJI YA FEMICARE:
WASILIANA NASI:
Whatsapp: 0767112291
SIMU: 0767112291
UJUMBE MFUPI:0767112291
BEI YAKE NI TSH. 35,000/=

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Telephone

+255748668404

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uti Sugu Tiba Na Ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share