Dr.Seif TZ

Dr.Seif TZ HABARI TUNASAIDIA KUWAPA WATU USHAURI NA KUTATUA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KI AFYA KWA KUTUMIA TIBA ASILIA ZISIZO KUA NA KEMIKALI..

KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NASI KWA NAMBA +255673616221
AU WHATSAPP https://wa.me/255673616221

22/07/2025

Tatizo la Bakteria Vaginosis na Athari Zake.mashambulizi ya bakteria wabaya ukeni inayosumbua wanawake wengi. Hii hali hutokea pale ambapo bakteria wazuri wanakuwa wameisha kutokana na sababu mbalimbali, na husababisha matatizo k**a harufu, uchafu, maumivu, na miwasho. Ikiwa hali hii haijatibiwa, inaweza kusababisha athari k**a saratani ya shida ya kizazi, changamoto za uzazi, na matatizo mengine ya uzazi. kwa ushauri na Tiba Nipigie au nitumie ujumbe WhatsApp +255673616221

11/07/2025

Ugonjwa Hatari wa Uke: Bacterial Vaginosis na Madhara YakeHuu ni ugonjwa hatari unaoathiri afya ya uke wa mwanamke, unaojulikana k**a Bacterial Vaginosis (BV). Tunajadili dalili zake, ikiwemo harufu kari, maji maji yenye harufu, maumivu makali na miwasho. Pia tunabainisha madhara yake, ikiwemo uwezekano wa kupata maambukizi k**a VVU, kujifungua mapema, changamoto za kuzaa, na hata saratani ya shingo cha kizazi. Tunasisitiza umuhimu wa kutafuta usaidizi iwapo una changamoto hii, ili kupata suluhisho maalum kuanzia chanzo cha tatizo hadi kuliondoa kabisa.

11/07/2025
06/07/2025

Kuna cha kujifunza Hapa kwa wanawake

Tafiti nyingi zinaonesha wanaume wengi ni wapweke.Upweke ni hali ya kukosa mtu unayemwamini wa kukusikiliza, mtu wa kuku...
29/06/2025

Tafiti nyingi zinaonesha wanaume wengi ni wapweke.
Upweke ni hali ya kukosa mtu unayemwamini wa kukusikiliza, mtu wa kukuelewa, mtu wa kukuamini, mtu unayemruhusu kujua upande wako wa pili na bado usiwe na wasiwasi.
Upweke ni kukosa mtu anayekuamini, mtu anayeweza kukutetea na hata anapojua umeharibu anao ujasiri wa kukuonya na bado akaendelea kukuamini.

Upweke si ukiwa. Wanaume wengi wamezungukwa na makundi ya watu lakini bado ni wapweke. Ukiangalia mahusiano mengi ya wanaume, unaona ni mazungumzo ya vitu na matukio kuliko hisia. Hili linaweza kuwa sehemu muhimu ya tatizo la wengi kutokuwa na mtu wa kumkimbilia wanapokuwa na mizigo ya kihisia.

Tishio la kweli kweli na lenye madhara makubwa kwa utulivu na utimamu wa akili ya mwanadamu ni pale anapokosa imani na watu wanaomzunguka —kuhisi hahitajiki, hasikiki, hathaminiki, haeleweki na haaminiki. Nafsi ya mwanadamu huanza kuugua magonjwa mengi anapoanza kujisikia mpweke.

NA WEWE UBARIKIWE UPATE MTOTO WAKO AMIIIN🤲🏼🤲🏼
27/06/2025

NA WEWE UBARIKIWE UPATE MTOTO WAKO AMIIIN🤲🏼🤲🏼

17/06/2025

⚠️ Madhara ya Maambukizi kwenye Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke
+255673616221
1. Maumivu Makali
• Maumivu ya mara kwa mara kwenye tumbo la chini au nyonga (chronic pelvic pain)
• Maumivu wakati wa tendo la ndoa (dyspareunia)
• Maumivu wakati wa kukojoa

2. Ugumba (Infertility)
• Maambukizi sugu k**a Pelvic Inflammatory Disease (PID) huathiri mirija ya uzazi na kusababisha makovu au kuziba, hivyo yai hushindwa kufika kwenye mfuko wa mimba.



3. Mimba ya Nje ya Kizazi (Ectopic Pregnancy)
• Hali ya hatari ambapo mimba hukua kwenye mirija ya uzazi badala ya mfuko wa uzazi, mara nyingi husababishwa na maambukizi yaliyoharibu mirija.



4. Kutokwa na Ute au Damu Isiyo ya Kawaida
• Kutokwa na majimaji meupe au ya kijani yenye harufu mbaya
• Kutokwa na damu katikati ya hedhi au baada ya tendo la ndoa



5. Kupoteza Mimba au Kujifungua Mapema
• Maambukizi wakati wa ujauzito yanaweza kusababisha:
• Kupoteza mimba (miscarriage)
• Kujifungua kabla ya muda (preterm birth)
• Maambukizi kwa mtoto mchanga



6. Kuumia kwa Viungo vya Ndani
• Endapo maambukizi hayatatibiwa mapema, yanaweza kusambaa hadi kwenye ovari, uterasi, au mirija, na kuathiri kabisa mfumo wa uzazi.



7. Mabadiliko ya Ngozi na Viungo vya Nje
• Kuwashwa na vidonda ukeni au kwenye midomo ya uke
• Kuvimba au kuwa na harufu mbaya sehemu za siri



8. Maambukizi Ya Kuambukiza kwa Mwenza
• Magonjwa k**a chlamydia, gonorrhea, herpes, HPV, syphilis n.k. ni rahisi kuambukiza kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwenza wake na kinyume chake.



9. Kansa ya Shingo ya Kizazi (Cervical Cancer)
• Maambukizi ya muda mrefu ya HPV (Human Papilloma Virus) yanaweza kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Kwa ushauri na Tiba 0673 616 221

BAKURI LA HOTELINI ALILAMBWII HII INAMAANA GANI KWAKO???
10/06/2025

BAKURI LA HOTELINI ALILAMBWII HII INAMAANA GANI KWAKO???

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!Wainaina Wambui, Vilajoie Kabwana Volonte, Otieno Kenedy, ...
31/05/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!

Wainaina Wambui, Vilajoie Kabwana Volonte, Otieno Kenedy, Ukvip Fixed Score, Patty Madale, Freddy Mageta, Rahima Shagalwa Mgovano, Abdul Nassibu, Angel Nzubechi, Sammy Daniel, Ladislaus Shirima, Rodgers Otieno, Element Dimetry, Nacya Travellar, Jeniffer Jeruto, Ce Line, David Pilot, Credo Masoji, Hellen Ngetich, Inidah Brightonz, Naxfat Kambi, Devotha Kilumile, Nassoro Hamisi

JE, WEWE NI MUAMZITO? 8Soma hapaViazi vitamu.Ni muhimu kwa mama mjamzito kuvitumia k**a chakula vilivyochemshwa siyo kuk...
23/05/2025

JE, WEWE NI MUAMZITO? 8
Soma hapa
Viazi vitamu.
Ni muhimu kwa mama mjamzito kuvitumia k**a chakula vilivyochemshwa siyo kukaangwa.
Faida zake.
1. Vina Folic Acid nyingi sana ndani yake.
2. Vinalainisha choo hii ni kutokana na WAJAWAZITO wengi kukumbwa na tatizo la kukosa choo.
3. Vinaondoa maumivu ya miguu pamoja na kuvimba miguu.
4. Vinasaidia mtoto shingo na mgongo kukaza.
5. Vinaondoa homa za asubuhi zinazoweza kuleta kichefuchefu na kutapika.
6. Vina Vitamini C nyingi kwa ajiri ya ukuaji wa macho na kuongeza kinga ya mwili kwa mama na mtoto.
Namba ngapi umeipenda zaidi?.
PIA LIPO GROUP LA WHATSPP NATOA MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI PAMOJA NA MAMBO MATAMU YA NDOA.. nitext niunge namba juu kwenye profile chap
Unangoja nini?

*SABABU ZA MOYO KUPANUKA*Hali ya moyo kupanuka kitaalamu inaitwa” *CARDIOMAYOPATHY* Ukubwa wa moyo wako ni sawa na size ...
15/05/2025

*SABABU ZA MOYO KUPANUKA*

Hali ya moyo kupanuka kitaalamu inaitwa” *CARDIOMAYOPATHY*

Ukubwa wa moyo wako ni sawa na size ya ngumi yako.

-Kwa wastani wanaume wana mioyo mikubwa kuliko wanawake.

Moyo unaweza kutanuka kutokana na:-

*-Kunywa pombe kwa muda mrefu*

*-Kua na msongo wa mawazo*

- *Magonjwa presha na valve za Moyo*

*-Magonjwa ya mishipa mikuu* *ya moyo nk*

Pia ukubwa wa moyo huongezeka kadri umri
unavyoongezeka.

Baadhi ya dalili za moyo kupanuka ni:-

*-Kupumua kwa shida*

- *Miguu kuvimba*

- *Kukohoa unapolala chali,*

- *Ukitembea kidogo tu unachoka nk*

Moyo ukipanuka ni vigumu kurudi katika hali yake ya kawaida.

Punguza Pombe, Zingatia matibabu sahihi ya magonjwa k**a presha, valve za moyo

*KARIBU UJIPATIE TIBA YA MAGONJWA YA MOYO*

15/05/2025

Matatizo ya Uzazi na Suluhisho na Matibabu ,matatizo ya uzazi yanayoweza kutokea kwa wanawake, ikiwemo matatizo ya uvimbe kwenye kizazi,fungus,P.I.D,U.T.I,miwasho kuzaa na kupoteza mimba. Tunajadili suluhisho na matibabu nitakayo kusaidia kukabiliana na HAYA matatizo kwa muda mfupi. Nipigie au nitumie ujumbe WhatsApp 0673 616 221

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255673616221

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Seif TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Seif TZ:

Share