Uzazi ni Kupanga

  • Home
  • Uzazi ni Kupanga

Uzazi ni Kupanga Wekeza kwenye Afya ya Uzazi kwa Maendeleo.

05/07/2022

Ni jukumu letu sote kushirikiana sisi kwa sisi, na serikali, na asasi mbalimbali kumlinda na kuhakikisha hakuna mtoto wa...
24/04/2022

Ni jukumu letu sote kushirikiana sisi kwa sisi, na serikali, na asasi mbalimbali kumlinda na kuhakikisha hakuna mtoto wak**e anaacha kwenda shule kwa sababu zinazoweza kuzuilika. Wakati ni sasa!

with
・・・
Katika kipindi cha miezi miwili ya February na March mwaka huu Watoto wa k**e 200 wa Shule za Msingi na 28 wa Shule za Sekondari Mkoani Kigoma wamelazimika Kuacha masomo baada ya kupata mimba wakiwa Shuleni.

Kaimu Afisa Elimu Kigoma David Mwamalasi ameyasema hayo katika uzinduzi wa mashindano ya insha kitaifa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi, mradi utakaotekelezwa na Shirika la World Vision Katika Mikoa 12 Tanzania Bara wenye lengo la Kupinga vitendo vya mimba na ndoa za utotoni Mashuleni.

Katika kipindi cha mwaka 2021 Watoto wa k**e 6000 wa Shule za Msingi na 600 wa Sekondari waliripotiwa kuwa Watoro kwasababu mbalimbali ikiwemo mimba, kuolewa na nyinginezo .

Mwamalasi anasema changamoto hizo zimekuwa zikichagizwa na hali ya duni ya maisha na umbali wa miundombinu ya Shule Katika baadhi ya maeneo Mkoani Kigoma.

Vita dhidi ya ukatili wa kijinsia na jukumu la kila mmoja. Hizi ni takwimu zilizotolea na Wizara ya Mambo ya Ndani mnamo...
17/11/2021

Vita dhidi ya ukatili wa kijinsia na jukumu la kila mmoja. Hizi ni takwimu zilizotolea na Wizara ya Mambo ya Ndani mnamo tarehe 12/11/2021.
K**a raia, mwanasiasa, mwanaharakati hakikisha unatimiza wajibu wako kulinda kila rika dhidi ya ukatili wa kijinsia.

Kumekuwa na ongezeko la uripoti wa kesi za unyanyasaji wa kijinsia ikiwemo vitendo vya ubakaji kwa watoto wa k**e. Je ni...
27/08/2021

Kumekuwa na ongezeko la uripoti wa kesi za unyanyasaji wa kijinsia ikiwemo vitendo vya ubakaji kwa watoto wa k**e. Je ni njia gani zitumike kutokomeza vitendo hivi kwenye jamii zetu?

   with ・・・K**a ni mjamzito au unapanga kupata mtoto,Kuna ulazima wa WEWE na MWENZA wako kupima VVU/UKIMWI kwani inaweze...
13/06/2021

with
・・・
K**a ni mjamzito au unapanga kupata mtoto,Kuna ulazima wa WEWE na MWENZA wako kupima VVU/UKIMWI kwani inawezekana kabisa mama mwenye maambukizi ya VVU kupata mtoto asiye na maambukizi k**a mama akianza matibabu mapema.



Watu waishio na ulemavu wadai haki yao ya msingi ya elimu ya afya ya uzazi.Kutoka gazeti la HabariLEO la tarehe 29/05/20...
31/05/2021

Watu waishio na ulemavu wadai haki yao ya msingi ya elimu ya afya ya uzazi.

Kutoka gazeti la HabariLEO la tarehe 29/05/2021 limeandika juu ya uhitaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa watu wanaoishi na ulemavu kwani wako kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa Virusi vya Ukimwi (VVU) na magonjwa ya ngono kwa kukosa elimu ya afya ya uzazi na makuzi, hususani wanawake na vijana. Habari imeandikwa na Upendo Moshi .

.dorothygwajima

Kaa mkao wa kujifunza, Jumamosi yenye madini tele. Ni kuanzia saa nane (8) mchana mpaka saa tisa (9)  alasiri.USIKOSE!  ...
29/05/2021

Kaa mkao wa kujifunza, Jumamosi yenye madini tele. Ni kuanzia saa nane (8) mchana mpaka saa tisa (9) alasiri.

USIKOSE!

Ungana nasi jumamosi hii tukijadili juu na matumizi njia za kupanga uzazi na mtaalumu wa afya  .
24/05/2021

Ungana nasi jumamosi hii tukijadili juu na matumizi njia za kupanga uzazi na mtaalumu wa afya .



Embu tufahamishe!
21/05/2021

Embu tufahamishe!

Tuzungumze kidogo hapa kwenye comment. Ni nani ana jukumu la kuwaelimisha vijana juu ya afya zao za uzazi? Ni nyanja zip...
18/05/2021

Tuzungumze kidogo hapa kwenye comment. Ni nani ana jukumu la kuwaelimisha vijana juu ya afya zao za uzazi? Ni nyanja zipi vijana wanaweza kutumia ili kupata taarifa sahihi kuhusu afya ya uzazi?

Tujuze!



Eid Mubarak!
14/05/2021

Eid Mubarak!

   with Heri ya siku ya Wauguzi duniani, sekta ya afya ya uzazi inawategemea sana.
12/05/2021

with
Heri ya siku ya Wauguzi duniani, sekta ya afya ya uzazi inawategemea sana.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi ni Kupanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share