drkasudia

drkasudia Tunasaidia watu kupata Elimu na Dawa kwa magonjwa sugu na sumbufu

Hello guys
18/01/2023

Hello guys

Wasiliana nami moja kwa moja kupitia Whatsapp kwa link hii.
30/06/2022

Wasiliana nami moja kwa moja kupitia Whatsapp kwa link hii.

🍆JINSI AMBAVYO DAWA YA 🍇TESTO PLUS🍇 hufanyakaz katika kurefusha na kunenepesha Uume PAMOJA NA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME in...
24/05/2022

🍆JINSI AMBAVYO DAWA YA 🍇TESTO PLUS🍇 hufanyakaz katika kurefusha na kunenepesha Uume PAMOJA NA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME inavyofanyakazi:
⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️

1.🍆Huimarisha sehemu katika Uume iitwayo CORPORA CAVERNOSA ambayo huwezesha Uume kusimama imara. Dawa hii ina viambata ambavyo husaidia kuruhusu damu zaidi kuelekea katika Uume na kupelekea Uume kusimama imara kwa muda mrefu,damu zaidi kuelekea katika Corpora Cavernosa husababisha Kupanuka maradufu kwa Uume (pe**le tissues) na hii husaidia kwa urefu na upana wa Uume na kuongezeka kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

2.🍆Dawa hii hurekebisha mfumo wa Hormone.
-Dawa hii inaviambata ambavyo huongeza kiasi cha hormone (Testosterone hormone) ambayo ndio hormone kuu katika kuendesha tendo kwa mwanaume na kuongeza uimara wa kusimama kwa Uume na hamu ya kufanya tendo la ndoa. Kuwepo kwa kiasi cha ziada cha Testosterone hormone mwilini husaidia kuongezeka kwa Urefu na Upana wa Uume kadri mtu anavyozid kutumia dawa hizi.

3.🍆Husaidia kuhuisha(kurejesha) chembechembe zilizokuwa zimeharibika/kutoweka (Cell regeneration)
-Kutanuka kwa sehemu inayosaidia Uume kusimama (Corpora Cavernosa) ambayo husaidia Uume kusimama imara,mwili hutakiwa kuzailisha chembe mpya za ziada kwa haraka zaidi.Dawa hii ina kiasi kingi cha antioxidants ambazo husaidia mwili kuzalisha chembe mpya ambazo hupelekea kuongezeka kwa Urefu na Upana wa Uume.

4.🍆 Dawa hii huupa mwili Nguvu za ziada.
-Dawa hii ina kiasi kingi cha viambata dawa ambavyo vina uwezo mkubwa wa kuupa mwili nguvu za ziada ambazo humsaidia mwanaume kufurahia tendo la ndoa kwa ukamilifu.

5.🍆 Dawa hizi huipa nguvu misuli na na huzibua mishipa ya damu na kupelekea Uume kuwa imara zaidi unaposimama na husimama kwa muda mrefu ,hali hii humsaidia mwanaume kuweza kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu na kuweza kurudia tendo zaidi ya Mara moja bila kuchoka.

🍎Dawa hii ina viambata dawa muhimu sana kwaajili ya kazi inayofanya mfano wa viambata hivyo ni antioxidants,Zinc,Vitamin B6,Vitamin D nk

Call/WhatsApp: 0715224721

🍆NB: DAWA ZA KUCHUA KWAAJILI YA KUREFUSHA DHAKAR HUFANYAKAZ KWA KUREFUSHA MISULI YA UUME KWASABABU MISULI YA UUME NI ELASTIC (Ina uwezo wa kuvutika)

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:⏬⏬⏬⏬▶️ Maumivu ya...
24/08/2021

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:

⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

ATHARI ZA PID

⚫ Ugumba kwa wanawake

⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.

⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.

⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.

⚫ Maumivu ya tumbo /ngongo mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).
Piga simu
0715224721

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRIDalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.Nazo n...
27/07/2021

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1📎Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2📎Kupiga mingurumo tumboni.
3📎Kujaa gesi tumboni.
4📎Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5📎Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
6📎Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7📎Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8📎Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9📎Nuru ya macho hupotea taratibu.
10📎Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11📎Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12📎Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13📎Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14📎Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto

15 📎Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

16📎 Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17📎 Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.

18📎 Ukila vitu vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19📎 Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU

•Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1📎 Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

2📎Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

3📎Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo k**a ya mtoto mdogo

4📎 Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar

5📎Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.

6📎Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,k**a vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

7📎Upungufu wa nguvu za kiume.

Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume

MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA

Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.

Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza k**a una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie k**a kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk

•Dr.anaweza kujiridhisha zaid k**a mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵

➡️ ULTRASOUND
➡️ CT SCAN
➡️ MRI

Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha k**a mtu ana ngiri ama hana.

ANGALIZO
➡️ Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.

➡️ Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.

➡️ Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.

➡️ Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa *Recurrent Hernia*,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa *Recurrent hernia*.Na kuna ngiri huitwa *Incissional hernia* ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.

➡️ Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea.

Asante sana.

Kwa mawasiliano ya dawa na Ushaur wasiliana nami;

Dr.Kasudia
Tiba asili
Tanzania

+255715224721
+255758606089

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when drkasudia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to drkasudia:

Share