13/10/2025
Wanaume wote wenye Vitambi Huwa na changamoto ya mvurugiko wa Homoni na upungu wa Nguvu za kiume...!
✍️Unataka ujue ni kwanini?, nifuatilie chini👇
📍Kitambi kikubwa kinaleta mvurugiko wa homoni kwa sababu mafuta ya tumboni (visceral fat) yana tabia ya kipekee ambayo huathiri mfumo wa homoni kwa njia zifuatazo:
1️⃣. Mafuta ya tumboni ni "active" kimwili – Hayakai tu mwilini k**a hifadhi ya nishati, bali hutoa kemikali na homoni zinazochafua mfumo wa kawaida wa homoni mwilini.
2️⃣. Huongeza homoni ya estrogeni kwa wanaume – Mafuta mengi hubadilisha homoni za kiume (testosterone) kuwa za k**e (estrogen), na kusababisha matatizo k**a kupungua nguvu za kiume, hamu ya tendo la ndoa kushuka, na hata kuota matiti kwa wanaume.
3️⃣. Huathiri homoni ya insulin – Mafuta ya tumboni hupunguza uwezo wa mwili kuitikia insulin, hali ambayo husababisha kisukari na kuvuruga homoni zingine zinazohusiana na nishati na njaa.
,,
4️⃣. Huongeza homoni ya cortisol (msongo wa mawazo) – Mafuta ya tumboni huzalisha cortisol kwa wingi, ambayo huongeza msongo wa mawazo, huongeza njaa, na kuvuruga usingizi.
♻️Kitambi ni Ugonjwa wa k**a Magonjwa mengine, na Ugonjwa huu unasababishwa na Mfumo mbovu wa Ulaji na maisha Kwa ujumla.
Ili kupona changamoto hii, Hakikisha unabadilisha namna ya Ulaji, punguza Matumizi ya wanga, Sukari na Mafuta mengi.
Kula sana vyakula vya protein,Mafuta Asilia k**a ya Nazo،mzaituni, parachichi nk. Pia Jitahidi ufanye mazoezi mara Kwa mara Ili uchome Mafuta mabaya mwilini na kujenga misuli imara ya mwili.
👉Ukimuona mtu ana Kitambi, mpe pole sana na umuambie apunguze Kitambi.
.
✍️K**a unataka muongozo sahihi wa Kupunguza Kitambi, nyama uzembe na changamoto za Uzazi Kwa ujumla basi wasiliana nami Ili kupata muongozo huo.
Click button hii ya Whatsapp kupata muongozo huo.