Boresha afya kinga

Boresha afya kinga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Boresha afya kinga, Dar es Salaam.

msambazaji wa virutubisho asili visivyo na kemikali ni salama kwa matumizi ya afya yako zinasaidia kutatua matatizo Kama vidonda tumbo,tezidume,matatizo ya uzazi, maumivu ya viungo, kupungua au kuongeza uzito na mengineyo mengi

31/12/2020

Bidhaa hii Inasaidia sukari yako ya mwili kutopanda na inaweka level ya insulin hivyo inasaidia kukukinga na sukari

*KAZI ZA KIRUTUBISHO CHA PURE AND BROKEN GANODERMA KATIKA MWILI**1)HUIMARISHA KINGA ZA MWILI*▪️Huzipa nguvu kinga za Mwi...
30/12/2020

*KAZI ZA KIRUTUBISHO CHA PURE AND BROKEN GANODERMA KATIKA MWILI*

*1)HUIMARISHA KINGA ZA MWILI*
▪️Huzipa nguvu kinga za Mwili.
▪️Huzifanya kinga za mwili kuzaliana kwa wingi na ziwe zenye nguvu.
▪️Huzifanya kinga za mwili kuwa na uwezo wa kupambana na vimelea vya Kansa.

*2)HUSAIDIA KUONDOA UVIMBE (TUMOR) NDANI YA MWILI*
▪️Husaidia Mwili kupambana na kuondoa seli zisizo hitajika ndani ya mwili zinazosababisha vimbe mbali mbali ndani ya mwili.
▪️Husaidia kwa waliofanyiwa operation kurudi katika hali ya kawaida na yenye nguvu zaidi.

*3) HUSAIDIA AFYA YA INI*
▪️Husaidia kuimarisha seli za INI na kuimarisha ufanyaji kazi zaidi wa ini Mwilini.

*4)HUONDOA HALI YA KUPOTEZA KUMBUKUMBU NA HUONDOA MAKUNYAZI KWENYE NGOZI*

▪️Huimarisha ufanyaji kazi wa DNA

▪️Huondoa sumu zote Mwilini.

*WATU WANAOTAKIWA KUTUMIA HII BIDHAA*
⏩Watu wanaohitaji kuimarisha kinga zao za mwili.
⏩Watu waliofanyiwa operation na wanahitaji kurudi katika hali yao ya kawaida.
⏩Watu wanaohitaji kujizuia kupata Kansa
⏩Watu wanaougua Kansa na wanao endelea kupigwa mionzi ya kuua seli za Kansa.
⏩Watu wenye shida ya kisukari,INI, Magonjwa ya moyo,shinikizo la damu na wenye matatizo yanayopatikana kwenye njia ya upumuaji.
⏩Watu wenye tatizo la kutokulala vizuri, wenye hofu, wenye kupoteza kumbukumbu na walioathirika na Virus Mbali mbali
⏩Husaidia watu wenye madoa kwenye ngozi na matatizo mengine kwenye ngozi.
⏩Watu wanaohitaji kuonekana vijana mda wote.
⏩Watu wenye Magonjwa yanayoshambulia kinga za mwili.

*MATUMIZI YAKE*
▶️Vidonge viwili (2) kwa siku asubuhi au jioni.

▪️Ni Nzuri kwa wazima na wazee

▪️Haitumiki kwa kichanga na watoto.

▪️Haishauriwi kutumika kwa watu waliofanyiwa operation ndani ya wiki moja wakipitisha wiki ndio watumie pia haishauriwi kwa wale wanao toka damu.

**TUMIA PURE AND BROKEN GANODERMA UBORESHE AFYA YAKO LEO*

Asante na karibu
Mawasiliano
0713394994
0754394994
0739394994




Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boresha afya kinga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram