Afya_njema_leo

Afya_njema_leo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya_njema_leo, Kizingo Street, Dar es Salaam.

07/08/2021
UNATAFUTA PROGRAM YA AFYA YA KUKUSAIDIA KWENYE SAFARI YAKO YA KUPUNGUA UZITO!?Tumia program yetu ya afya imewasaidia wat...
07/08/2021

UNATAFUTA PROGRAM YA AFYA YA KUKUSAIDIA KWENYE SAFARI YAKO YA KUPUNGUA UZITO!?
Tumia program yetu ya afya imewasaidia watu wengi Sana kupungua uzito ndani ya SIKU 9 na kumantain uzito baada ya kupungua,BILA KUATHIRI AFYA YAKO. "SIYO MADAWA BALI NI VIRUTUBISHO VYA CHAKULA"

Kwa Maelekezo Zaidi wasiliana nasi moja kwa moja text/call/ watsapp 0745809178

05/08/2021

AFYA YA TENDO LA NDOA, MOYO, BLOOD PRESSURE, MUSCLES GROWTH, MISHIPA YA DAMU, RUTUBA YA MWILIHii ni muhimu kwa afya yako, zitambue faida mbalinbali za ARG+ UPANDE WA NGUVU ZA KIUME(tendo la ndoa)
-Husaidia kuongeza idadi ya mbegu za kiume(sperm count) na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri(mobility)
-Husaidia kwa wenye changamoto ya kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo la ndoa
-Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote, stamina na nguvu wakati wa tendo la ndoa
FAIDA ZINGINE KATIKA MWILI -Husaidia ufanisi wa kazi ya moyo
-Huondoa mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu(cholesterol)
-Husaidia kurekebisha kiwango cha blood pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu kwenye moyo
-Husaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni nzuri sana kwa waliyovunjika mifupa na wenye mifupa dhaifu
-Husaidia kutoa hormones zinazopunguza kasi ya uzee(ant-ageing
-Husaidia kuondoa sumu mwilini
-Inaongeza uwezo wa mwili kutumia insuline hivyo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini
-Huondoa mumivu ya viungo, mgongo na misuliNi bidhaa ya asili na haina madhara yoyote kwa mtumiaji, imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya na chakula duniani
Tunapatikana Dar es salaam, mikoani tunatuma
Call/watsapp 0745809178 / 0699455906

MAMBO 10 YA KUZINGATIA KABLA NA BAADA YA KUFANYA MAPENZI.mapenzi ni ubunifu baina ya wafanyao.TWENDE PAMOJA.1:UTAYARI. h...
03/08/2021

MAMBO 10 YA KUZINGATIA KABLA NA BAADA YA KUFANYA MAPENZI.
mapenzi ni ubunifu baina ya wafanyao.
TWENDE PAMOJA.

1:UTAYARI. hili ndilo jambo la kwanza la kulitilia mkazo. Haitakiwi mwanamke awe na kinyongo juu ya tendo. Sio mwanamme unamuandaa mwanamke ila pindi utakapotaka kuanza tendo anakuuliza "unataka kufanya nini" huu ni upuuzi.

2: USHIRIKIANO. haina budi kila mmoja awe katika hali ya kumfanya mwenza awe na furaha ya tendo.

3: SAUTI NA MIGUNO. kwa mwanamke jitahidi kumfanya mwanamme ajihisi wa kipekee kwa kutoa sauti za mahaba baina yenu. Sio unaguswa au kunyonywa unakaa tu kimya ila unatoa neno moja tu "UNANIUMIZA BWANA" huo ni upumbavu.

4: UJASIRI. 

5: RIDHIKO, yaani ridhika na hatua mtakayofikia. Mwenza akikueleza hawezi kuendelea na tendo. Kuwa wa kwanza kumuelewa hiyo itamjenga kisaikolojia.

6: PONGEZA. mpongeze mwenza baada ya tendo. "DAH HAKIKA WEWE NI HODARI" hii itamfanya awe na uhakika juu ya alichokitenda na si kuhofia tena.

7: SHUKURU. Asante ni neno dogo sana ila linaweza kumfanya mwenza akahisi yeye ni wa pekee mbele yako. Hakika atajisikia ana thamani kubwa juu yako.

8: TENGENEZA MAONGEZI. Baada ya tendo jifunze kuongea na mwenza ili kumfanya asihisi upweke. Wanaume wengi wananukuu "baby muda huu umekwenda so badae nikakupigia ok" hii si haki na utamfanya ahisi ulitaka kumtumia tu.

9: MSINDIKIZE. Mtoe mguu kwa mguu mpaka labda kituo cha gari au karibu na kwao. Utajiwekea nafasi siku nyingine kumpata.

10: JALI NAFASI YAKE. Mpigie simu mara tu baada ya kuhisi ameshawasili kwao au kwake. Hii itafanya ajue wewe ni zaidi ya mpenzi kwake.
JIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA. MAPENZI NI AKILI NA SI UMRI.

Address

Kizingo Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya_njema_leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya_njema_leo:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram