Afya jamii_health tips

  • Home
  • Afya jamii_health tips

Afya jamii_health tips ya mwanaume na uzazi
✓Tezi dume
✓Bawasili
✓Nguvu za kiume
✓Mbegu changa
✓mifupa
✓n.k

07/07/2021

TIBA ASILI YA TEZI DUME (0769344002)

Tezi dume nini ..ni tezi inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..

Mtu anapofukisha miaka 40 na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..

DALILI ZA TEZI DUME

1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..

UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..

Sasa KUNA SULUHUSHO..
Dawa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga (0769344002)

Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri

14/06/2021

DALILI ZA TEZI DUME _TIBA 0769344002

Kukojoa mkojo unaokatika katika

Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu

Kusita kabla ya kuanza kukojoa

Hali ya kujihisi kubanwa na mkojo kila mara

Kushindwa kuthibiti mkojo kiasi cha mkojo kutirika wenyewe

Hali ya kuhisi mkojo haujaisha kwenye kibofu

Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku

Kushindwa kukojoa kabisa (urine retention)
Au dalili zinazotokana na madhara ya kuvimba kwa tezi dume

IMALISHA AFYA YAKO
13/06/2021

IMALISHA AFYA YAKO

BORESHA AFYA YAKO
10/06/2021

BORESHA AFYA YAKO

08/06/2021

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya jamii_health tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya jamii_health tips:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram