Zawadi health care

Zawadi health care Habari, karibu sana kupata virutubisho lishe ambavyo vinasazidia kusaidia wengi kupona changamoto na magonjwa yote ya uzazi wa mwanaume na mwanamke.

05/12/2022

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.
Dr MWASAG

KARIBUNI

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole.
Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
-

14/09/2022

Dr MWASAGA
0622018185
Viungo na mifupa

Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapofika umri was miaka 30 na kuendelea.Hapa Sasa mtu ataanza kuhisi maumivu makali kwenye magoti,pingili za mgongo,nyonga na shingoni pia wapo ambao viungo vyao huuma mwili nzima kutokana na upungufu was madini muhimu K**a vile zink na calcium

Kitaalamu matatizo haya yamegawanyika katika makundi makuu manne (4) nayo ni_
1:osteoarthritis- ambayo viungo vinasagana kutokana na kulika kwa gegedu(cartilage) na Ute kuisha kwenye maungio

2:Rheumatic Arthritis--hii ni ile Hali ya Kinga ya mwili kutafuna gegedu(cartilage) hii hutokea kwa watu wa umri wowote

3:Osterporosis--hii ni ile Hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuwa rahisi kuvunjika na hutokana na upungufu wa madini ya calcium

4:Gaut Arthritis--hii inasababiswa na uric acid (kemikali inayotokana na protini ya nyama)

Dalili za matatizo ya mifupa kwa ujumla

@ . Maumivu kwenye maungio
@ .Viungo kushindwa kujikunja
@ .kusikia milio ya kusagana Viungo
@ .Kukaza kwa Viungo
@ . Kushindwa kuinama au kuinuka baada ya kukaa kwa mda flani
@ .Kuhisi ganzi kwenye miguu na kuwaka Moto kwa miguu

Sababu zinazoleta haya matatizo ya mifupa

@ .Uzito uliopindukia
@ .Historian ya familia
@ .Ajali
@ .kutumikisha viungu kupita kiasi mfano mazoezi makali
@ .Kisukari pia huleta madhara kwa mifupa na Viungo

Changamoto katika kutibu haya matatizo

@ .Watu wengi wanatumia dawa za kutuliza maumivu
*Dawa za maumivu hutuliza maumivu tu kwamda na baadae Maumivu hurudi Tena maana hazisaidii kuongeza Cartilage (gegedu) Wala uteute

wengi wanafanyiswa mazoezi
*Mazoezi huwasaidia watu kwa muda mfupi na baadae hurudi Tena tatizo

*Kwahiyo watu wengi wenye tatizo la viungu kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa Viungo kwa gharama kubwa Sana

Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa mda mrefu

@ . Kushindwa kukunja Viungo kabisa
@ .Kuvunjika kwa urahisi kwa mifupa
@ .Kushindwa kutembea kabisa
@ . Kushindwa kupanda ngazi
@ .kupata maumivu makali Sana Kila siku
@ .Miguu kuwaka Moto na kufa ganzi
@ .Kuvimba kwa miguu na sehemu zingine za mwili

Matibabu ya uhakika kwa matatizo ya mifupa na Viungo

✓ Kuna virutubisho maalum kutoka nchini (India ,China,Korea na America) ambavyo hurudisha uteute na gegedu kwa haraka na kukufanya urudi katika Hali yako ya kawaida
✓Pia huondoa maumivu ya Viungo na mifupa
✓Huimarisha mifupa kwa kuongeza madini ya calcium na zinc

Tunapatikana Dar es salaam ilala boma
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia

Tell.0622018185
Karibu kwa ushauri na Tiba ya uhakika

30/08/2022

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Dr MWASAGA 0622018185
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap +255-622-018-185 au piga simu usaidiwe haraka

26/08/2022

:
DR MWASAGA
FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.

Wasiliana nami:

+255622018185

KARIBUNI

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole.

Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

a) Suluhisho Linalopendwa na
Watu wengi pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume ni Dawa na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman , Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

JE NINI WAWEZA KUFANYA KUJIKINGA NA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA TEZI DUME??.

SOMA HAPA:
Miili yetu hihitaji virutubisho muhimu ili kuimarisha Kinga na Kuulisha mwili wetu.

Vitu gani vya kuzingatia kuilinda tezi dume?

1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi lako la damu yako.
2. Punguza au acha kuvuta sigara
3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
4. Punguza kukaa kwa mda mrefu sehemu moja kwa siku.
Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
5. Kutovaa nguo za kubana
6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
8. Na mwisho Zingatia Matumizi ya Virutubisho. Utumiaji wa virutubisho ( Supplements) hasa vinavyohusika na Tezi dume, Uzazi kwa mwanaume(Nguvu za kiume) pamoja na ogani zote za uzazi.

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye uhitaji wa kujikinga na pia wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume ,na
Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Supplements hizi ni vyakula, siyo madawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza mfumo bora wa mwili na uzazi wenye afya bora na nadhifu.

Supplements hizi (Virutubisho) vina mchanganyiko wa Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA).

TUNAPATIKANA
DAR ES SALAAM
MWENGE MPAKANI

Wasiliana nami:

+255622018185

KARIBUNI .

💥UVIMBE KWENYE KIZAZI NA MATIBABU YAKE BILA UPASUAJI💥Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine ...
28/07/2022

💥UVIMBE KWENYE KIZAZI NA MATIBABU YAKE BILA UPASUAJI💥

Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.

Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.

Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa k**a maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.

Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.

Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;

1. Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
2. Ujauzito.
3. Uzito na unene kupita kiasi.
4. Jenetiki zisizo za kawaida.
5. Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.
6. Sababu za kurithi.
7. Lishe isiyo sawa.
8. Sumu na taka mbalimbali n.k.

Dalili zitakazokuonyesha una uvimbe kwenye kizazi ni pamoja na;

1. Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.
2. Maumivu makala wakati wa siku za hedhi.
3. Kuvimba miguu.
4. Unaweza kuhisi una ujauzito.
5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
6. Kuhisi kuvimbiwa.
7. Kupata haja ndogo kwa taabu.
8. Kutokwa na uchafu ukeni.
9. Kupata choo kigumu au kufunga choo.
10. Maumivu nyuma ya mgongo.
11. Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.
12. Upungufu wa damu.
13. Maumivu ya kichwa.
14. Uzazi wa shida.
15. Kutopata ujauzito.
16. Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.
17. Maumivu ya nyonga.
18. Mimba kutoka mara kwa mara.

MATIBABU YAKE.
Ni virutubisholishe muhimu na vya asili kabisa ambavyo huondoa tatizo na chanzo chake kabisa bila upasuaji, , au wasiliana nasi popote ulipo tutakutumia virutubisholishe hivi

Piga /whatsup
0622018185

*ZIJUE FAIDA ZA ZAMINOCAL MWILINI*Dr. MWASAGA 0622018185🔸Kuimarisha mifupa na meno (Gout) n.k🔸Huzuia mimba kutoka kabla ...
25/07/2022

*ZIJUE FAIDA ZA ZAMINOCAL MWILINI*
Dr. MWASAGA 0622018185
🔸Kuimarisha mifupa na meno (Gout) n.k
🔸Huzuia mimba kutoka kabla ya miezi 9
🔸Usaidia ukuaji wa watoto
🔸Huzuia uchakavu na uharibifu wa mifupa
🔸Ni nzuri kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke
🔸Humpa afya mtoto alieko tumboni na humsaidia mama anayenyonyesha kupata maziwa ya kutosha
🔸Husaidia/kuhimarisha shida za mifupa,mgongo,kiuni,Meno na misuli.
🔸Hupunguza kuzeeka haraka
🔸Hudumisha afya ya mishipa
🔸Hudumisha kinga ya mwili.

*NANI ATUMIE ZAMINOCAL*?
🔹Mtu mwenye matatizo ya mifupa,misuli,meno (Gout) n.k
🔹Wajawazito
🔹Mtu mwenye matatizo ya uzazi(mwanamke au mwanaume)
🔹Watu wenye allegy ya virutubishi vya calcium
🔹Wanaonyonyesha
🔹Wazee
🔹Watoto
🔹Mtu anaetaka kuongeza kinga ya mwili.

*MATUMIZI*
💧Watu wazima
👉Vidonge 2x1 wakati wa kula kila siku.
💧Watoto
👉Kidonge 1 wakati wa kula kila siku

*TAHADHARI*
↔️Wenye matatizo ya figo hawaruhusiwi kutumia
↔️Wenye kiwango kikubwa cha Calcium hawatumii. Wasiliana nami sasa 06220188185

*ZIJUE FAIDA ZA ZAMINOCAL MWILINI*🔸Kuimarisha mifupa na meno (Gout) n.k🔸Huzuia mimba kutoka kabla ya miezi 9🔸Usaidia uku...
16/07/2022

*ZIJUE FAIDA ZA ZAMINOCAL MWILINI*
🔸Kuimarisha mifupa na meno (Gout) n.k
🔸Huzuia mimba kutoka kabla ya miezi 9
🔸Usaidia ukuaji wa watoto
🔸Huzuia uchakavu na uharibifu wa mifupa
🔸Ni nzuri kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke
🔸Humpa afya mtoto alieko tumboni na humsaidia mama anayenyonyesha kupata maziwa ya kutosha
🔸Husaidia/kuhimarisha shida za mifupa,mgongo,kiuni,Meno na misuli.
🔸Hupunguza kuzeeka haraka
🔸Hudumisha afya ya mishipa
🔸Hudumisha kinga ya mwili.

*NANI ATUMIE ZAMINOCAL*?
🔹Mtu mwenye matatizo ya mifupa,misuli,meno (Gout) n.k
🔹Wajawazito
🔹Mtu mwenye matatizo ya uzazi(mwanamke au mwanaume)
🔹Watu wenye allegy ya virutubishi vya calcium
🔹Wanaonyonyesha
🔹Wazee
🔹Watoto
🔹Mtu anaetaka kuongeza kinga ya mwili.

*MATUMIZI*
💧Watu wazima
👉Vidonge 2x1 wakati wa kula kila siku.
💧Watoto
👉Kidonge 1 wakati wa kula kila siku

*TAHADHARI*
↔️Wenye matatizo ya figo hawaruhusiwi kutumia
↔️Wenye kiwango kikubwa cha Calcium hawatumii. Wasiliana nami sasa 06220188185

03/07/2022

🌹 *PRESHA YA KUPANDA ( HYPERTENSION)*

🍇hii ni ile Hali ya kuwepo na ukinzani wa damu kupita vizuri kwenye mishipa ya damu yaani moyo unasukuma damu na wakati mishipa ya damu hairuhusu damu kupita ipasavyo.

*KIPIMO CHA PRESSURE*
🍑ya kawaida 119/79
🍑ikizidi 140/90
🍑ikiwa ni Hali mbaya na ya hatari zaidi ni 180/120

*ZINGATIA*
🍑Kwa hiyo mtu wa kawaida akipimwa presha inatakiwa iwe 119/79 au izidi kidogo.

🍑ikiwa 140/99 ana presha ya kupanda

🍑 ikiwa 180/120 na kuendelea huyo mtu ana hatari ya kupata kiharusi.

🫐 *DALILI ZA PRESHA KUPANDA*
1.kifua kuuma upande wa kushoto, maumivu yanakwenda mpaka kwenye kidevu.

2.mtu kuchoka hata akifanya kazi kidogo aubkupandisha ngazi.

3. miguu kuvimba

4.wakati mwingine kichwa kuuma.

🍇 *KUMBUKA*
Presha inayopanda maana damu yake inapita Kwa shida kwenye mishipa ya moyo. Hivyo moyo unapata taaabu na sehemu zingine za mwili hazipati damu vizuri.

*🫐MAMBO YANAYOPELEKEA PRESHA YA KUPANDA*

🍒1. uzito mkubwa
🍒2.kutofanya mazoezi
🍒3.kula vyakula vya wanga Sana
🍒4.kula mafuta ya viwandani
🍒5.historia ya familia ( k**a ukoo wako una presha ni rahisi na wewe kupata presha)
🍒6.uvutaji wa sigara

*🫐MADHARA YA PRESHA YA KUPANDA*
🍒1. hupelekea moyo kutanuka ( moyo mpana)
🍒2.kiharusi/ stroke
🍒3.shambulio la moyo( heart attack)
🍒4.figo Kushindwa kufanya kazi.
🍒5.Ganzi
🍒6.miguu kuwaka moto na kuvimba
🍒7.upungufu wa nguvu za kiume.
🍒8.upofu.( kutokuona)
🍒9.kupoteza kumbukumbu.

*🫐MATIBABU YA PRESHA YA KUPANDA*
Namna ya kutatua tatizo la presha ya kupanda Kwa kutumia bidhaa zetu bora za tibalishe. Wasiliana nami sasa 0722018185 Dr Mwasaga

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI❓**Kisukari (Diabetic)ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya**Glukosi ka...
01/07/2022

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI❓*

*Kisukari (Diabetic)ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya*
*Glukosi katika Damu. Sababu yake ni uhaba wa Hormone ya Insuline Mwilini Au upungufu wa uwezo wa Mwili wa kukabiliana na Insuline.*

❇️ *VIASHIRIA VYA UGONJWA WA KISUKARI*

✳️ *-Unene uliozidi na kiribatumbo*
✳️ *-Ulaji Mbaya wa chakula*
✳️ *-Baadhi ya Madawa*
✳️ *-Msongo wa Mawazo*
✳️ *-Kutofanya Mazoezi*
✳️ *-Magonjwa yanayoharibu Kongosho*
*✳️-Utumiaji wa pombe uliozidi na utumiaj wa sigara*
✳️ *-Historia ya Ugonjwa wa kisukari kwenye familia*
*✳️-Umri zaidi ya miaka arobaini kadiri tunavyozeeka na kongosho letu linapunguza uwezo wa kuzalisha Insuline.*

❇️ *DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*

✳️ *-Kiu ya mara kwa mara*
✳️ *-Kupungua uzito licha ya kula vizuri*
✳️ *-Njaa Kali haswa mara kwa mara*
✳️ *-Kizungu zungu*
✳️ *-Macho kupungua uwezo wa kuona*
✳️ *-Kukojoa kupita kiasi cha kawaida*
✳️ *-Kidonda kisichopona haraka*

*❇️MADHARA YA KISUKARI ENDAPO UTAPUUZA*

✳️ *-Magonjwa ya Moyo*
✳️ *-Kiharusi/Kupooza*
✳️ *-Kupungua Nguvu za kiume*
✳️ *-Figo Kushindwa kufanya kazi*

⚠️ Wasialina na Mimi sasa, Sukari inatibika;0622018185 Dr mwasaga

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke...
19/06/2022

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap +255-622-018-185 au piga simu usaidiwe haraka

𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎, (𝐏𝐞𝐩𝐭𝐢𝐜 𝐮𝐥𝐜𝐞𝐫𝐬).   Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitu...
15/06/2022

𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎, (𝐏𝐞𝐩𝐭𝐢𝐜 𝐮𝐥𝐜𝐞𝐫𝐬).
Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitundu au michubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula.

𝐔𝐭𝐚𝐣𝐮𝐚𝐣𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚
𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎, (𝐏𝐞𝐩𝐭𝐢𝐜 𝐮𝐥𝐜𝐞𝐫)

•Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. • Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma k**a sindano na kuacha maumivu makali

•𝐊𝐢𝐜𝐡𝐞𝐟𝐮𝐜𝐡𝐞𝐟𝐮
•𝐊𝐢𝐮𝐧𝐠𝐮𝐥𝐢𝐚
•𝐓𝐮𝐦𝐛𝐨 𝐤𝐮𝐣𝐚𝐚 𝐠𝐞𝐬𝐢
•𝐓𝐮𝐦𝐛𝐨 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐦𝐨𝐭𝐨

•Maumivu makali sehemu kilipo kidonda.
•Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi.
• Kutapika nyongo.
•Kutapika damu au kuharisha.
•Kukosa hamu ya kula.
•Kusahahu sahau na kupatwa na hasira bila sababu

𝐌𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎, (𝐏𝐞𝐩𝐭𝐢𝐜 𝐮𝐥𝐜𝐞𝐫𝐬).
•Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja.

𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎, (𝐏𝐞𝐩𝐭𝐢𝐜 𝐮𝐥𝐜𝐞𝐫𝐬). huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.

• 𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎, vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease).

•Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer).

•USHAURI
Vidonda vya tumbo vinatibika na kupona kbsaa tuna product nzuri kwa ugonjwa huu wa vidonda vya tumbo haijalishi umeumwa muda mrefu kiasi gani•

𝐊𝐰𝐚 𝐬𝐡 33𝟓,𝟎𝟎𝟎

𝐏𝐢𝐠𝐚 𝐚𝐮 𝐰𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩
0622018185

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zawadi health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Zawadi health care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram