Tiba ya magonjwa sugu

Tiba ya magonjwa sugu Nasaidia watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya kwa kutumia tibalishe.

Leo Ntashare na nyinyi kuhusu maswala Mazima ya uzazi na changamoto zake kwa ujumla.Changamoto za uzazi zinaweza kuwa kw...
06/12/2022

Leo Ntashare na nyinyi kuhusu maswala Mazima ya uzazi na changamoto zake kwa ujumla.
Changamoto za uzazi zinaweza kuwa kwa mwanamke Au mwanaume lakini mara nyingi huonekana sana Kwa mwanamke kwasababu yeye ndio huwa na complications nyingi kuliko mwanaume.

♦️changamoto za uzazi Kwa mwanamke zinaweza kusababishwa na vitu vifuatavyo
-Mvurugiko wa hormone
-maambukizi kwenye via vya uzazi
-uvimbe
-mirija kuziba Au kuvimba
-makovu kwenye kizazi
-mayai kutopevuka na kuchevuka
-stress.

♦️mvurugiko wa hormones
-ili mwanamke aweze kushika ujauzito kirahisi ni lazima hormones zake Za k**e (ESTROGEN NA PROGESTERONE) ziwe kwenye uwiano
Unaotakiwa kwani hizi ndipo zinazocontroll mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke. Swali kubwa hapa ni kujua k**a anapata Siku zake vizuri kwenye mpangilio mzuri, na damu anayoipata ipoje (iko na mabonge Au nyeusi n.k)

♦️maambukizi kwenye via vya uzazi
-haya ya husisha PID, UTI za mara Kwa mara Au Fangasi za mara Kwa mara
-iwepo wa bacteria Au Fangasi wabaya hakutengenezi mazingira rafiki kwa mbegu Za kiume kuishi Hata kwa mimba kutungwa.

♦️mirija kuziba Au kuvimba
-hali hii inakuwa inazuia mbegu Za kiume kuweza kutembea kulifikia yai na k**a zikifanikiwa kupita na kulifikia yai na kutungisha mimba basi kuna asilimia kubwa ya mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi kwani mimba iliyotungwa hushindwa kujishikisha kwenye mji wa mimba na mwishie ubakia kwenye mirija (ECTOPIC PREGNANCY)

♦️makovu kwenye kizazi
-makovu haya mtu anaweza kuyapata kutokana na infection Za mara Kwa mara , k**a Alishakuwa na uvimbe halafu akafanyiwa operation Au alishawahi kutoka mimba.
-makovu haya pia huwa k**a kizuizi cha mbegu Za kiume kuflow kulifata yai

♦️mayai kutopevuka na kuchevuka
-hapa nipale ambapo yai linakuwa linatolewa ila linakuwa halijakomaa na haliwezi kutungishwa. Unaweza muuliza k**a huwa anapata ule ute wa siku Za hatari (sasa hapa alisema ndio muulize huwa anapata wa rangi gani maana wengi huwa hawajui ute wa ovulation ni upi, na akisema unarangi yoyote jua kwamba huwa Hapati ule ute kwani unatakiwa kuwa colorless Yani k**a maji na uwe unavutika)

♦️stress
-hii hupelekea hormones Za stress kuwa juu so anaweza kusema hana shida yoyote ila si kweli.

MADHARA YA UNENE KUPITA KIASI1: Kisukari (types diabetes)2: High blood pressure 3: High cholesterol 3: Kiharusi (stroke)...
01/12/2022

MADHARA YA UNENE KUPITA KIASI

1: Kisukari (types diabetes)
2: High blood pressure
3: High cholesterol
3: Kiharusi (stroke)
4: Ugonjwa wa maungio ya mifupa
5: Magonjwa ya figo

Unene kupita kiasi, uweza kupunguza urefu wa miaka ya kuishi, Tachibana miaka 3 hadi 10, kulingana na kiwango tatizo lilipofikia.

Swala la kupunguza uzito sio swala la kupuuzia.

Call: 0739221050
Whatsapp: 0739221050

Je, wewe ni mmoja wa wanaohangaika kupungua bila mafanikio?Leo nitakupa sababu za mwili kugoma kupungua.1: Msongo wa maw...
30/11/2022

Je, wewe ni mmoja wa wanaohangaika kupungua bila mafanikio?

Leo nitakupa sababu za mwili kugoma kupungua.

1: Msongo wa mawazo (stress)
♦️Stress ni chanzo kimoja wapo cha changamoto nyingi za kiafya, hasa maradhi sugu yasioambukiza na hata Kinga ya mwili kushuka. Stress huvuruga mfumo wa vichocheo mwilini na metabolism ya mwili hivyo kusababisha mqili kuhifadhi zaidi mafuta n sukari kuliko kuvichoma, hivyo husababisha mwili kushindwa kupungua

2: Hormone imbalance.
♦️ Kushindwa kupungua uzito wa mwili ni dalili moja wapo ya hormone imbalance. K**a unahitaji upungue vizuri uzito, tumbo na unene, unatakiwa umalize tatizo la hormone imbalance

3: Aleji ( allergy)
♦️ Allergy ya vyakula husababisha metabolic syndrome. Ili mwili wako uweze kupungua unahitaji kumaliza tatizo la allergy katika mwili wako.

4: Mwili kuhifadhi mafuta zaidi kuliko kuchoma mafuta.

K**a wewe ni mmoja Kati ya wahanga wa matatizo haya, tupigie kwa simu namba 0739221050
Whatsapp: 0739221050

UPUNGUFU WA MADINI YA ZINC MWILINI1: Husababisha uchovu sugu2: Kukosa nguvu za kiume na ugumba3: Kuongezeka kwa viwango ...
24/11/2022

UPUNGUFU WA MADINI YA ZINC MWILINI

1: Husababisha uchovu sugu
2: Kukosa nguvu za kiume na ugumba
3: Kuongezeka kwa viwango vya sukari mwilini
4: Kinga ya mwili kupungua
5: Macho kuwa makavu, kutokuona vizuri, kupungua uwezo wa kunusa na kutambua ladha
6: Nywele zisizo na afya(thin hair)
7:Kucha zinazo katika katika, pamoja na kuwa na alama nyeupe kwenye kucha
8: Kuwa na ngozi kavu, chunusi, na matatizo mengine ya ngozi.

♦️Fungus ya uume na ngozi ya korodani husababishwa na fungus aina ya candida, kwa kawaida kuna kiwango kidogo cha candid...
23/11/2022

♦️Fungus ya uume na ngozi ya korodani husababishwa na fungus aina ya candida, kwa kawaida kuna kiwango kidogo cha candida katika miili yetu. Hivyo unapopatwa na fungus hawa maana yake ni kwamba candida wamekua kwa kiwngo kikubwa. Hali ya unyevu nyevu ni rafiki sana kwa ukuaji wa candida, fungus Hawa pia huambukizwa kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye fungus.

♦️Ugonjwa huu wa fungus sehemu za siri umekua ukihusishwa sana na wanawake na wengi humanity kwamba wanaume hawapati fungus fungus sehemu za siri. Hii si kweli, fungus huweza kumuathiri mtu yeyote.

♦️Dalili za fungus ni k**a vile muwasho, mba, na ngozi ya eneo husika kuuma kwa mbali, uchafu mweupe ulioganda, waweza kuonekana katika sehwmu zenye mikunjo, pamoja na miwasho sana.

Kwa tiba, call 0739221050
Whatsapp 0739221050

09/11/2022

Hivi ndivyo tunatakiwa kula♦️mafuta na sukari kidogo sana(10%)♦️protein salama( nyama neupe mfano samaki,kukun.k,maharag...
15/07/2022

Hivi ndivyo tunatakiwa kula
♦️mafuta na sukari kidogo sana(10%)
♦️protein salama( nyama neupe mfano samaki,kukun.k,maharage, njegere n.k) 20%
♦️mbogamboga na matunda(30%)
♦️Kiini cha nafaka kamili (40%)
Bila kusahau kufanya mazoezi na kudhibiti uzito

Tunatibu magonjwa sugu, yanayosumbua watu wengi k**a vile:-1. Kisukari2. Shinikizo la damu (pressure)3. Figo4. Vidonda v...
07/06/2022

Tunatibu magonjwa sugu, yanayosumbua watu wengi k**a vile:-
1. Kisukari
2. Shinikizo la damu (pressure)
3. Figo
4. Vidonda vya tumbo
5. Uzazi kwa wanawake na wanaume
6. Uvimbe kwenye kizazi
7. Uvimbe wa aina yoyote
8. Tatizo la mifupa
9. Stroke
10. Saratani..........na mengine mengi

Address

Posta
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya magonjwa sugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba ya magonjwa sugu:

Share