09/09/2024
Hizi Ndo Juisi 5 Kwako Wewe Mwanamke Mwenye Changamoto Mbalimbali Katika Mfumo Wa Uzazi.
Je Wajua Kuwa Virutubisho Vilivyomo Kwenye Matunda Haya Vinaweza Kuwa Msaada Kwako? Na Je Mara Yako Ya Mwisho Kutumia Juisi Hizi Ni Lini?
Basi Nisikuchoshe, Fuatilia👇
1. Juisi Ya Komamanga
Komanga Ni Tajiri Wa Antioxidants Ambazo Zinaweza Kusaidia Kuboresha Afya Ya Uterasi Na Kuongeza Mtiririkk Wa Damu Kwenye Maeneo Ya Uzazi.
2. Juisi Ya Parachichi
Parachichi Huwa Na Vitamini E Ambayo Ni Muhimu Kwa Mfumo Wa Uzazi. Vitamini E Husaidia Kuboresha Afya Ya Yai Na Kuimarisha Mfumo Wa Homoni
3. Juisi Ya Tango Na Karoti
Mchanganyiko Wa Juisi Hizi Mbili Hutoa Vitamini A Na C Ambazo Zinaweza Kusaidia Kuboresha Afya Ya Ngozi, Homoni Na Kuongeza Kinga Ya Mwili
4. Juisi Ya Mchicha
Mchicha Ni Chanzo Kizuri Cha Folic Acid, Madini Ya Chuma Na Vitamini B6. Folic Acid Husaidia Katika Utengenezaji Wa Seli Mpya Ambazo Ni Muhimu Kwa Uzazi
5. Juisi Ya Tangawizi
Tangawizi Nasaidia Kuboresha Mzunguko Wa Damu Na Inaweza Kusaidia Kupunguza Maumivu Ya Hedhi. Tangawizi Ni Muhimu Kwa Wanawake Wenye Matatizo Ya Uzazi.
Juisi Hivi Zinaweza Kukusaidia K**a Utapenda Kutumia Mara Kwa Mara Bila Kuchoka Kwa Ndani Ya Juisi Hizo Kuna Virutubisho Ambavyo Ni Muhimu Katika Mwili Wa Mwanadamu.
DARASA LA BURE KABISA
Karibu Ujifunze Zaidi Kuhusu Changamoto Za Uzazi Kwa Kugusa Link Ya Group 👇
https://chat.whatsapp.com/FWhAvpdEWph3GwgmFZaYzG