Doctar Abubakar Health Clinic

Doctar Abubakar Health Clinic DOCTOR ABUBAKAR HEALTH CLINIC

Ninatoa Tiba ya Magonjwa Sugu kama:-
_U.T.I SUGU
_PID.
_Presha..
_sukari
_Shida ya Mfumo wa Mifupa
_Changamoto ya uzazi wanawake
.Mfumo wa uzazi kwa wanaume Kama
TEZI DUME,
HENIA
_Vidonda vya tumbo
_Bawasiri

magonjwa yote.
_Usafi binafsi
Afya ya ngozi na urembo

KARIBU SANA�

Hatuwezi kusahau yote yaliyoacha makovu kwenye mioyo yetu. Lakini kuna namna Mungu anatupa nguvu ya kusonga mbele. ✍️🙏By...
24/02/2023

Hatuwezi kusahau yote yaliyoacha makovu kwenye mioyo yetu. Lakini kuna namna Mungu anatupa nguvu ya kusonga mbele. ✍️🙏

By dr abuu

Talaka za siku hizi kiboko Mtu anaacha mke na watoto, inafika mwaka mtu hajui wanawe wanakula nini wala wanavaa nini, Ki...
24/02/2023

Talaka za siku hizi kiboko
Mtu anaacha mke na watoto, inafika mwaka mtu hajui wanawe wanakula nini wala wanavaa nini, Kisa kaachana na mama yao! Huo ni ushenzi

Jamana wamama na wadada pamoja na mabinti Nawakumbisha kwamba kizazi Cha Sasa uzazi ni washida mnoo acheni KUTUMIA p2 ac...
24/02/2023

Jamana wamama na wadada pamoja na mabinti Nawakumbisha kwamba kizazi Cha Sasa uzazi ni washida mnoo acheni KUTUMIA p2 acheni KUTOA MIMBA ovyo unaweza ukameza p2 Kwa kipindi hicho Ukaona umepatia maisha wapendwa ndoa bila mtoto ni kilio wahanga wengi wa WATOTO mkatubu dhambi zenu mlizozifanya nyuma Mungu hajaumba mgumba mrudieni Mungu wenu huenda siku uliyo meza p2 ndo Mungu alikuandalia mtoto huenda mimba ulizotoa ndo watoto aliokupangia Mungu katika yoye hakuna mkamilifu ila turudi Kwa Mungu kabla ya kulalamika na kuwaza nani kakuroga kumbuka na uliyoyafanya nyuma huko 👏👏👏👏👏👏👏

16/02/2023

Tuseme hivi wewe una kilo 70 na urefu wako ni sentimita 150 yaani mita 1.5..sasa chukua huo uzito gawanya na urefu kwenye mita..itakuwa hivi 70kg/(1.5m)²..jibu lake ni sawasawa na 31.1kg/m² yaani huyu ana uzito wa kupindukia aka kiribatumbo huyu p**o linamfaa...au tuseme una kilo 60 na urefu wako ni sentimita 154(1.54M) ....itakuwa hivi 60/(1.54m)² .jibu lake ni sawasawa na 25.2kg/m² huyu yeye ana uzito mkubwa... hiyo inaitwa BMI ndio wataalam huwa wanatumia kujua k**a wewe una uzito mkubwa au uzito mzuri...haya hebu pige hesabu na wewe uone uko wapi...k**a hesabu ilikupiga chenga andika kwenye comments hapo uzito wako na urefu wako nitakuambia ukoje...!

𝟭. KULA CHAKULA KIASI.Kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la...
16/02/2023

𝟭. KULA CHAKULA KIASI.

Kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la ndoa.

Epuka vyakula na vinywaji vinavyongeza nguvu kwani vitachangia kukuchosha wakati wa tendo.

2. USIBISHANE NA MWENZIO.
Hii itasababisha kupoteza nia na hamu ya kufanya tendo na hivyo kukukosesha raha katikati ya tendo.

Epuka hasira na mawazo kabla na wakati wa tendo.

3. USIWE NA HOFU JUU YA MWILI WAKO NA MAUMBILE YAKO.

Hii itakusaidia kujiamini na kujiheshimu mbele ya mwenza wako na

Jaribu kuweka mawazo sana katika sehemu ya mwili wa mwenza wako unayoikubali zaidi.

4. USITEGEMEE MENGI NA MAZURI TU.

Kumbuka miili ya binadamu iko tofauti hivyo jiandae kukubaliana na lolote asa unapofanya mapenzi kwa mara ya kwanza au na mpenzi mpya .

5. USIFANYE MAPENZI KIMYA KIMYA.

Ongea au toa sauti pale unaposkia raha itasaidia kuongeza hamu na kupata hamasa zaidi ya kumfurahisha mwenzio.

-

K**a umejifunza kitu, Save post hii Itakusaidia kwa Matumizi yako

Kwa msaada wa haraka wa changamoto zote za Afya ya Uzazi kwa Mwanamke,

NITUMIE UJUMBE WHATSAPP

0688172758, Dr abuu.

Vinginevyo makadirio ni tarehe 8 November
13/02/2023

Vinginevyo makadirio ni tarehe 8 November

Leo ni siku ya watu kondomu duniani..si mnakwenda sleep over...mkipaki panty zenu msiache kupack na kondomu..kwa  sleep ...
13/02/2023

Leo ni siku ya watu kondomu duniani..si mnakwenda sleep over...mkipaki panty zenu msiache kupack na kondomu..kwa sleep over na k**a umetumiwa nauli minimun ni 6..🤣🤣

Na mkumbuke zina ni dhambi unachukua lana za ukoo za yure unae enda kufanya nae ila pia tambua mwakaa nsensa ukimwi imeongezeka napita🙈🙈

Ukiona hii  kwenye  diaper jua mwanao hashibi.Hii sio damu, hii ni kemikali inaitwa urate crystal. Huwa inatokea siku ta...
24/01/2023

Ukiona hii kwenye diaper jua mwanao hashibi.
Hii sio damu, hii ni kemikali inaitwa urate crystal. Huwa inatokea siku tatu hadi nne za mwanzo baada ya mtoto kuzaliwa na k**a hapati maziwa ya kutosha. Dalili nyingi ambazo huwa zinaonyesha mtoto hashibi ni pamoja na mtoto kutoongezeka uzito, na mtoto anayeshiba anapata kupata mkojo angalau mara 1 siku ya kwanza baada ya kuzaliwa, mara mbili siku ya 2 nk..vipi umewahi kuona hivi kwenye diaper ya mwanao..?

Vipi wanawapa hela au wanataka period ivurugike😂😂...!?
24/01/2023

Vipi wanawapa hela au wanataka period ivurugike😂😂...!?

18/01/2023
Njia ya Kuchomoa ( Coitus Interruptus) Hii ni njia ya asili ya kuzuia mimba ambayo  mwanaume kabla ya kumwaga anachomoa ...
16/01/2023

Njia ya Kuchomoa ( Coitus Interruptus)
Hii ni njia ya asili ya kuzuia mimba ambayo mwanaume kabla ya kumwaga anachomoa uume wake kutoka kwenye uke na kuweka mbali kabisa na sehemu ya nje ya uke. Njia hii inazuia manii kuingia kwenye uke, na hivyo kuzuia mawasiliano kati ya mbegu na yai.
Njia hii inaweza kuwa mwafaka kwa wanandoa:
• ambao wana uthubutu wa hali ya juu na wanaweza kutumia njia hii kwa ufanisi;
• kwa sababu za kidini au za kifalsafa za kutotumia njia zingine za kuzuia mimba;
• wanaohitaji uzazi wa mpango kwa haraka iwapo wanataka kufanya ngono na hakuna njia nyingine za kuzuia mimba;
• wanaohitaji njia ya mpito wakati wakisubiri kuanza njia nyingine;
• ambao hawafanyi mapenzi mara kwa mara.

Sasa swali je anauthubutu wa kukuachia...au ndie baadae anakuomba msamaha..sorry baby nilizidiwa 🤣🤣

By dr abuu

Kiafya hakuna faida ya ziada kunyoa sehemu za siri. Lakini unapoamua kunyoa fanya hivi ili kupunguza uwezekano wa vipele...
08/01/2023

Kiafya hakuna faida ya ziada kunyoa sehemu za siri. Lakini unapoamua kunyoa fanya hivi ili kupunguza uwezekano wa vipele.
1. Punguza nywele za huko kwa kutumia mkasi k**a haujanyoa kwa muda mrefu
2. Oga maji ya moto(vuguvugu)- hii itasaidia kulainisha nywele za huko kwa sababu huwa ni ngumu kuliko nywele za sehemu nyingine ya mwili
3. Osha kwa sabuni isiyokuwa na manukato wala dyes. Dove inaweza kuwa chaguo zuri. Hii inasaidia kupunguza bakteria na uchafu maeneo hayo.
4. K**a una shaving cream unaweza kupata
5. Anza kunyoa taratibu, kwa kufuata muelekeo wa nywele zilivyo ota.
-Osha wembe wako kila mara ili kuondoa nywele (wembe ukijaa nywele haukati vizuri)
- Usipitishe wembe eneo moja mara nyingi
-Nyembe zilizotengenezwa kwa ajili ya wanaume zinanyoa vizuri.
-Tumia mashine yenye wembe mmoja
6. Baada ya kunyoa usipake after shave yenye alcohol zaidi ya asilimia 14, alcohol iwe asilimia 14 kushuka chini
7. K**a huwa unasumbuliwa na vipele, baada ya kunyoa paka 1% hydrocortisone cream
-Paka kiasi kidogo sana mara 1 tu

Kazi yangu nimemaliza, Sasa amua mwenyewe, mwaka mpya utaendelea kuishi kikomando ama kishaolini😂..!

-

Je, una tatizo lolote la uzazi? Tuambie, tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako!..
-
Leo nimetoa upendeleo wa kipekee Niko Online DM/ Inbox Najibu messange zote una changamoto yoyote ya UZAZI nitumie Ujumbe DM/ inbox au Whatsapp no: 0688172758,

SITZ BATH inafanyika kwa kukalia maji ya vuguvugu. Daktari anaweza kukushauri ufanye  Sitz bath  k**a una vidonda au maj...
01/01/2023

SITZ BATH inafanyika kwa kukalia maji ya vuguvugu. Daktari anaweza kukushauri ufanye Sitz bath k**a una vidonda au majereha ukeni na kwenye njia ya haja kubwa. Mwanamke au mtu mwingine anaweza kufanya Sitz bath k**a amejifungua, ameshonwa ukeni, ana haemerrhoid, au kidonda kwenye njia ya haja kubwa na kwa watoto k**a anafunga choo.

Kwa wanawake wa kawaida ambao hawana matatizo yoyote ya kiafya ukeni au kwenye njia ya haja kubwa hakuna faida yoyote ya ziada ya kufanya Sitz bath kila siku, vinginevyo uwe umeshauriwa na daktari...!na wala Sitz bath haisafishi uke, uke huwa unajisafisha wenyewe naturally..!

-
Natumaini Umejifunza kitu, , Na k**a una changamoto yoyote ya uzazi nitumie Ujumbe whatsapp, no:0688172758, kwa msaada zaidi nipigie.

Huu ujumbe kila mdaa  nakua nauangalia unapita katika macho yangu kwakweli niseme Asante tena ya nguvu umechukua nafasi ...
01/01/2023

Huu ujumbe kila mdaa nakua nauangalia unapita katika macho yangu kwakweli niseme Asante tena ya nguvu umechukua nafasi ndefu kuandika maneno k**a hayo ni upendo nashukuru kwakua Umepona asant ongela kwasababu namini nipo duniani kwasababu ya watu wengine by dr abuu

*MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*Njia hizo ni pamoja na:👉🏽K**a una ugonjwa wa zinaa na haujatibiwa👉🏽Kufanya ngono zembe isiy...
23/12/2022

*MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*
Njia hizo ni pamoja na:
👉🏽K**a una ugonjwa wa zinaa na haujatibiwa
👉🏽Kufanya ngono zembe isiyo salama /kushiriki ngono na watu tofautitofauti
👉🏽kuwa na mpenzi ambaye anashiriki ngono na wanawake tofautitofauti
👉🏽K**a umekuwepo na historia ya PID hapo
nyuma
👉🏽Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara
baada ya kujifungua (au postpartum period)
👉🏽Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya
kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post
abortion) au mara baada ya mimba kutoka
(miscarriage)
👉🏽Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa
mpango
👉🏽Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya
PID
👉🏽Maambukizi ya UTI/fungus ya mda mrefu(UTI/fungus sugu)

Moja ya madhara makubwa ya PID
UGUMBA infertility
📌mimba kutoka (miscarriage )
📌Mirija ya uzazi kuziba
📌Kizazi kujaa maji maji
📌Husababisha uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst)
📌Hormonal imbalance
📌Saratani ya shingo ya kizazi unapo kaa na infection kwa muda mrefu

DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa na ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa headhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

PID pelvic inflammatory disease maambukizo kwenye via vya uzazi ni hatari kwa afya yako ya uzazi. CHUKUA HATUA MAPEMA.

MATIBABU
inatibika na kupona Kwa haraka ikiwa umepata matibabu yake sahihi kwa wakati. Kwa ushauri au tiba
ya tatizo hili nione Daktari wa magonjwa ya wanawake nikupe msada pia unaweza wasiliana nami Whatsapp no0688172758: ,

Kitaalamu mama aliyejifungua hushauriwa  kusubiri mpaka wiki sita (baada ya kuanza kliniki- postnatal clinic) ndio aweze...
22/12/2022

Kitaalamu mama aliyejifungua hushauriwa kusubiri mpaka wiki sita (baada ya kuanza kliniki- postnatal clinic) ndio aweze tena kufanya tendo la ndoa.

Mama aliyejifungua kwa njia ya upasuaji (Caesarean section) huwa na wasiwasi , hofu kutokana na kidonda cha upasuaji, hivyo ni vyema kwa mama huyu kusubiri mpaka nyuzi kutoka kabla ya kufanya tendo la ndoa na pia azingatie kufanya kwa utaratibu (gentle). Staili zitakazoongeza kugandamizwa kwa eneo la mshono ni bora akaziepuka.

-
Je, una tatizo lolote la uzazi? Tuambie, tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako!..
-
Leo nimetoa upendeleo wa kipekee Niko Online DM/ Inbox Najibu messange zote una changamoto yoyote ya UZAZI nitumie Ujumbe DM/ inbox au Whatsapp no: 0688172758,

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 11:00 - 16:00
Saturday 11:00 - 14:00
Sunday 01:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Doctar Abubakar Health Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Doctar Abubakar Health Clinic:

Share