Afya ya mifupa na Dr.kapile

  • Home
  • Afya ya mifupa na Dr.kapile

Afya ya mifupa na Dr.kapile Natoa ushauri na tiba juu ya changamoto ya viungo na mifupa kama vile miguu kuwaka moto,ganzi,maumiv

TIBA YA MIFUPA BILA UPASUAJIDR:KAPILE 0747113069Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na ...
07/09/2022

TIBA YA MIFUPA BILA UPASUAJI
DR:KAPILE 0747113069
Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapofika umri was miaka 30 na kuendelea.Hapa Sasa mtu ataanza kuhisi maumivu makali kwenye magoti,pingili za mgongo,nyonga na shingoni pia wapo ambao viungo vyao huuma mwili nzima kutokana na upungufu was madini muhimu K**a vile zink na calcium

Kitaalamu matatizo haya yamegawanyika katika makundi makuu manne (4) nayo ni_
1:osteoarthritis- ambayo viungo vinasagana kutokana na kulika kwa gegedu(cartilage) na Ute kuisha kwenye maungio

2:Rheumatic Arthritis--hii ni ile Hali ya Kinga ya mwili kutafuna gegedu(cartilage) hii hutokea kwa watu wa umri wowote

3:Osterporosis--hii ni ile Hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuwa rahisi kuvunjika na hutokana na upungufu wa madini ya calcium

4:Gaut Arthritis--hii inasababiswa na uric acid (kemikali inayotokana na protini ya nyama)

Dalili za matatizo ya mifupa kwa ujumla

@ . Maumivu kwenye maungio
@ .Viungo kushindwa kujikunja
@ .kusikia milio ya kusagana Viungo
@ .Kukaza kwa Viungo
@ . Kushindwa kuinama au kuinuka baada ya kukaa kwa mda flani
@ .Kuhisi ganzi kwenye miguu na kuwaka Moto kwa miguu

Sababu zinazoleta haya matatizo ya mifupa

@ .Uzito uliopindukia
@ .Historian ya familia
@ .Ajali
@ .kutumikisha viungu kupita kiasi mfano mazoezi makali
@ .Kisukari pia huleta madhara kwa mifupa na Viungo


Changamoto katika kutibu haya matatizo

@ .Watu wengi wanatumia dawa za kutuliza maumivu
*Dawa za maumivu hutuliza maumivu tu kwamda na baadae Maumivu hurudi Tena maana hazisaidii kuongeza Cartilage (gegedu) Wala uteute

wengi wanafanyiswa mazoezi
*Mazoezi huwasaidia watu kwa muda mfupi na baadae hurudi Tena tatizo

*Kwahiyo watu wengi wenye tatizo la viungu kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa Viungo kwa gharama kubwa Sana

Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa mda mrefu

@ . Kushindwa kukunja Viungo kabisa
@ .Kuvunjika kwa urahisi kwa mifupa

07/09/2022

Address


Telephone

+255629996042

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mifupa na Dr.kapile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram