Dokta Juma Tiba Asilia

  • Home
  • Dokta Juma Tiba Asilia

Dokta Juma Tiba Asilia KAMA UNACHANGAMOTO ZA MFUMO WA UZAZI NA ELIMU YA KINYOTA AU KUNA JAMBO UNATAKA KULIFAHAMU KARIBU

06/04/2026

Karibu k**a una changamoto mbali mbali za mfumo za uzazi na elimu ya kinyota au k**a kuna jambo unataka kutazamia nipo kwa ajili yako huduma ya kuangaliziwa ni bure karibu inbox

Asalaam aleykum MAJIVU  SIO YA KUPUUZIA Majivu ni sehemu yetu katika maisha yetu ya kila siku.  Mara nyingi tunayadharau...
05/04/2026

Asalaam aleykum

MAJIVU SIO YA KUPUUZIA

Majivu ni sehemu yetu katika maisha yetu ya kila siku.
Mara nyingi tunayadharau kwa sababu hatujui nguvu zake za kiroho kweli.

Majivu ni hatari sana na yenye nguvu kubwa ambayo yanaweza hata kuua na kuharibu mtu anayekutesa maisha yako kiroho.

Inafanya kazi tu kwa watu wabaya wanaotafuta hatima yako na sio mtu unayemchukia binafsi!

1. Chukua mkaa na washa moto kwenye jiko la mkaa.
2. Acha uchome mpaka ufikie hatua ya majivu.
3. Unapoenda kulala, sema dua na utoke nje upeperushe majivu hewani.

Ndani ya siku moja au mbili, wale wanaokufuata kiroho wataanguka k**a mti.

Wanaweza kufa au kupata ugonjwa mkali sana.
Endelea kupeperusha majivu mpaka uone mabadiliko katika maisha yako.

Pia inaweza kukusaidia katika upande wa mahusiano, kumtuliza mtu unaempenda na akupende zaidi.

; Ukiwa na swali au unahitaji huduma ya tiba, iwe una tatizo la kiuchawi au tatizo lolote na ushauri au mambo mengine karibu

Dokta juma tiba asilia

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dokta Juma Tiba Asilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share