afyayamifupanaviungo

  • Home
  • afyayamifupanaviungo

afyayamifupanaviungo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afyayamifupanaviungo, Medical and health, .

FAHAMU KUHUSU GOITA,MIGUU KUWAKA MOTO , MAUMIVU YA JOINT NA KAZALIKA.KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +25...
04/04/2023

FAHAMU KUHUSU GOITA,MIGUU KUWAKA MOTO , MAUMIVU YA JOINT NA KAZALIKA.

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:

26/02/2022
Osteoarthritis ni ugonjwa wa maungio ya mifupa (joints). Ugonjwa wa osteoarthritis huonekana zaidi umri wa mtu unapokuwa...
23/01/2022

Osteoarthritis ni ugonjwa wa maungio ya mifupa (joints). Ugonjwa wa osteoarthritis huonekana zaidi umri wa mtu unapokuwa mkubwa. Kabla ya umri wa miaka 45, ugonjwa huu unaonekana zaidi kwa wanaume. Baada ya 55, ugonjwa huonekana zaidi kwa wanawake Osteoarthritis hufupishwa OA na majina mengine ni degenerative arthritis au degenerative joint disease.Tofauti na aina nyingine za arthritis, k**a rheumatoid arthritis na systemic lupus, osteoarthritis haishambulii sehemu nyingine za mwili

Osteoarthritis hushambulia zaidi mikono, miguu, uti wa mgongo, na maungio yanayobeba uzito mkubwa k**a nyonga na magoti. Primary osteoarthritis ni pale chanzo cha ugonjwa hakifahamiki na k**a chanzo kinaeleweka ugonjwa huu huitwa secondary osteoarthritis.

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio
USISAHAU
like post hii,share na ifollow
___

🔸MAUMIVU YA VIUNGO, NA TIBA YAKE_Matatizo ya viungo K**a Muguu, mgongo, kiuno, mikono n.k yamekuwa yakiwasumbua wengi sa...
23/01/2022

🔸MAUMIVU YA VIUNGO, NA TIBA YAKE
_Matatizo ya viungo K**a Muguu, mgongo, kiuno, mikono n.k yamekuwa yakiwasumbua wengi sana, hasa wazee, wanamichezo na wanaGym, watu wanaofanya kazi ngumu, n.k

🔸SABABU ZA MAUMIVU YA VIUNGO (ARTHRITIS)
1_UMRI
🔸Hii ni kwasababu Kadri umri unavyokwenda, mwili uashindwa kuzalisha ute ute katika maungio ya mifupa, hvyo upelekea msuguano baina ya mfupa na mfupa ambapo hupelekea mtu kupata maumivu makali hata kushindwa kukaa, kuinuka, kukimbia au hata kutembea vizuri.
_Aina hii ya Arthritis huwasumbua watu wengi zaid kuliko nyingne kutokana na cartilage (Utando unaofunika eneo ambalo mifupa hugusana na kuzuia isisuguane na kufanya kazi kiulain) inapoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hvyo kuharibika haraka. (Osteoarthritis)

2_UKOSEFU WA MADINI MUHIMU KATIKA MWILI. (Rheumatoid Arthritis)
🔸Pia tatizo hili hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili unapopungua kutokana na virutubisho hafifu, hivyo viungo huanza kushambuliwa ikiwa pamoja na synovial membrane na kusababisha Uvimbe na maumivu, pia huweza kushambulia macho, ngoz, mapafu, midomo,damu, na mishipa ya damu. hali hii isipotibiwa huweza kusababisha ulemavu

3_Maambukiz ya bacteria kwenye synovial fluid, huweza kuwa fangus au virus kutoka sehemu nyingne ya mwili kupitia mfumo wa damu na kusambaa hadi kwenye Joint na kulet Maambukiz na kusababisha Uvimbe na maumivu. Aina hii ya Arthritis huitwa Infectious Arthritis

4_KAZI NGUMU, hii hufanya mwili kutumia chakula kingi na virutubisho vingi hvyo hushambulia hata madin muhimu yaliyokuwapo katika maungio ya mifupa, pia changamoto za maumivu na misuli kukak**aa huwapata madereva wa misafala mirefu, wakaaji wa muda mrefu, wabeba mizigo

🔸TIBA YAKE
ArthoXtra, Gluzojoint na Zaminocal ni virutubisho vya asili visivyo na madhara ambavyo kazi yake ni kuongeza uteute katika maungio ya mifupa
_Kuzuia kulika na kusagana kwa mifupa na kuzalisha gegedu upya
_Kuondoa maumivu ya viungo na Uvimbe
_kuongeza Glucose Amine na chrondroitin kwenye maungio
_zina mchanganyiko wa zinc, calcium

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio
___

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maum...
22/01/2022

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo moja.

USISAHAU KUFOLLOW, LIKE, SHARE, AND COMMENTS


CHANZO CHA ARTHRITIS(MAUMIVU YA VIUNGIO)
Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana
>>Ligaments_Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi
>>Cartilage_Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu
>>Capsule_Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna ukano (synovial fluid) ambao huzalishwa na synovial membrane. Ukano ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule

Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yo yote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa gegedu inalika, upungufu wa ukano (synovial fluid), maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili ...
22/01/2022

Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili mikubwa. Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili mikubwa wanavyopata shida kutembea huku wakiinama toka upande mmoja hadi mwingine kila wakipiga hatua au shida wanayopata pale inapowabidi kupanda ngazi au kukuchuchumaa. Maneno k**a “ugonjwa wa kuumwa joints, nina tatizo la joints, maumivu ya joints” na maumivu ya mifupa umeyasikia mara nyingi. Tatizo hasa hapa ni nini? Ungana nami katika mada hii uujue ugonjwa huu wa arthritis.

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow, like, share and comments

:
:
:
:
:

Mfumo wa mifupa ni ngumu zaidi kuliko inaweza kuonekana kwa mtazamo wa kwanza. Na ukweli ni kwamba mifupa hutimiza kazi ...
04/01/2022

Mfumo wa mifupa ni ngumu zaidi kuliko inaweza kuonekana kwa mtazamo wa kwanza. Na ukweli ni kwamba mifupa hutimiza kazi nyingi mwilini: kuunga mkono tishu zilizobaki, kusaidia k**a misuli, kuruhusu kutokwa kwa macho, kulinda viungo vya ndani, kuhifadhi kalsiamu na fosforasi, iliyo na akiba ya asidi ya mafuta na kutoa seli za damu. (seli nyekundu za damu, seli nyeupe za damu na sahani). K**a tunaweza kufikiria, basi, mifupa pia ni ngumu ya anatomiki, kwa kuwa kila miundo inayowafanya ni maalum katika kucheza jukumu maalum. Katika nakala ya leo tutachambua ni nini sehemu za mfupa wa mwanadamu
🔥Epiphysis inayokaribia ni sehemu ya "juu" ya mfupa, ambayo ni kwamba, ikiwa tunazingatia femur, ndio eneo linalowasiliana na mifupa ya pelvic. Imeundwa na tishu mfupa ya spongy katika sehemu yake ya kina na kwa safu ya tishu mfupa iliyoambatana katika eneo la nje.ambayo inafanana na mfupa mwingine ambao unaunganisha na kufunikwa na tishu ya cartilaginous
🔥Cartilage maalum ni muundo unaofunika epiphysis na haujatengenezwa na seli za mfupa, lakini kwa zile maalum sana zinazojulikana k**a chondrocytes. Seli hizi huzalisha tumbo lenye aina nyingi za collagen ambazo hupa cartilage mali zake, ambazo kimsingi ni zile za kuzuia msuguano kati ya mifupa, kuboresha kutamka, kupiga makofi na kusambaza uzito
🔥Mfupa wa SpongyKulingana na wiani wao, tishu za mfupa zinaweza kuwa spongy au compact. K**a tulivyosema, epiphysis ni sehemu ya mfupa ambayo ina tishu hii ya mfupa ya spongy. Tofauti kuu kutoka kwa mfupa wa kompakt ni kwamba mfupa wa kansa hauna osteons, miundo ya silinda ambayo huupa mfupa wiani mkubwa.
🔥Mstari wa epiphyseal ni, k**a jina lake linavyopendekeza, Ni aina ya "stripe" ambayo inazingatiwa katika eneo la epiphysis na kwamba katika kiwango cha utafiti wa anatomy ya mfupa hutumika kuashiria mpaka kati ya hii na eneo linalofuata la mfupa: metaphysis. Zaidi ya hili, haitimizi kazi yoyote. Na ni kwamba mstari huu ni mabaki ya eneo la mfupa ambalo wakati wa utoto lina cartilage ili kurefusha mfupa. Kwa maana hii, laini ya epiphyseal itakuwa kitu k**a kovu.

👉Baadaya ya kutambua aina nne post inayo fuata tuta tazama aina nane zilizo bakia
USISAHAU
Kufollow,like, share

ONYO! Hata Usifikirie Kutibu MAUMIVU YA MIFUPA, Mpaka Uijue Kwanza Hii Siri...K**a wewe ni mwenye MAUMIVU YA VIUNGO, MAG...
04/01/2022

ONYO! Hata Usifikirie Kutibu MAUMIVU YA MIFUPA, Mpaka Uijue Kwanza Hii Siri...

K**a wewe ni mwenye MAUMIVU YA VIUNGO, MAGOTI, UTI WA MGONGO,GANZI NA MIGUU KUWAKA MOTO na umekuwa ukisumbuliwa na tatizo hili kwa kipindi kirefu bila ya mafanikio basi nina Habari Njema Kwako.

Tumekuandalia TIBA LISHE Yenye Faida ZIFUATAZO 👇

â—ŹFAIDA ZA BONE'S PACKAGE
â—‹ Inaboresha na kuimalisha gwegweju kwenye maungio (cartilage)
â—‹ Inakuza ufanisi wa ufanyaji kazi wa maungio.
â—‹ Huondoa maumivu wa maungio.
â—‹ Ni nzuri kwa waliovunjika mfupa
â—‹ Inarudisha ubora uliopotea wa gwegweju
â—‹ Ni nzuri kwa wanaougua baridi ya bisi
â—‹ Inaongeza uzito wa mifupa

Hivyo Basi!

Baadaya ya kutambua nini maana ya maumivu ya mifupa post inayo fuata tuta tazama CHANZO,DALILI NA MADHARA YA BARIDI YABISI KWENYE MIFUPA

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:
:
:
:
:
:

Baridi yabisi ni moja ya magonjwa kwenye kundi la (autoimmune diseases) magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili kushambu...
04/01/2022

Baridi yabisi ni moja ya magonjwa kwenye kundi la (autoimmune diseases) magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili kushambulia tishu za mwili na kupekelea tishu hizi kututumka na kuvimba.Tatizo hili huathiri maeneo ya maungo na kuletekeza maumivu makali yasiyokwisha, kuvimba kwa joint na kusababisha ugumu kukunja viungo. Changamoto inaweza kuwa kubwa pale mpambano kwenye joint (inflammation) unapokuwa mkubwa na baadae maumivu hupungua.

Kwa mgonjwa mwenye baridi yabisi ni muhimu kurekebisha lishe na mtindo wa maisha k**a ambavyo nitaelekeza hapa chini ili kupunguza makali ya ugonjwa. Ugonjwa wa baridi yabisi k**a usipochukuliwa hatua za haraka kuudhibiti unaweza kusababisha matatizo makubwa k**a kuharibika kwa maungio, neva na athari kwenye mishipa ya damu.

Baridi yabisi husababishwa na muunganiko wa sababu ikiwemo lishe, vinasaba, mtindo wa maisha, vichocheo pamoja na kinga ya mwili.Tafiti zinasema kwamba kwa mgonjwa anayeanza tiba mapema hupata nafuu zaidi na kuepuk**adhara ya baridi yabisi. Pamoja na dawa za hospitali wataalamu wa tiba asili tunashauri mgonjwa azingatie zaidi lishe na mazoezi ili kupunguza maumivu.

Baadaya ya kutambua nini maana ya Baridi yabisi post inayo fuata tuta tazama CHANZO,DALILI NA MADHARA YA BARIDI YABISI KWENYE MIFUPA

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:
:
:
:
:
:

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afyayamifupanaviungo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to afyayamifupanaviungo:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram