DSK Dispensary

DSK Dispensary DSK is a health center that aims to provide effective and quality healthcare services.

✨ Huduma ya Ultrasound sasa ipo karibu yako! 🩺📍 DSK DISPENSARY⏰ Huduma sahihi, haraka na za kitaalamu🤰 Kwa wajawazito & ...
08/09/2025

✨ Huduma ya Ultrasound sasa ipo karibu yako! 🩺
📍 DSK DISPENSARY
⏰ Huduma sahihi, haraka na za kitaalamu
🤰 Kwa wajawazito & uchunguzi wa kiafya

👉 Karibu leo, afya yako ni kipaumbele chetu!


Uchunguzi unaonyesha zaidi ya watoto 10,000 kila mwaka wanapata UKOMA. Zaidi ya mamia kati ya hao huwa na ulemavu wa kuo...
28/01/2024

Uchunguzi unaonyesha zaidi ya watoto 10,000 kila mwaka wanapata UKOMA. Zaidi ya mamia kati ya hao huwa na ulemavu wa kuonekana. Kwa pamoja, tunaweza kutokomeza maaafa na unyanyapaa unaosababishwa na maradhi haya.

Chanzo:


JANUARY  awareness month! Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kuzuilika au kutibiwa k**a ikigundulika mapema.✅ Pima✅ Ji...
24/01/2024

JANUARY awareness month! Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kuzuilika au kutibiwa k**a ikigundulika mapema.

✅ Pima
✅ Jikinge
✅ Jifunze

JANUARY  awareness month! Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kuzuilika au kutibiwa k**a ikigundulika mapema.✅ Pima✅ Ji...
22/01/2024

JANUARY awareness month! Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kuzuilika au kutibiwa k**a ikigundulika mapema.

✅ Pima
✅ Jikinge
✅ Jifunze

Karibu DSK Dispensary! Karibu kwenye utamaduni bora wa afya.
19/01/2024

Karibu DSK Dispensary! Karibu kwenye utamaduni bora wa afya.

Karibu DSK, Karibu kwenye utamaduni bora wa Afya!
21/11/2023

Karibu DSK, Karibu kwenye utamaduni bora wa Afya!

Mfumo wa mzunguko wa damu wa binadamu unaundwa na mishipa ya aina tatu, Ateri, Vena na Kapilari. Mishipa hii ya damu hub...
17/10/2021

Mfumo wa mzunguko wa damu wa binadamu unaundwa na mishipa ya aina tatu, Ateri, Vena na Kapilari. Mishipa hii ya damu hubeba damu kwenda kila sehemu ya mwili. Ateri hubeba damu yenye oksijeni kutoka kwenye moyo na kuisambaza sehemu zote mwilini ; Vena hurudisha damu iliyotumika kwenye moyo na kapilari huziunganisha Vena na Ateri.

K**a ukiunganisha mishipa yote ya damu ya mtoto, mwisho hadi mwisho, inaweza kufika hadi maili 60,000! Kwa mtu mzima inaweza kufika maili 100,000!

Kapilari ambazo ndio mishipa midogo kuliko yote (ina kipenyo cha micrometer 5 tu), inachangia asilimia 80 ya urefu wote.

Kwa kulinganisha na mzingo wa Dunia ambao ni takriban maili 25,000. Hii inamaanisha mishipa ya damu kutoka kwa mtoto mdogo inaweza kuzunguka Dunia mara mbili na nusu wakati ya mtu mzima huweza kuzunguka mara nne!

Source: integrisok.com

Address

Mikwambe-Toangoma
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DSK Dispensary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram