
17/09/2022
DAWA YA MENO YA ETERNAL
(ETERNAL TOOTHPASTE)
HII NI DAWA YA MENO NA KINYWA KWA UJUMLA NA PIA NI DAWA YA NGOZI
Ingredients
glycerin, calcium phosphate +Xylitol(Xylitol
Hii ni dawa ya meno inayotokana na mimea tiba ya asili ambayo imechanganywa kwa pamoja na kuifanya kuwa ni dawa yenye nguvu zaidi na bora kuliko zote.
Kutokana na aina ya mimea tiba iliyotumika dawa hii imekuwa na matumizi mbalimbali.
Dawa hii haina fluorine
DAWA HII INAONDOA MATATIZO YAFUATAYO;
➖Huzuia kutoboka kwa meno
➖Hufanya meno kuwa meupe
➖Inauwa bakteria wanaoeneza maradhi ya kinywa na meno
➖Inasaidia kwa wale wanaosumbuliwa na ganzi ya meno
➖Huondoa harufu mbaya katika kinywa
PIA DAWA HII INAHUSIKA NA NGOZI
➖Inatibu chunusi na fangasi
➖Inatibu afya ya ngozi
➖Huondoa makovu
➖Pia inatibu tumbo na kusaidia kufunga kwa tatizo la kuhara.
➖Inatibu mafindofindo
➖Pia inawasaidia wenye manyama ya pua
➖Inatibu mapunye na muwasho,
➖Pia inakausha damu kwa mtu aliepata jeraha kwa mawasiliano nipigie kupitia namba 0693377759