TIBA ASILI

TIBA ASILI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA ASILI, Medical and health, Dar es Salaam.

*MFAMANO*Ni dawa asili iliyopo katika mfumo wa Unga (powder).Ni dawa iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu katika kutibu c...
25/07/2023

*MFAMANO*

Ni dawa asili iliyopo katika mfumo wa Unga (powder).Ni dawa iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu katika kutibu changamoto za vidonda vya tumbo, Acid Reflux (GERD) na Michubuko tumboni.

Dawa hii ina faida kubwa zifuatazo kwa mtumiaji:⤵️

1.🖇️ Inatibu Vidonda vya TUMBO (Peptic Ulcers) katika aina zake zote na dalili zake zote k**a tumbo kuwaka moto,maumivu ya mgongo,kiungulia nk

2.🖇️Ina uwezo wa kuua Bacteria wanaosababisha Vidonda vya TUMBO *(Helicopter pylori)*

3.🖇️Ina uwezo wa kutibu ugonjwa wa kuzid kwa acid tumbon *(ACID REFLUX-GERD)* na dalili zake zote k**a vile Maumivu ya mgongo,kiungulia(heartburn) nk

4.🖇️Ina uwezo wa kutibu Michubuko tumboni *(Gastritis)* na dalili zake

5.🖇️Dawa hii ina uwezo wa kuweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kutibu tatizo la kupata choo kigumu *(Constipation)*

*DAWA HII INA UFANISI MKUBWA SANA KATIKA KUTIBU MAGONJWA TAJWA NA MATOKEA HUANZA KUONEKANA SIKU 1 HADI 2 WAKATI WA MATUMIZI.*

____________________________

____________________________1.📎 *_NI KWA NAMNA GANI BACTERIA (H.pyori) Husababisha vidonda vya TUMBO_*⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵-Bacteria, ...
25/07/2023

____________________________

1.📎 *_NI KWA NAMNA GANI BACTERIA (H.pyori) Husababisha vidonda vya TUMBO_*

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

-Bacteria, *_Helicobacter pylori/Campilobacter pylori_* anaweza kusafiri kutoka kwa mtu Mmoja kwenda kwa mwingine kupitia njia zifuatazo:
⤵⤵⤵

(a).📎Kupitia mate (kunyonyana midomo)
(b).📎Kupitia matapishi.
(c).📎 Kupitia kinyesi
(d).📎Kupitia chakula ama maji yaliyokuwa na bacteria hawa.

*_SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA MTU KUAMBUKIZWA BACTERIA HAWA_* (H.pylori)

⚫ Kuishi mazingira yenye mikusanyiko mkubwa wa watu bila kuchukua tahadhar.
⚫ Kunywa maji yasiyokuwa safi.
⚫ Kula vyakula visivyooshwa mfano matunda na Mboga za majani.
⚫ Kuishi karibu na mtu mwenye vidonda vya tumbo bila kuchukua tahadhar.

*_H.pylori_* anapoingia katika mwili wa binadamu huathiri uzio mwenye kulinda ukuta wa tumbo na utumbo mdogo (protective mucous) hali hii hupelekea kudhoofika kwa kuta katika tumbo na utumbo mdogo. Ukuta huu unapodhoofika husababisha Tindikali (Asidi) inayozalishwa tumbo kuunguza na kuuchimba ukuta wa tumbo pia Bacteria hawa huchimba ukuta wa tumbo na KUSABABISHA kutokea vidonda katika ukuta wa tumbo na vidonda hivi ndivyo tunavyoviita vidonda vya TUMBO kwasababu vipo tumboni *(Gastric Ulcers)*

⚫ Bacteria huyu haathiriwi na Acid ya tumboni ( Hydrochloric acid~HCL) kwasababu ana uwezo wa kuzalisha kimeng`enya *(Urease enzyeme)* ambayo huungana na UREA kuzalisha *Ammonia* ambayo huungana na Acid ya tumboni (HCL) kuzalisha Maji na *Ammonium Chloride* ambayo haina uwezo wa kumuathiri huyu Bacteria. Hivyo bacteria huyu huzidi kujilinda kwa namna hii Mpaka hufikia hatua ukuta wa tumbo huchimbwa zaid na huyu Bacteria huzid kuingia ndan zaid ya tumbo ambapo acid hushindwa kumuathiri na hali hii husababisha vidonda vya TUMBO kuzid na KUSABABISHA mgonjwa kuwa na hali mbaya zaid.

⚫ *_Huyu Bacteria huathiri zaid kwa pamoja na Acid ya tumbo na hufikia hatua mgonjwa huweza kupata Kansa ya tumbo/Kansa ya Utumbo mdogo._*

____________________________

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA ASILI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram