
27/12/2022
TEZI DUME
Ni moja yazi ya uzazi ya mwanaume ambayo kila mwanaume anayo na ipo chini ya kibofu cha mkojo inayotoa mkojo kwenda chini ya uume
Aina ya magonjwa ya tezi dume
1 maambuzi ya bacteria (prostatitis)
2 kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani
3 saratan ya tez dume
TATIZO LA TEZI DUME KUTANUKA
umri mkubwa juu ya miaka 40 hadi 60
KAZI YA TEZI DUME
N kiungo kilichopo chini ya kibofu ambayo hupitisha mkojo na kupitisha majimaji ya mbegu za kiume
Hutanuka kwa sababu ya ugonjwa wa saratani ya kizazi (kansa)
Ndipo hapo huanza kusababisha matatizo ya ugonjwa wa tezi dume
Dalili za tezi dume
01 Kukojoa mara nyingi nyakati za usiku
02 maumivu wakati wa kukojoa
03 mkojo kutiririka polepole ama kutumia nguvu ili kupushi mkojo kutoka
04 mkojo kushindwa kutoka ama kushindwa kukojoa
05 mkojo kuendelea kutoka baada ya kukojoa
06 kibofu kujaa ama kutokuisha mkojo
ZINGATIA
MATATIZO YA TEZI DUME KUTANUKA
01 MKOJO KUSHINDWA KUTOKA KABISA
02MADHARA KWA KIBOFU NA FIGO
03 MAAMBUKIZI YA FIGO
SARATANI YA TEZI DUME
husababishwa na
1umri miaka 50 na kuendelea
02 nasaba (koo)
03 lishe k**a nyama nyekundu mafua k**a samli maziwa ya crem
04 unene uliokithiri
05ukosefu wa mazoezi
06Upungufu wa vitamins D
DALILI ZAKE
01 Udhafu katika kutoa mkojo mkojo hauish8
02kukojoa mara kwa mara
03damu ndani ya mkojo
04 kushindwa kukojoa
05maumivu ya mifupa na nyonga
MATIBABU PIGA0658721200