22/01/2025
Jini Mahaba ni jini anayemtumia mtu katika mapenzi. Mara nyingi hukujia ndotoni na mara chache huja katika muonekano wa kiumbe k**a mwanadamu wa kawaida.
Jini huyu anawaingia watu wanaopenda kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati
wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwawanaopenda kujitazama wakiwa uchi.
Kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua, kutupiwa na wachawI kuingia chooni bila dua
hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukumbwa na majini. Jini wakutupiwa huwa tofauti na aliyekuiingilia kwa kukumba au mapenz yake mwenyewe. Wakufumwa anakiwa mkali zaid na anaweza akakuingilia mpaka kinyume cha maumbile.
kupenda kukojoa miferejini, lakini pia wanawake wazur sana hasa weupe wanaopenda kujipodoa na kupaka manukato mazur na kutembea usiku wana uwezekano mkubwa wa kuingiliwa na hawa majini sababu na wao pia hutamani vtu vzur vinavyonukia. Ukichunguza idadi kubwa ya watu wenye majini mahaba ni weupe na pia ni wale watanashat haswaaa.
DALILI NA MADHARA UNAYOWEZA KUYAPATA IKIWA UMEINGIWA NA JINI HILI NA UKASHINDWA KUMTOA
majini mahaba huwa na dalili nyingi na hutofautiana kutegemeana na aina ya jini alie kuingia zifuatazo ni baadhi ya dalili za jini mahaba kwa uchache ndoto za kufanya jimai mara kwa mara hasa na mtu unae muheshimu km kaka dada mama baba nk {si kila ndoto ya kufanya mapenzi ni dalili ya jini wakati mwingine ndoto ya kuota unafanya jimai hadi kufikia mshindo hutafsiriwa k**a kupata wepesi na mafanikio katika mambo ya muotaji kuharibika ujauzito bila sababu za kidaktari, kuchukia tendo la ndoa kuoa au kuolewa na hata kumchukia mwenza wako akiwa karibu nawe na hujihisi
kumpenda sana akiwa mbali, ndoto za kuota unazaa kunyonyesha au kulea mtoto, mwanamama kuvurugikiwa siku za hedhi, maumivu makali chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa au hedhi[hili husababishwa pia na vitu mbali mbali Km mgoro na baadhi ya bakteria wanao shambulia viungo vya uzazi, kutosikia hamu ya tendo la ndoa bila sababu za kidaktari,
ujauzito kutoweka baadhi ya nyakati na mjamzito kuhisi km hana kabisa ujauzito, mipango kuharibika bila sababu za msingi, kutokuwa na nguvu za kijinsia bila sababu za kidaktari, kujihisi umeonewa hadi unafika kulia bila sababu, moyo kwenda mbio bila sababu za kidaktari,
kifua kuwa kizito km umebeba mzigo au kichwa, kuota ndoto za kweli wakati sio mchamungu, ndoto za kukimbizwa na wanyama, wakali km simba nyoka chui na wengine, kupiga kelele bila sababu na unashindwa kujizuia, hizi ni baadhi tu ya dalili zipo nyingi sana
BAADA YA KUFAHAMU KWA UCHACHE DALILI ZA JINI MAHANA SASA TUANGAZIE MADHARA YAKE
jini huyu anapomuingia mwanadamu huweza kumpatia madhara yafuatayo kuchukia kuoa au kuolewa, kuchukia watu wa jinsia tofauti, kutopata mtoto, kuvurugikiwa mambo yake bila sababu za msingi, gundu, kuchukiwa na watu bila sababu maalumu
k**a una dalili hizo basi jua una jini mahaba ambaye anakusababisha matatizo kwenye maisha yako. Akikomaa anaweza akakuoa akaenda kuiutambulisha kwao ujinini ukazaa nae watoto lakini utakuwa ukiyaona usiku kwenye ndoto haya mambo unaweza ukazaa hata watoto watatu kijini lakini ukawa huna mtoto kikawaida.
Sasa kuna tofauti za majini mahaba na dawa zake pia ni tofauti kulingana na aina ya jini na alivyokuingia. Mfano k**a alikuingia choon basi kuna dawa utapatiwa uanatakiwa usonge ugali mdogo uweke kwwnye sahan ya udongo ufinyange matonge saba ambayo utaweza kuyameza bila kutafuna.Utaenda chooni utameza hayo matonge huko kwa muongozo maalumu wa mtabibu
Ili kuzuia hizo ndoto na kumtuliza tafuta mvuje wa donge au kipande maana mvuje kuna majani mafuta unga na dongr sasa upate donge ujifunge na kitambaa mkono wako wa kulia uwe unalala nacho usiku itamstopisha kukuingilia ila dawa zaid ni kumtoa ili upate furaha ndoan upate kizazi
Fika kwa wataalam waliopo karibu nawe wakuangalie na wamtoe mara moja
Nmetaja dalili na athari ili ujiangalie pengine unahangaika ujui tatzo ndo ujue unaye Wanaohtaj msaada wangu zaid niachie ujumbe inbox ya page Namba iliyo kwenye picha ukituma ujumbe inakuwa ngumu kuuona nina meseji nyingi sana tuma ujumbe whatsap au inbox ya page