Lucas healthcare tz

Lucas healthcare tz - Tunakusaidia kupunguza kitambi na unene uliopitiliza ili upate mwili wa ndoto yako.
- Suluhisho la MIFUPA bila OPERATION ndani ya kipindi kifupi.

WATU WENGI WENYE TATIZO LA OSTEOARTHRITIS NA ARTHRITIS ( kusagika kwa mifupa au Upungufu wa Synovial fluid ), Ni miongon...
15/09/2022

WATU WENGI WENYE TATIZO LA OSTEOARTHRITIS NA ARTHRITIS ( kusagika kwa mifupa au Upungufu wa Synovial fluid ), Ni miongoni mwa watu ambao hawafurahii kabisa tendo la ndoa ipasavyo, kwa sababu Maumivu ya Viungo yanaweza kutokea kutokana na Style tofauti tofauti watakazokuwa wanafanya, ivyo kwao kunakuwa na kikomo flani..na Watu wengine hupata Maumivu makali sana ya Viungo baada ya kumaliza kushiliki tengo.

Usipuuzie, hiyo ni changamoto kubwa, tafadhari kadiri iwezekanavyo wahi kupata SULUHISHO mapema kabla ya tatizo kuwa kubwa na kukupelekea kushindwa kabisa kushiliki tendo la ndoa kutokana na Maumivu makali yakikughasi.

Kupata USHAURI na SULUHISHO wasiliana nasi kupitia 0693365000

follow

Tunashauriwa sana kula vyakula Asilia kwa ajili ya Kuujengea uwiano mzuri mwil wetu kiafya, kuliko kula Junck food ( fas...
14/09/2022

Tunashauriwa sana kula vyakula Asilia kwa ajili ya Kuujengea uwiano mzuri mwil wetu kiafya, kuliko kula Junck food ( fast food ) vyakula vyenye wingi wa Acid, Sukari, Mafuta na Kemikali, sababu ndio vyanzo vya matatizo mengi ya kiafya..

Kwa USHAURI zaidi wasiliana nasi, 0693 365 000

follow

Gout ni aina ya ugonjwa wa Arthritis ambayo inasababishwa na Uric Acid nyingi inayoongezeka mwilini na katika damu, maum...
12/09/2022

Gout ni aina ya ugonjwa wa Arthritis ambayo inasababishwa na Uric Acid nyingi inayoongezeka mwilini na katika damu, maumivu yake huwa ni ya ghafla na ni makali sana katika baadhi ya viungo na zaidi kwenye kidole gumba, hadi Magoti na maumivu kunakuwa k**a kunawaka moto hata wakati mwingine hutaki shuka liguse... sasa endapo mtu atashindwa kutafuta SULUHISHO mapema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa Uvimbe katika sehemu za Viungo na kusababisha kushindwa kwa mtu kufanya shughuli zake za kila siku...

Kikubwa endelea kufwatilia Page yetu upate maarifa zaidi...
kupata USHAURI na SULUHISHO zaidi wasiliana nasi PIGA:- 0693 365 000

Kuna aina nyingi za mazoezi ya viungo ambayo husaidia kunyoosha uti wa mgongo na kupelekea kusaidia kupunguza maumivu ya...
12/09/2022

Kuna aina nyingi za mazoezi ya viungo ambayo husaidia kunyoosha uti wa mgongo na kupelekea kusaidia kupunguza maumivu ya mgongo.. K**a ambavyo unaweza kuona kutoka kwenye picha hapo juu.

ANGALIZO:-
Sio mazoezi yote ya viungo husaidia kunyoosha uti wa mgongo kuna mengine huongeza tatizo, ivyo mwone mtaalamu wa afya aliye karibu nawe aweze kukusaidia kufahamu mazaezi gani yanafaa kulingana na ukubwa wa tatizo lako.

Kwa USHAURI na SULUHISHO zaidi piga 0693365000

Unasumbuliwa na Tatizo la miguu kufa ganzi kwa Muda mrefu?Chanzo kikuu cha Miguu kufa ganzi au kuwaka moto ni kutokana n...
09/09/2022

Unasumbuliwa na Tatizo la miguu kufa ganzi kwa Muda mrefu?

Chanzo kikuu cha Miguu kufa ganzi au kuwaka moto ni kutokana na ukosefu wa mawasiliano katika ( Mfumo wa Nerve ) mishipa midogo midogo inayosafirisha mawasiliano katika miguu ( Nerve System ). Mishipa hiyo huwezekana kuwa kubanwa kutokana na mgandamizo wowote ule au upungufu wa Madini na Vitamins mwilini, pia uchezeaji wa vitu vya baridi kwa kipindi kirefu au watu waliopo mikoa yenye baridi kali..

Dalili zake:-
> Maumivu makali ya Miguu.
> Miguu kufa ganzi.
> Kuhisi Moto chini ya Unyayo.

Ili kuweza kutibu tatizo k**a hilo kwanza Inahitajika kufahamu chanzo chake kisha kupewa matibabu sahihi..

Kwa USHAURI na SULUHISHO wasiliana nasi kupitia, call/Whatsapp: - 0693365000

follow

Huenda ukawa bado unafikilia kuagiza Package yako ukiwa na wasiwasi wa kutopata matokeo mazuri, pengine umepoteza muda n...
08/09/2022

Huenda ukawa bado unafikilia kuagiza Package yako ukiwa na wasiwasi wa kutopata matokeo mazuri, pengine umepoteza muda na pesa nyingi kujaribu madawa mengi lakini hayajakusaidia chochote mpaka sasa, hali iyo imekujengea hofu kubwa na kupoteza tumaini la kupona, sasa mimi nikuhakikishie kupata matokeo mazuri kutokana na Bidhaa zetu nzuri VIRUTUBISHO visivyo na chemical yeyote na ni salama kwa rika lote, na nimeweza kuwasaidia watu wengi wenye matatizo ya MIFUPA na UZITO mkubwa, tunafanya delivery MIKOANI na NJE YA NCHI, pamoja na NDANI YA NCHI.. mm nikukaribishe kupata Ushauri na Suluhisho la changamoto hizo..

kwa mawasiliano zaidi PIGA/WHATSAPP:- 0693365000

Ivi k**a umehangaika zaidi ya miaka 6 unaugulia maumivu tu ya mgongo na magoti au kiungo chochote kile, na huenda umejar...
07/09/2022

Ivi k**a umehangaika zaidi ya miaka 6 unaugulia maumivu tu ya mgongo na magoti au kiungo chochote kile, na huenda umejaribu jitihada zote k**a vile kunywa madawa ya Miti shamba, Madawa ya Hospital, Mazoezi ya Physical therapy, Waganga wa kienyeji au kufanya kila kitu kile utakachoambiwa. Kwa jitihada zote hizo bado hujapata hata matumaini yeyote?

Namshukuru Mwenyezi Mungu tumekuwa tukiwasaidi watu wengi wenye matatizo ya Maumivu makali ya viuungo na nimekuwa nikishuhudia wakiondokana na maumivu hayo ya muda mrefu.

hatutumii dawa za hospital wala Miti shamba ila tunatumia VIRUTUBISHO sahihi vitokanavyo na MATUNDA na MBOGAMBOGA pamoja na MIMEA mengine yenye utajiri wa MADINI na VITAMINS zinazohitajika kwa wingi na mwili, vile vile ni bidhaa zilizothibitishwa kimataifa na ni salama kwa kutumiwa na watu wa rika zote..

Maumivu ya Mifupa inatibika na wala bila kutegemea kufanyiwa surgery ( Operation). Kwa USHAURI na SULUHISHO wasiliana nasi kupitia CALLL/WHATSAPP: 0693 365 000

follow

MADHARA YA UVUTAJI WA SIGARA:-- Hupelekea kupata ugonjwa wa akili.- Hupelekea shida katika mfumo wa upumuaji.- Hupelekea...
06/09/2022

MADHARA YA UVUTAJI WA SIGARA:-

- Hupelekea kupata ugonjwa wa akili.
- Hupelekea shida katika mfumo wa upumuaji.
- Hupelekea matatizo ya Moyo.
- Ni sababu ya Ugonjwa wa Kiarusi au kupooza.
- Hupelekea kupata Ugonjwa wa Kisukari.
- Hupelekea kupata ugonjwa wa Presha.
- Huharibu Mapafu na Utumbo.
- Hupelekea kukosa choo.
- Hupelekea kupatwa na Ugonjwa wa Saratani ya mapafu..

UVUTAJI WA SIGARA, SH**HA, BANGI, NA TUMBAKU NI HATARI KWA AFYA ZETU...

K**a wewe ni muhanga wa Sigara wasiliana nami niweze kukusaidia namna ya kuondoa SUMU mwilini...

PIGA:- 0693 365 000

EWE MAMA & BABA RUDISHA MUONEKANO WAKO LEO... Ni ngumu sana kuamini kuona Muonekano wako una potea sababu ya uzito mkubw...
05/09/2022

EWE MAMA & BABA RUDISHA MUONEKANO WAKO LEO...

Ni ngumu sana kuamini kuona Muonekano wako una potea sababu ya uzito mkubwa na kitambi.

K**a tayari una uzito mkubwa au kitambi Usikubari kuendelea kupoteza muonekano wako bila sababu yoyote.

Njoo tukusaidie kuondokana na uzito uliyo pindukia ili upate mwili wa ndoto yako, Tena kwa muda mfupi tu ndani ya siku 9 mpaka siku 24 tu. Bila kujinyima kula wala kutumia dawa zozote zenye madhara, Ni kwa kutumia Formula ya C9 na F15 ambayo ni virutubisho vya Chakula tu na sio dawa.

Tupigie simu au tuma ujumbe Whatsapp 0693365000 Ukianza na neno UZITO kupata ushauri na suluhisho la huo uzito wako.

Follow kupata elimu zaidi.

MUUNDO WA SAFU YA SHINGO:Shingo na mgongo wako umeundwa na mifupa midogo inayoitwa vertebrae.  Hizi zimewekwa juu ya kil...
04/09/2022

MUUNDO WA SAFU YA SHINGO:

Shingo na mgongo wako umeundwa na mifupa midogo inayoitwa vertebrae. Hizi zimewekwa juu ya kila mmoja ili kuunda safu ya mgongo.

Safu ya uti wa mgongo inasaidia kushikilia kichwa chako na inalinda uti wa mgongo. Huu ndio muundo mkuu unaounganisha mtandao wa neva katika mwili wako wote.

Ujumbe au Mawasiliano husafirishwa kwenye mtandao huu wa safu ya uti wa mgongo kwa kutuma hisia, k**a vile maumivu, kunyong'onyea au kuhisi vibaya.

Vipingili vya mifupa saba ya juu kwenye safu ya uti wa mgongo huunda shingo yako, na hizi pingili huitwa vertebrae. Mifupa hiyo ya vipingili imeunganishwa pamoja na Viunganishi laini vya sehemu hiyo inaitwa Disc. Hizi ni viungo vidogo katikati ya vertebrae ambayo hushikilia pingili za uti wa shingo yako, inakuwezesha kusogeza kichwa chako kwenda mwelekeo wowote.

HUO NDIO MUUNDO WA SHINGO,

> Pingili za uti wa mgongo ( Vertebrae )
> Misuli au Never kwa ajili ya kusafirisha mawasiliano ( Spinal Code )
> Tendoni laini ambazo zinaunganisha Pingili za uti wa mgongo ( Disc )

Kwa ushauri na suluhisho la matatizo ya maumivu ya shingo na Mabega, wasiliana nasi kupitia - call/Whatsapp: 0693365000

follow kwa Suluhisho la Uzito na Mifupa

Mambo Matatu Ya Kuzingatia Ili Kulinda Afya Yako... 1. Chakula 2. Mazoezi 3. Usingizi > Chakula sahihi kitakusaidia kuon...
03/09/2022

Mambo Matatu Ya Kuzingatia Ili Kulinda Afya Yako...

1. Chakula
2. Mazoezi
3. Usingizi

> Chakula sahihi kitakusaidia kuondokana na uzito uliyo pindukia ambao unaweza kuupata kutokana na vyakula ambavyo sio sahihi kwenye afya yako. Pia chakula sahihi kitakusaidia kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na urutubishaji wa cell za mwili.

> Mazoezi yatakusaidia kujenga mwili na kuepuka magonjwa yasio ambukizwa, k**a uzito presha na mengine mengi. Vile vile mazoezi yatakusaidia kujenga misuli ya mwili na kuondoa Sumu mwilini.

> Usingizi utakusaidia kuimarisha afya ya mwili, kuimarisha seli za mwili ili mwili uweze kufanya kazi vizuri kwaajiri ya kulinda afya na kuimarisha kinga ya mwili wako ni lazima upate muda wa kutosha wa kupumzika.

K**A Una changamoto zozote na unatamani kuondokana nazo tuma neno UZITO au MIFUPA kwenda WhatsApp/Call 0693365000 Sasahivi.

Follow . SULUHISHO LA UZITO NA MIFUPA . . .

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lucas healthcare tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Lucas healthcare tz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram