khkairukihospital

khkairukihospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from khkairukihospital, Hospital, Dar es Salaam.

Kairuki Hospital inakutakia heri ya sikukuu ya Christmas, tuko wazi saa 24 hata siku za sikukuu,karibu tukuhudumie.
25/12/2025

Kairuki Hospital inakutakia heri ya sikukuu ya Christmas, tuko wazi saa 24 hata siku za sikukuu,karibu tukuhudumie.

24/12/2025
Happy Independence day
09/12/2025

Happy Independence day

Tunakutakia Mapumziko mema ya Uchaguzi,huduma zetu ziko wazi muda wote hata siku za sikukuu.Karibu tukuhudumie
29/10/2025

Tunakutakia Mapumziko mema ya Uchaguzi,huduma zetu ziko wazi muda wote hata siku za sikukuu.

Karibu tukuhudumie

27/10/2025

Zitambue sababu za kupata maumivu ya sehemu ya chini ya Mgongo kutoka kwa Dr Mathias Amede wa Kairuki Hospital.

Kairuki Hospital kwa kushirikiana na idara ya Udhibiti Ubora( Department of Quality Assurance) imezipongeza idara zilizo...
21/10/2025

Kairuki Hospital kwa kushirikiana na idara ya Udhibiti Ubora( Department of Quality Assurance) imezipongeza idara zilizofanya vizuri kwenye Kuzuia na kudhibiti maambukizi (IPC).

Hafla hiyo fupi ya kuzipongeza idara hizo imekwenda sambamba na kutoa zawadi kwa washindi ambapo OPD3 imeshika nafasi yaTatu katika IPC ikifuatiwa na Maabara ambayo imeshika nafasi ya Pili huku Idara ya Dharura yaani Emergency Department ikishika nafasi ya kwanza

21/10/2025

Itambue aina ya Ngozi yako

Kutana na Daktari Bingwa wa Ngozi, Kucha na Zinaa, Dr John Minja kutoka Kairuki Hospital akielezea kinaga ubaga kuhusiana na Mambo ya ngozi.

20/10/2025

Je, Wajua kuwa Mlo kamili unasaidia katika ustawi wa ngozi yako??

20/10/2025

Fahamu zaidi kuhusu saratani ya Matiti

Kairuki Hospital imeadhimisha siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kushirikiana na New Hope...
14/10/2025

Kairuki Hospital imeadhimisha siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kushirikiana na New Hope Community Development Organization ambayo imeandaa kambi ya siku mbili ya upimaji wa Afya bila malipo kwa wananchi ambao wanaizunguka taasisi hiyo.

Zoezi hilo linaenda sambamba na Mikakakti ya mahusiano kati ya Kairuki Hospital na Jamii kwa ujumla kwa utoaji wa Afya bila malipo ikiwa ni mojawapo ya urejeshaji katika jamii yaani Corporate Social Responsibility(CSR).

Katika zoezi hilo Kairuki Hospital inatoa huduma ya Upimaji wa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo Pressure, Sukari, Uzito na Urefu pamoja na kutoa ushauri wa kitabibu kwa watakaokutwa na changamoto.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when khkairukihospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category