
20/06/2022
JE UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MIFUPA IKIWEPO MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI (OSTEOPOROSIS)
Dr_MKOMBOZI 0746792034
Ni ugonjwa ambao husababishwa na maambukizo ya bacteria katika mfupa na misuli inayozunguka mfupa bacteria hao ni (staphylococci).
Bacteria hao huanza kuozesha mfupa ba misuli inayozunguka mfupa na Mara nyingi mgonjwa hulalamika MAUMIVU makali ya miguu ama MAGOTI yanauma na Mda mwingine hupelekea mfupa kupasuka au kuvunjika au mfupa na tishu zinazoshikilia mfupa kupata majipu na k**a ukichelewa tiba kuna uwezekano mkubwa
wa kupata ulemavu.
Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea ktk uti wa mgongo(mgongo kupinda na kuuma Mara kwa Mara),MAGOTI kuuma,nyonga na kifuani.
SABABU ZINAZOSABABISHA MATATIZO YA MIFUPA (OETEOPOROSIS)
1. Ulevi kupita kiasi
2.magonjwa ya figo.
3.upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (MENOPAUSE) kikomo cha hedhi
4.upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
5.ANOREXIA uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoez kupita kiasi.
6.uvutaji sigara
7.kutofanya mazoez ya viungo vya mwili.
8. Baadhi ya madawa yenye kemikali k**a chemotherapy, steroids, proton pump inhibitor na ant-seizure medication.
KINGA ZA MATATIZO YA MIFUPA.(OSTEOPOROSIS)
Mara nying tunasema kinga ni bora kuliko tiba ili usipate tatzo hili Fanya yafuatayo:
∆epuka matibabu yeye kutumia kemikali
∆zingatia rishe bora haaa utotoni pia pendelea kula vyakula vya asili vyenye madini yakutosha yanayoimarisha MIFUPA.
∆Acha au punguza matumizi ya pombe
∆Fanya mazoez ya kutosha na kunywa maji ya kutosha
ATHARI
ZINAZOSABABISHWA NA TATIZO HILI.
~ Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
~kupinda mgongo wakati wa uzeeni.
~ MAUMIVU makali ya Mifupa hasa ktk uti wa mgongo,mabegani,kifuani na ktk nyonga.
MATIBABU YA OSTEOPOROSIS.
1: kula kwa wingi vyakula vya vitamini D na vyenye madini ya calcium k**a maziwa, ubuyu,n.k
2:tumia dawa zinazosaidia kukupatia madini ya calcium ya kutosha na itakayoweza kuimarisha Mifupa
3:mafuta ya N**i ni mazuri kwa kuimarisha Mifupa
4:tumia dawa asili zinazofanya homoni za estrogens kuwa sawia kwa wanawake.
5: tumia mafuta ya samaki na samaki wa maji baridi kwa wingi upate fatty acids.
Je wewe,ndugu,wazazi,jamaa na marafiki ni miongoni mwa wale wanaosumbuliwa na TATIZO la mifupa kwa muda mrefu na umetumia dawa nyingi umeshindwa kupona?? Haujachelewa Bado pata tiba sahihi ya kumaliza TATIZO lako..
Waweza wasiliana nami kwa msaada zaidi ili kupata tiba ya kumaliza tatzo lako kwa simu namba 0746792034