AFYA YANGU

AFYA YANGU Tunatatua changamoto za kiafya , unaweza ukawasiliana nasi kwa 0763180438

KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERTROPHY)Hii ni changamoto ya kiafya ambayo inaweza kuwa Pata wanaume wote wa ...
08/04/2024

KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERTROPHY)
Hii ni changamoto ya kiafya ambayo inaweza kuwa Pata wanaume wote wa kuanzia umri wa miaka 45~50, tatizo hili la kuvimba kwa tezi dume linaweza kijionesha kupitia dalili mbali mbali ambazo ni........

✅Kushindwa kudhibiti mkojo wakati unapohisi kibofu kimejaa

✅Maumivu makali ya nyonga na mgongo

✅Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku

✅Kushindwa kukojoa kabisa (urinary retention)

✅Kujichafua kwa mabaki ya mkojo baada ya kumaliza kukojoa

✅Kushindwa kusimama kwa muda mrefu

✅Mkojo kutofika mbali wakati wewe una Okoa (mtiririko dhaifu)

✅Kushindwa kumudu tendo la ndoa na Kukosa kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa

MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME (BPH)

BPH k**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa. Madhara hayo ni pamoja na
* Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)
* Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo
* Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo
* Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)
* Madhara katika figo au kibofu
* Shinikizo la damu
* Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ej*******on)
* Maambukizi mbalimbali
* Nimonia (Pneumonia)
* Damu kuganda
* Uhanithi

KARIBU TUKUHUDUMIE
SIMU 0750820438
WHATSAPP 0750820438

08/04/2024
INAWEZEKANA SASAK**a umehangaika muda mrefu kutatua changamoto za maumbile yako muda ni sasa.....✅K**a umehangaika na ma...
10/10/2023

INAWEZEKANA SASA
K**a umehangaika muda mrefu kutatua changamoto za maumbile yako muda ni sasa.....

✅K**a umehangaika na madhara ya Kujichua kwa muda mrefu sana na haujapata suluhisho muda ni sasa

✅K**a umeshindwa kirutubisho mayai kwa mwenza wako. Muda ni sasa

✅K**a maumbile yako yamekuwa madogo sana na kusababisha Ukosefu wa raha wakati wa mchezo, muda ni sasa..

✅K**a hauwezi kurudia tendo, usichelewe ni wakati wako pia kumaliza changamoto zako

NB; KWA MWENYE TATIZO LOLOTE LA UZAZI, ANAKARIBISHWA

Mawasiliano

Simu 0763180438
WhatsApp :0763180438

UVIMBE WA TEZI DUME UNATIBIKA (Anza tiba mapema usifike hatua hii)
10/10/2023

UVIMBE WA TEZI DUME UNATIBIKA
(Anza tiba mapema usifike hatua hii)

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255755916932

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YANGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram