Tabasamu La Afya

Tabasamu La Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tabasamu La Afya, Dar es Salaam.

TATIZO LA NGUVU ZA KIUMEHili ni tatizo kubwa sana linalowasumbua wanaume wengi,  mahusiano mengi yamevunjika na Ndoa nyi...
24/11/2021

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Hili ni tatizo kubwa sana linalowasumbua wanaume wengi, mahusiano mengi yamevunjika na Ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya tatizo hili.

DALILI ZA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
1. Kuwahi kufika kileleni
2. Kukosa hamu ya mapenzi
3. Kushindwa kurudia tendo la ndoa
4. Uume kusimama kwa ulegevu au kushindwa kusimamisha kabisa.
5. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu, miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
7. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
8. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji.

Tatizo hili linatibika, kwa kutumia virutubisho bora vitokanavyo na mimea na matunda, Mungu atakurudishia kicheko.....
Zaidi ya yote ni kubadilisha mfumo wa maisha.

Tuwasiliane kwa simu/WhatsApp namba 0753 495 636

23/11/2021
Kwenye joint au maungio (nyonga, mgongo, magoti, kiuno, shingo nk) Mwisho wa mifupa  na katikati ya pingili  za mgongo k...
23/11/2021

Kwenye joint au maungio (nyonga, mgongo, magoti, kiuno, shingo nk) Mwisho wa mifupa na katikati ya pingili za mgongo kuna sehemu inaitwa cartilage

Hii *cartilage* huwa inachoka au kuharibika kwa sababu tofauti na kupelekea maumivu makali sana ya joint.

Ili hii cartilage iendelee kujitunzwa na kujikarabati vizuri kinahitajika kirutubisho kinachoitwa *glucosamine* ambayo inapatikana kwenye product ijulikanayo kwa Jina la *Full motion*

Full motion ni kirutubisho pekee kinachokupa glucosamine kiwango cha juu sana, inayohitajika kufanya kazi hii haraka na kwa ufanisi mzuri.

Tupigie/WhatsApp 0753 495 636

NINI KINAKUZUIA KUITWA MAMA.Changamoto gani isiyokuwa na suluhisho. 1. Je ni U. T. I  SUGU? 2. Je ni P. I. D? 3. Je ni U...
16/11/2021

NINI KINAKUZUIA KUITWA MAMA.

Changamoto gani isiyokuwa na suluhisho.

1. Je ni U. T. I SUGU?
2. Je ni P. I. D?
3. Je ni UVIMBE kwenye KIZAZI?
4. Je ni kutokuwiana kwa homoni ndani ya mwili wako (HORMONE IMBALANCE)

NJOO TUZUNGUMZE..........
NJOO TUSHSURIANE..........
NJOO TUKUPATIE SULUHISHO........

Kwa VIRUTUBISHO na MAOMBI - MUNGU atakupa KICHEKO.

Simu/WhatsApp - 0753 495 636

MAUMIVU YA MAGOTI, KIUNO NA MGONGO.Maumivu haya huwapata watu wa rika zote ila zaidi sana yanawasumbua wazee.DALILI ZAKE...
11/11/2021

MAUMIVU YA MAGOTI, KIUNO NA MGONGO.

Maumivu haya huwapata watu wa rika zote ila zaidi sana yanawasumbua wazee.

DALILI ZAKE.
1. Maumivu ya kiuno husambaa mpk magotini, wakati mwingine husababisha kutembea kwa shida au kushindwa kutembea kabisa.

2. Maumivu husambaa hadi mgongoni

3. Kwa sababu ya maumivu, haja ndogo na haja kubwa unaipata kwa shida sana

4. Maumivu yanakuwa makali sana, yanasababisha magoti kushindwa kusimama, kuchuchumaa au kupiga magoti.

5. Magoti wakati mwingine huvimba na hujaa maji.

6. Goti linaweza kulegea au kuhama sehemu yake likiambatana na maumivu.

Matatizo haya yanatibika kwa kutumia virutubisho vya mimea na matunda, maumivu yataisha kabisa na misuli na mifupa itaimarika vema sana...

Tuwasiliane kwa Simu au WhatsApp 0753 495 636

P.I.D - PELVIC INFLAMMATORY DISEASE. Huu ni Ugonjwa wa Maambukizi katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke. Mwanamke mmoja (1) ...
10/11/2021

P.I.D - PELVIC INFLAMMATORY DISEASE.

Huu ni Ugonjwa wa Maambukizi katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke.

Mwanamke mmoja (1) kati ya wanawake nane (8) waliopata Ugonjwa huu katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata taabu sana kubeba mimba.

DALILI ZA UGONJWA HUU (P.I.D)

1. Mwanamke kupata maumivu makali ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu.
2. Mwanamke kupata maumivu ya Mgongo.
3. Mwanamke kutokwa na Utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huo huambatana na harufu mbaya, utoko huwa mweupe, njano au maziwa maziwa.
4. Mwanamke kupata maumivu wakati wa kukojoa.
5. Mwanamke kupata maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.
6. Kutoka damu nyingi tena bila mpangilio wakati wa hedhi.
7. Kupata hedhi nje ya siku zako za mzunguko wa kawaida.
8. Kupata kichefuchefu na kutapika k**a mjamzito.
9. Sehemu za Siri za mwanamke (UKE) kuwa laini sana
10. Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
11. Kupata homa Kali.

Pata matibabu yatokanayo na virutubisho vya mimea na matunda,
Ni tiba ya kudumu na ina Imarisha Kinga ya Mfumo wote wa Uzazi kwa mwanamke.

Tupigie au WhatsApp Namba 0753 495 636.

UTI - URINARY TRACK INFECTION. Huu ni Ugonjwa wa Maambukizi katika Mfumo wa Mkojo. Mfumo wa Mkojo unahusisha Urethra, Ki...
10/11/2021

UTI - URINARY TRACK INFECTION.

Huu ni Ugonjwa wa Maambukizi katika Mfumo wa Mkojo.

Mfumo wa Mkojo unahusisha Urethra, Kibofu, Ureta na Figo.

Wanawake ni Wahanga Wakubwa wa UTI kwa jinsi ambavyo maumbile yao yalivyo.

Dalili za UTI.

1. Kukojoa mara kwa mara na maumivu makali wakati wa kukojoa.

2. Kuhisi kuunguzwa na Mkojo kwenye kibofu au kwenye mirija ya Mkojo (Urethra)

3. Maumivu ya Misuli ya Tumbo.

4. Mkojo kuwa na harufu mbaya, na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu.

5. Kwa ambaye UTI imeathiri mpaka figo huwa anapata maumivu makali ya mgongo, kwenye mbavu, kichefuchefu na kutapika.

6. Kushikwa na hamu ya kukojoa, Ila Mkojo unatoka kidogo kidogo.

Matibabu: Mahospitalini wanatoa matibabu ya muda tu ila tatizo hili huwa linajirudia mara kwa mara.

Imarisha kinga ya mfumo wako wa Mkojo kwa kutumia virutubisho vitokanavyo na mimea na matunda,

Mawasiliano: Simu /WhatsApp namba 0753 495 636.

Hivi ni virubisho vilivyotengenezwa na nafasi na ni mahususi kwa ajili ya afya ya moyo, ina imarisha ufanyaji kazi wa mo...
02/11/2021

Hivi ni virubisho vilivyotengenezwa na nafasi na ni mahususi kwa ajili ya afya ya moyo, ina imarisha ufanyaji kazi wa moyo

Mawasiliano 0753 495 636 (Simu & WhatsApp)

Address

Dar Es Salaam
34634

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabasamu La Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tabasamu La Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram