30/01/2022
Habari njema kwa Pharmacy za rejareja jijini Dar es salaam.
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Twende Techologies Ltd inakuletea mfumo wa DAWACHAP ambao una maduka yote ya Jumla.
DAWACHAP inapatikana kwenye simu za smartphones, laptop, tablets na desktops kwa kubonyeza hii link www.dawachap.co.tz
DAWACHAP itakuletea order yako uliyoagiza kwenye duka la jumla ndani ya dakika 60 kwa kutumia huduma za usafiri wa vyombo vifuatavyo:-
1. Boda boda
2. Bajaji
3. Gari
Jinsi ya Kujiunga DAWACHAP:
1. Fungua Browser kisha andika www.dawachap.co.tz
2. Bonyeza Signup Kujisajili
3. Chagua Duka la jumla kutengeneza order
4. Bonyeza alama ya plus(+) kuchagua na kuongeza dawa
5. Bonyeza cart na endelea na hatua inayofuata
6. Hakiki Order yako na weka location utakapo pokelea dawa
7. Hakikisha eneo ambalo utapokelea Dawa
8. Chagua njia ya malipo na tuma order
Unaweza kuipata DAWACHAP kwa kupitia link hii, fuata link sasa uwe wa kwanza kuletewa Order zako za dawa kwa haraka: www.dawachap.co.tz
Faida za DAWACHAP kwa pharmacy za rejareja.
1. Dawachap ina Pricelist za Dawa kutoka Maduka yote ya Jumla.
2. Kwenye Dawachap utaweza kulinganisha bei za Dawa kutoka Maduka ya Jumla.
3. Dawachap inakuletea Dawa ulizoagiza ndani ya dakika 60
4. Dawachap ina dawa zote Muhimu zilizopo sokoni(Hutakosa Dawa)
5. Malipo ya Order yatafanyika kwenye Akaunti za Pharmacy husika
6. Utalipia usafiri wa bodadoda kwa Tsh 300 kwa kilomita na Gharama ya msingi.
Vigezo na masharti kuzingatiwa*
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu:-
Tembelea tovuti yetu
www.dawachap.co.tz
Tupigie simu
+255 767 369 355
Whatsapp
+255 767 369 355
Mitandao ya kijamii tembelea akaunti zetu:-
Instagram
https://www.instagram.com/dawachap
Facebook
https://www.facebook.com/dawachap
Twitter
https://www.twitter.com/dawachap