AFYA YANGU

AFYA YANGU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YANGU, Medical and health, Dar es Salaam.

Mimi naitwa Dr Elia naishi Daresalam,, natoa huduma afya kupitia bidhaa za tiba lishe kutoka kampuni ya BF SUMA, ofis yangu ipo mbez mwisho jengo la bank ya NMB, NAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0672961274WHATSAPP/ CALL/SMS NAITWA DR ELIA NAMBA YANGU YA SIMU NI 0672961274 CALL/WHATSAPP/ SMS, NATOA HUDUMA YA AFYA KUPITIA BIDHAA ZA VIRUTUBISHO LISHE KUTOKA KAMPUNI YA BF SUMA, MM NAPATIKANA DARESALAM NA OFISI YANGU IPO MBEZI MWISHO JENGO LA BANK YA NMB

31/03/2022

JE UNAFAHAMU BAWASIRI INATIBIKA BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA BIDHAA ZA VIRUTUBISHO LISHE PEKEE?
●Najua itakuwa ni furaha yako kupona BAWASIRI BILA UPASUAJI
Bas angalia video hii fupi kisha njoo TUWASILIANE zaidi kupata USHAURI na tiba ya KUDUMU
NAPATIKANA kwa simu namba 0683753064/0672961274

UGONJWA WA U.T.I SUGU UNATIBIKA,ACHA KUHANGAIKA...         Ninayo FEMICARE ni Tiba Ya Uhakika👌👌                Njoo What...
11/11/2021

UGONJWA WA U.T.I SUGU UNATIBIKA,ACHA KUHANGAIKA...

Ninayo FEMICARE ni Tiba Ya Uhakika👌👌
Njoo WhatsApp 0672961274
U.T.I (Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo

KISABABISHI CHA UTI

Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,

DALILI ZA UTI

1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo
3.Maumivu ya misuli na tumbo chini ya kitovu
4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu nk
5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika
6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo

KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?

Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje

1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu

2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake

WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI
vyoo vya jumuia k**a sokoni n.k
‪ #‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo
‪ #‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo
‪ #‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra
‪ #‎Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk

KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)

Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo

1.Kutokumaliza dose na Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena

2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria

FEMICARE FEMININE CLEANSER

Ni tiba maalum kwa ajili ya kutibu UTI sugu zilizoshindikana kwa dawa za hospitalini pamoja maaambukizi mengine k**a fangasi katika via vya uzazi,Haipatikani Katika Maduka Ya dawa inapatikana kwangu tu! Njoo upate suluhisho la kudumu 0672961274

30/09/2021

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YANGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA YANGU:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram