Afya Kwa Wanaume

Afya Kwa Wanaume TUNATAATUA CHANGAMOTO SUGU ZA KIAFYA KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE

UGONJWA WA NGIRI/HERNIA NA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME*    Ngiri (Hernia) ni uvimbe (eneo lililotuna) kutokana na viungo...
09/02/2023

UGONJWA WA NGIRI/HERNIA NA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME*


Ngiri (Hernia) ni uvimbe (eneo lililotuna) kutokana na viungo vya ndani ya mwili kusukuma kuta za misuli inayozunguka au kushikilia viungo hivyo.

Ngiri(kiswahili)
Hernia(kingereza)

Hernia hutokea wakati kuna udhaifu au kuna tundu kwenye kuta za misuli inayoshikilia na kuviweka viungo vya tumbo kwenye sehemu yake (peritoneum). Udhaifu huo unaweza kuviruhusu viungo vya ndani kusukuma na kupenyeza, na kujenga eneo lililotuna.

Unaweza kuwa na hernia ikiwa unaweza kuhisi namna ya eneo laini lililotuna kwenye maeneo ya tumbo au kinena au kwenye kovu ambalo lilitokana na upasuaji.

*Eneo hili lililotuna linaweza likapotea ukiminya sehemu hiyo au ukijilaza.

Unaweza kupata maumivu kwenye eneo hilo hasa ukikohoa, ukiinama au ikinyanyua kitu kizito*

*NGIRI*
Ni hali yenye kusababisha maumivu makali sana na mara nyingi huhitaji tiba ya haraka zaidi hata hivo unaweza kuzuwia kupata tatizo hili katika siku za usoni, pamoja na kuyatibu maumivu yanayosababishwa na tatizo hili kwa njia za kiasili na kupona kabisa,

wengi walougua tatizo hili na wamepona, baada ya kutumia supplements.

*VISABABISHI VYA NGIRI*

Kuna sababu nyingi zinazopelekea mtu apate ugonjwa wa ngiri, lakini hapa tazitaja chache tu,

*1. Ukosefu wa protini mwilini. Ukosefu wa chakula cha kutosha chenye protini mwilini, hupelekea kudhoofika kwa utando unatenganisha utumbo na mifupa inayounda kiuno na nyonga, au utando unaotenganisha mapafu na utumbo, ( diagram )*

2. Ajali Endapo mtu atapata ajali itakayopelekea kutoka kwa shinikizo ( pressure ) katika sehemu laini za mwili zinaziweza kupelekea kupata hernia, basi mtu huweza pata tatizo hili, kwani wakati mwingine tatizo hili hutokea hata maeneo mengine km vile katika mapafu, kichwani, nk.*

3. Kazi ngumu Hii pia hupelekea mtu kupata tatizo hilo, shughuli zinazohitaji kutumia nguvu kubwa pia zaweza sababisha ugonjwa huu n.k...

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuataz.o⤵

1:Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2:Kupiga mingurumo tumboni.*

3:Kujaa gesi tumboni.*

4:Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.*

5:Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi*

6:Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.*

7:Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.*

8:Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.*

9:Nuru ya macho hupotea taratibu.*

10:Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.*

11:Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.*

12:Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na puru.*

13:Maumivu makali ya mgongo au kiuno*

14:Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto*

15:Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi*

16:Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)*

17: Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.*

18:Ukila vitu vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gasi*

*19:Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu (moja ama zote kwa pamojafahamu*

*JINSI UGONJWA WA NGIRI/HERNIA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME*

K**a ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume.

Hata hivyo, hernia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume.*

utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.*

wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini.*

Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata k**a moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni.*

pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume.*

huathiri kokwa na pumbu ambavyo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavyopisha mshipa ya fahamu inayo hudumia kokwa (Spesmatic Cord).*

KUJIKINGA NA KUTIBU NGIRI.*

*Njia pekee ya kukabiliana na tatizo hili ni kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe huo.*

Lakini tatizo k**a litakuwakwenye hatua za nwanzoni basi njia zifuatazo zitakusahidia.*

1. Zuwia kupata ngiri kwa kula vyakula visivyo na mafuta mengi, na vyenye protini nyingi.uwepo wa mafuta mengi mwilini na ukosefu wa protini, kunaweza kudhoofisha misuli takutafuta za tumbo na kusababisha ngiri au hernia.*

*2. Tumia virutubisho vya kukuwezesha kupona kwa kukupa vitu muhimu Zaidi mpaka dalili zitakapo potea.*

Virutubisho hivi ni mchanganyiko wa jammii mbali mbali za matunda, mbegu,viumbe wa baharini, mboga mboga na mizizi Vipo mfumo wa kidonge kwa mahitati ya virutubisho piga simu 0629865912

Ambavyokufanya kazi pamoja katika kuimalisha misuli inayobeba viungo vya ndani na kufanya dalili zote za ngiri kupotea kisha kupona kabisa Kam tiba hii itafanyika vya kutosha basi itakuwa ni tiba ya kumaliza kabisa tatizo hili la ngiri, na halitaweza jirudia tena.*

Kwa tiba hii basi unaweza fika ofisini kwetu/Kuwasiliana nami moja kwa moja kwa Namba zetu 0629865912 Kujipatia package yako mapema.*

3. Jenga tabia ya kufanya uchunguzi wa afya yako mara kwa mara, pia kufanya mazoezi, hii itakusaidia kuimalisha misuli yako na kutokana na tatizo la ngiri.*

4. Jitahidi sana kula matunda k**a,parachichi, tufaa, mapera, dafu, pamoja na maharagwe. Wakati mwingine lishe mbovu huchangia tatizo hili.*

5. Lakini pia jiepushe sana na utumiaji wa vyakula vya baridi sana, na kujiepusha na vinywaji vya baridi sana. Ndugu yangu fahamu ugonjwa wa ngiri ni hatari sana, husababisha, kukosa raha, kupunguza uwezo wa kufanya tendo la ndoa*

Mawasiliano

Piga 0785438612 au tuma ujumbe WhatsApp +255785438612

Afya kwetu ni Bashasha🦋

09/02/2023

TATIZO LA MBEGU CHACHE KWA WANAUME
0785438612

Wanaume Wengi wanapata tatizo la Kushindwa kutungisha mimba na Chanzo kikubwa ni kuwa na MBEGU nyepesi au mbegu chache! Pia Wanaume Wengi waliopiga punyeto au wanaopiga punyeto ni watu Ambao hupata hii Changamoto ya kuwa na MBEGU chache jambo Ambalo linaashiria kuwa Afya zao ni mbovu sana.

K**a unapitia tatizo la kuwa na MBEGU chache au unataka kuongeze wingi wa SHAHAWA zako Zingatia yafuatayo Ili uweze kuwa na MBEGU Nyingi zitakazo mwagika k**a bomba la mvua;

1. Kula lishe bora.
Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kuongeza Uzalishaji wa MBEGU kwenye Korodani. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.

Kwa hiyo Punguza matumizi ya sukari, vyakula vya Mafuta na vyakula vya ngano. Na Ongeza zaidi matunda, mboga za majani na mafuta yenye afya Kutoka Kwenye parachichi, samaki nk.

2. Matumizi ya kitunguu swaumu.
Kitunguu swaumu kina Selenium na pia kinaondoa sumu mwilini vitu hivi viwili ni mhimu kwa ajili ya kuongeza spidi ya mbegu.

Vile vile Kitunguu swaumu kina ‘Allicin’ ambayo huongeza msukumo wa damu kwenda kwenye uume.

Kujitibu unaweza kuongeza kitunguu swaumu kwenye chakula unachopika. Pia unaweza kutafuna punje 2 au 3 kila unapoenda kulala au unaweza kukatakata hizo punje 3 vipande vidogo vido (chop) kisha unywe na maji.

3. Matumizi ya Mayai ya kienyeji.
Mayai yanachukuliwa k**a mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingi wa mbegu pamoja na kuongeza spidi au kasi yake. Yana vitamini E nyingi na protini ya kutosha vitu viwili mhimu katika kuongeza mbegu. Tumia mayai ya kienyeji zaidi na sio ya kisasa.

4. Kula ndizi
Ndizi zina Magnesiamu, Vitamini B1 na Vitamini C, vitu ambavyo ni mhimu sana kwa ajili ya kutengeneza mbegu za kiume. Vile vile Ndizi zina kimeng’enya kimoja adimu sana kijulikanacho k**a ‘Bromeliad’ ambacho husaidia kuziweka sawa homoni zinazohusiana na tendo la ndoa hivyo kuboresha Uzalishaji wa MBEGU.

5. Matumizi mbegu za maboga
Mbegu za maboga zina kiasi kingi cha madini ya Zinki ambayo ni mhimu katika kuundwa au kutengenezwa kwa mbegu za kiume na homoni ya testosterone.

Vile vile mbegu hizi zina vitamini B, C, D, E, na K ambazo zote ni vitamini mhimu katika kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na nguvu kwa ujumla.

6. Kunywa maji mengi kila siku
Kutokunywa maji ya kutosha kila siku kuna uhusiano wa moja kwa moja na kupungua kwa uwingi wa mbegu. Mbegu zako zimetengenezwa kwa maji, zipo kwenye hali ya kimiminika.

Kunywa maji ya kutosha kunasaidia kutengenezwa kwa mbegu nyingi. Kutegemea na uzito wako unaweza kuhitaji maji lita 2 mpaka 3 kila siku.

7. Fanya Mazoezi Kila siku.

Mazoezi ya nusu saa mara tatu kwa wiki kwa wanaume yana uwezo wa kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mbegu za kiume kwa mujibu wa wanasayansi! Hususani Mazoezi ya kukimbia.

Wanaume ambao wanafanya zoezi la kukimbia kila siku, mbegu zao huwa na afya njema, kulingana na watafiti wa jarida la maswala ya uzazi.

Ili uweze kuimarika vizuri jitahidi KUEPUKA VITU VIFUATAVYO; Usioge maji ya moto sana, acha uvutaji wa Sigara, usinywe pombe, epuka kuvaa nguo zinazobana sana, epuka Uzito mkubwa, epuka kukaa Kwa muda mrefu, epuka Unywaji wa soda nk..

Pia tunavyo Virutubisho vitakavyo kusaidia kuongeza MBEGU zako ndani ya siku 15 tu!

Wasiliana nasi 0785438612

TUNATAATUA CHANGAMOTO SUGU ZA KIAFYA KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE

09/02/2023

🍀BAWASILI/MGOLO🍀
0785438612
☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.

☇kwa kiingereza hujulikana k**a piles.

☇na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles

🍀AINA ZA BAWASILI🍀

👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.

👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haiambatani na maumivu.
☇Aina hii imeainishwa katika madaraja manne yafuatayo
👉Daraja la 1. Bawasili kutokea katika pahala pake pa kawaida
👉Daraja la 2. Bawasili kutoka wakati wa haja na kurudi yenyewe baada ya haja (kujisaidia)
👉Daraja la 3. Bawasili kutoka wakati haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha baada ya haja.
👉 Daraja la 4. Bawasili kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu kuirudisha baada ya haja.

🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi

🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
👉kupata tatizo la kisaikolojia

🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀
👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.
👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku
👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile
👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa.

👉MATIBABU👇
MATIBABU YA TATIZO HILI HUHUSISHA UPASUAJI KWA KUKATWA KINYAMA. BAHATI MBAYA NI KWAMBA UKIKATWA BAADA YA MUDA MFUPI KINARUDI TENA NA MADHARA YAKE YANABAKI VILE VILE MAKUBWA CHANZO CHAKE HAKIJATAMBULIWA BADO.

👉👉 *Tiba iliyothibitishwa inatoa matokeo mazuri `Tuma ujumbe BAWASILI kwenye namba ya whatsapp 0785438612au 0785438612na utatuliwe tatizo lako sasa kabla halijawa sugu

Licha ya kuwa na tumbo kubwa linaweza kuufanya mwili kuwa na muonekano mbaya usiopendeza, kwa hakika madhara yake kiafya...
09/02/2023

Licha ya kuwa na tumbo kubwa linaweza kuufanya mwili kuwa na muonekano mbaya usiopendeza, kwa hakika madhara yake kiafya ni makubwa zaidi kuliko ubaya wa kitambi chenyewe.

Katika lugha yetu ya Kiswahili, mafuta ya tumboni hujulikana k**a “kitambi.” Sasa Leo tujifunze Namna ambavyo kitambi kinaathiri nguvu za Kiume.

Mtu akiwa mnene mishipa ya damu pia inakua na mafuta kwa ndani ambayo yanakua yameganda kwenye kuta za mishipa ya damu kitaalamu inaitwa atherosclerosis, hali hii hufanya damu kupita kwa shida kwenda kwenye uume na lakini pia mfumo wa kutengeneza nitric oxide ambayo kazi yake ni kurelax misuli ya uume ili uweze kusimama unaingiliwa

Kibaya zaidi ni kwamba kitambi hubadilisha homoni ya kiume iitwayo "testosterone" kuwa homoni ya k**e, "estrogen". Hili hutokeaje? Ni hivi. Mafuta ya kwenye kitambi huzalisha kimeg’enya kiiwatcho aromatase, na hiyo aromatase ndiyo inayobadilisha homoni ya kiume ya testosterone kuwa homoni ya k**e estrogen

Pia uzito wa mafuta ya kwenye kitambi hudhuru misuli iitwayo "pelvic floor muscles". Hii ni misuli muhimu sana, iko chini ya nyonga. Inafanya kazi nyingi, baadhi ya kazi zake ni kusaidia kusimamisha uume kuwa imara kabisa, na pia kuzuia kufika kileleni haraka. Mafuta ya kwenye kitambi huidhikisha na kuidhoofisha misuli hii na hivyo kusababisha upungufu wa nguvu za kiume

Mwisho, habari njema ni kwamba wanaume wengi wanene huweza kurudi kwenye hali zao za zamani kwa kupungua uzito tu japokua k**a ukipungua bado shida haijaisha basi kuna uwezekano mkubwa homoni zako za testosterone zilipungua na utahitaji Virutubisho vya kutumia ili kuzisahihisha.

Wengi wenu mmejaribu kupungua uzito maisha yenu yote bila mafanikio kwa kufuata diet na programu mbalimbali bila mafanikio ni vizuri sasa mkatutafuta wataalamu tuweze kuwapa utaalamu sahihi kwa ajili ya kupungua uzito.

Tuna PROGRAM maalum kwaajili ya Kupunguza Uzito Kuanzia kilo 3 hadi 10 ndani ya siku tisa tu.

𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 +255785438612

18/12/2022

UWEZO HAFIFU WA UZALISHWAJI WA MBEGU ZA KIUME, UUME KUSHINDWA KUSIMAMA IMARA, KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA c CC KWA DAKIKA MOJA T getU, WAKATI WA TENDO!!

0785438612/0785438612

Tafiti mbalimbali zilizofanywa na wana sayansi duniani tukiwemo AfyanjemaTz, zinaonesha kuwa zaidi ya mamillioni ya wanaume duniani,wana sumbuliwa na tatizo la kutosimamisha uume,wakati watendo la ndoa ama hata katika hali ya kawaida tu!!
Tatizo hili limekuwa likiambatana na matatizo k**a;
-Kuwahi kufika kileleni kabla ya tendo lenyewe ama dakika moja au mbili tu,kufika kileleni wakati wa tendo lenyewe

-Uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume(Low s***m count),maarufu k**a upungufu wa mbegu za kiume.

Uume kushindwa kusimama(Dysfunction erectile),hii hutokea pale mishipa miwili midogo midogo ya damu(arteries) inaposhindwa kupokea damu kikamilifu kutoka kwenye moyo na katika mshipa mkuu(aorta) na kuisambaza kuzunguka eneo la uume wakati watendo la ndoa..

Tendo hilo litatambulika k**a tatizo ikiwa litakuwa endelevu hususani wakati wa tendo husika zaidi ya mwezi mmoja..

Kufika kileleni mapema ama kabla(Premature Ejaculation),hii hutokea muda mfupi tu,kabla au baada ya mwanaume kumuingilia mwanamke(Obhuzorogita)…

Uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume(Low s***m count),hii ni hali ya kuwa na uwezo mdogo kwa mwanaume kuzalisha mbegu au manii,kwa kiwango kisicho stahiki..

Kila mwanaume jijali anatakiwa kuzalisha manii 15million per milliters,zikizalishwa chini ya hapo uwezekano wa mwanaume kurutubisha yai la mwanamke utakuwa hakuna…

MATAZIZO YOTE HAYA MATATU YANASABABISWA NA SABABU MBALI MBALI ZIKIWEMO PACHA NA ZISIZO PACHA…

Tuanze kwakuzitazama sababu ambazo ni pacha;

-Tatizo la kisukari,ugonjwa wa kisukari uliyo dumu kwa muda mrefu, huathiri mfumo wa neva mwilini,hivo unatajwa kuwa ni sababu na chanzo cha tatizo..

-Magonjwa yanayo husisha mfumo wa mzunguko wa damu:
Matatizo ya moyo(Hasa presha ya kupanda)
Matatizo ya figo,pamoja na matatizo ya mishipa ya damu kutoka kwenye moyo kuzunguka sehemu mbalimbali za mwili.

-Mtindo mbaya wa maisha ya kiafya(Bad health lifestyle):
Utumiaji wa madawa ya kulevya,marijuana,cocaine,unywaji pombe uliyopitiliza, uvutaji sigara na nk.
Utumiaji wa madawa ya kyenyeji na madawa ya hospitali(antibiotics bila kufuata ushauri wa kitabibu)..

Utumiaji wa dawa k**a anabolic steroids ambazo hutumika na watu wengi kuajili ya kusisimua misuli,na hupelekea korodani kupunguza uzalishaji wa manii
Utumiaji wa pombe na madawa ya kulevya hupunguza kiwango cha uzalishwaji wa homoni ya testosterone

-Upigaji punyeto na migogoro mikubwa kwa walioko kwenye mahusiano(ndoa)..

-Sababu nyingine ni kiwango kingi cha prolactin homoni ambayo hudhohofisha utendaji kazi wa korodani..

Pia saratani ya tezi dume,hudhohofisha utendaji kazi wa korodani..

-Matatizo ya homoni imbalance,kiwango kidogo cha testosterone..

-Uzito uliokithiri,maumivu ya mgongo na majeraha mbalimbali..

-Matatizo ya sonona(depression),msongo wa mawazo(stress)…

Hizi nimoja wapo ya sababu pacha zinazo pelekea uume kushindwa kusimama,kufika kileleni mapema ama kabla ya wakati wa tendo la ndoa na uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

SABABU ZINAZOPELEKEA UUME KUSHINDWA KUSIMAMA BARA BARA:

-Sababu kubwa ni kiwango kidogo cha damu kusambaa kwenye mishipa ya uume,hii hupelekea uume kuwa legevu na kushindwa kusimama wakati wa tendo..

-Kutokujiamini,uoga,wasisi na kujihisi kuwa huwezi kusimamisha..

-Kudhohofika kwa tishu pamoja na upungufu wa kinga mwilini..

-Sbabu nyinginezo ni,utazamaji wa picha za ngono,matatizo ya kuto kulala kwa muda mrefu,ukosefu wa vitamin D,mfumo mbovu wa ufyonzaji wa vitamins na madini kutoka kwenye chakula unacho kula kila siku..

-Tatizo la seli Mundu(Sickle cell),matatizo ya upumuaji,kiwango kikubwa cha madini ya iron mwilini(Hemachromatosis),na matatizo ya ini,matumizi ya mionzi(radiation),pamoja na matumizi ya kemikali ikiwemo vyakula vyenye kemikali kwa wingi…

DALILI ZA KUTOSIMAMISHA UUME:

-Moja wapo ya dalili ya uume kutosimama barabara,ni kutoa kiwango kidogo cha maji maji(semen),uume kuchukua muda mrefu bila kusimama…

-Kupata maumivu kwenye korodani wakati wa tendo,na misuli ya uume kuwa legelege..

Ili mwanaume aweze kusimamisha vyema uume wake,mwili wake unatakiwa kuwa katika hali tulivu..

Uimara wa neva za mwili,ziwe na uwezo wa kusafirisha taarifa katika ubongo(brain spinal column),mtindio wa mgongo, na kuuzunguka uume,katika tishu(fibrous tissue muscles), na kuufanya uume kusimama..

SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:

-Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo mwingilia mwanamke kimwili,na humchukua dakika moja ama mbili tu,kumaliza tendo, baada ya hapo hukoswa hamu ya kuendelea tena, na uume wake huwa legelege..

-Sababu nyingine ni kupania,kuwa na hamasa kupitiliza,kuwa na uoga na matatizo mengine ya kiseikolojia..

-Uwezo mdogo wa ngozi ya uume kuhisi au kupata mguso wakati wa tendo,na matatizo ya neva za mwili..

-Sababu nyingine ni uume kushindwa kusimama(erectile dysfunction)..

-Kiwango kidogo cha homoni,uzalishwaji hafifu wa kemikali kwenye ubongo(neurotransmitters)..

-Sababu zingine ni za kijenetiki,maambukizi hususani magonjwa ya zinaa,na matatizo ya vimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanaume..

DALILI ZA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:

-Kumaliza mapema au kabla ya tendo,tatizo hili huweza kuwatokea hata wale wanaofanya punyeto,wana weza kufika kileleni mapema tu,lakini wakati huo huo kufanya punyeto ni sababu moja wapo ya tatizo..

-Dalili zingine ni,kuboreka,kughadhabika na uoga wa kumkalibia mwenza wako..

Tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanaume watatu,mwanaume mmoja ana tatizo la kufika kileleni mapema au kabla, wakati wa tendo la ndoa!!

SABABU ZINAZO PELEKEA TATIZO LA UWEZO HAFIFU WA UZALISHWAJI WA MBEGU ZA KIUME(LOW S***M COUNT):

-K**a mwanaume ataweza kufanya tendo la ndoa kwa takribani mwaka mzima,bila kutumia kinga na hajafanikiwa kuumpa mwanamke mimba,basi kuna uwezekano mkubwa wa huyo mwanume kuwa na tatizo la uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

-Sababu zingine zinazo pelekea uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume huweza kuwa za kimazingira,mfano:
Viwanda,watu wanaofanya kazi viwandani wana asilimia kubwa ya kupatwa na tatizo la uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume,miongo ni mwa sababu ni uzalishaji wa kemikali hatarishi, mfano:

_Kemikali k**a Benzenes, toluene, xylene, madawa k**a, herbicides, pesticides, organic solvents, material mbali mbali yatumikayo katika upakaji wa rangi,huchangia na huongeza asilimia kubwa ya uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

_Matumizi ya mionzi(heavy metal),radiations,x-rays,na mionzi mingine inayotumika kutibu cancer

_Koradani kupata joto,kuongezeka kwa hali joto kwenye korodani,hutokana na utumiaji maji ya moto kupita kiasi kwa muda mrefu,utumiaji wa laptop kwa kuweka kwenye magoti,uvaaji wa tight zinazo bana kwa wanaume,kufanya hivo kwa muda mrefu huathiri korodani..

-Kufanyiwa oparesheni k**a vesectomy,matatizo k**a inguinal hernia(kinena),scrotal oparesheni na oparesheni kubwa za re**al cancer..

-Utumiaji wa madawa(medications),mfano matumizi ya madawa ya kusaidia kuongeza kiwango cha testosterone kwa muda mrefu,utumiaji wa dawa za saratani,utumiaji wa antibiotics kwa issues za kutibu vidonda vya tumbo na fangasi, yote hayo huchangia uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mpegu za kiume..

-Tatizo la kuganda kwa tishu katika utumbo mdogo(celiac disease),tatizo hili hutokana na utumiaji wa vyakula vya nafaka k**a mtama,hupelekea kuganda kwa tishu katika utumbo ndogo,na kuzuia ufyonzwaji wa vitamins na madini..

-Ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa ya korodani,na huzikausha korodani(varicocelo),tatizo hili hupunguza uzalishwaji au husababisha uzalishwaji wa mbegu zisizo kuwa na kiwango..

-Matatizo ya kuziba kwa mirija(tubules), inayosafirisha manii tutokana na;

_Upasuaji wa kibofu cha mkojo, mirija na saratani ya tezi dume,maambukizi K**a gonorrhea na HIV,fimbe nk..

-Sababu zingine ni za kibailojia au kurithi,Mfano;
Mwanaume kuzaliwa na chromosomu(chromosome) mbili XX na Y chromosomu moja badala ya Chromosomu X moja na chromosomu Y moja,hii husababisha tabia zisizo julikana kwa mwanaume,k**a vile mashoga na wengine wenye jisia zilizotofauti na maumbile yao..

-Sababu kubwa pia nikufika kileleni mapema au kabla,uume kushindwa kusimama,maumbile mabaya ya manii(morphology),mwendo hafifu wa manii(motility)..

-Utumiaji wa madawa k**a Alpha blockers,hizi ni dawa wanazo pewa wagonjwa wa;

_Presha ya kupanda,kupunguza presha

_Watu wenye saratani ili kuzuia kukuwa kwa saratani ya tezi dume

_Wanapewa pia watu wenye matatizo ya kutosimamisha uume..

Unapotumia hizi alpha blockers unatakiwa kumueleza daktari wako ukweli kwani dawa hizi, zina kawaida ya kusababisha madhara ambayo ni hasi kuliko chanya..

Pia dawa hizi huchangia kwa kiwango kikubwa uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

Sababu zingine ni kinga za mwili za mwamke kuuwa manii za mwanaume pindi ziingiapo ukeni kwake kwa kutambua kuwa ni kitu kipya kimeingia ukeni kwake, hivo mwili wake hujilinda kwa kuzalisha maji maji ambayo ni sumu,na kua manii(antis***m antibodies)..

Au kinga za mwili wa mwanaume kua manii zake wenyewe kwa kuzitambua k**a ni kitu kipya na hakitakiwi mwilini..

Tatizo hili huwatokea wote mwanaume na mwanake,na hapa ndipo wana ndoa wengi huingia kwenye migogoro isiyo kuwa na mwisho…

-Matatizo ya homoni(hormone imbalance),ambayo huathiri tezi ya hypothalamus,pituitary na testicles(korodani),na huathiri pia homoni ya thyroid na adrenal kushindwa kuzalisha vichocheo ili kusaidia uzalishwaji wa mbegu za kiume..

Magonjwa ya saratani nayo yanatajwa kuwa ni sababu ya uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

DALILI ZINAZO PELEKEA UWEZO HAFIFU WA UZALISHWAJI WA MBEGU ZA KIUME:

-Dalili kubwa ni uwezo wa kutozalisha,zikiambatana na sababu tajwa..

-Mwili kukoswa manyoya(body hair),matatizo ya kuto simamisha uume vizuri,uume kuwa legelege na kufika kileleni mapema ama kabla, ni moja ya dalili za uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

-Maumivu makali wakati wa tendo,kukoswa hisia au hamu ya kufanya tendo la ndoa..

Matatizo k**a saratani ya tezi dume,kibofu cha mkojo,matatizo kwenye korodani(kuvimba kwa korodani)..

-Na oparesheni mbali mbali, kuziba kwa mirija ya korodani pia huwa ni dalili na sababu ya uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume..

Kumbuka kuwa uzaliswaji wa mbegu za kiume ni tendo tata, linalohitaji utendaji kazi mzuri wa korodani,utendaji kazi mzuri wa tezi ya hypothalamus na pituitary ambazo husaidiana na organ zingine za ubongo kuzalisha homoni zinazo saidia uzalishwaji wa mbengu za kiume na kuchochea uwezo mzuri wa kufanya tendo la ndoa kiujumla..

Tendo hili hutokea pale korodani zinapo zalisha vyema manii/mbegu na kuzisafirisha kupitia mirija yake mpaka kwenye tezi kuajili ya kuwekwa maji maji(semen) ili ziwe kamili na imara kuajili ya kwenda kurutubisha yai kupitia uume wa mwanaume kwenda ukeni kwa mwanamke..

Mpenzi na mfuatiliaji wa mada zetu AfyanjemaTz,tambua kuwa bila tendo hilo kupitia hizo hatua hakutokuwa na uwezo wa mwanaume kumzalisha mwanamke kawaida..

TUZITAZAME HATUA ZA KITABIBU UNAZOSHAURI WA KUZIFUATA PINDI UNAPOHISI KUWA UNA DALILI ZA;
Uume kushindwa kusimama vizuri(Dysfunction erectile),ili kutambua kuwa unatatizo lazima daktari wako afanye mambo yafuatayo:

-Afanye kipimo cha damu(blood count),kuangalia kiwango cha testosterone na liver enzymes

-Kipimo cha mkojo(urinalysis)

-Ultrasonography,kipimo hiki hupima uwezo wa mzunguko wa damu kwenye mishipa ya damu mwilini na kwenye uume..

-Neurological Evaluation,hutumika kupima neva za mwili k**a ziko sawa.

-Pia kimipo cha Cavernosometry,hupima kiwango na ujazo wa damu na mzunguko wa damu kwenye uume..

Vipimo vingine ni k**a Psychosocial examination kwa kuangali sababu mbali mbali za tatizo..
Kufika kileleni mapema ama kabla(Premature Ejaculation),ili kutambua tatizo daktari wako atakufanyia mambo yafuatayo;

-Kwanza atatakiwa kutambua historia yako katika mahusiano..

-Kukufanyia vipimo,k**a blood test kuangalia kiwango chako cha homoni ya testosterone k**a kiko sawa..

-Pia daktari anaweza kukushauri kuwaona wataalamu waliobobe katika kada hiyo(urologist)..
Uwezo hafifu wa uzalishwaji wa mbegu za kiume(Low s***m count),mambo yafuatayo zalima ya fanyike ili kubaini tatizo;

-General physical examination,kwa kuangalia historia na kupima kiwango cha manii kwa kutumia microscope..

-Scrotal Ultrasound,hii hutumia mawimbi ya sauti,kupitia korodani na damu kuangalia kiwango cha homoni zinazo zalishwa na tezi ya pituitary, na tezi korodani..

-Post-ej*******on urinalysis,hii hutumika kuangalia manii k**a ziko kwenye mkojo,kwani hii ni dalili kuwa manii zinaweza kusafiri kwenda katika kibofu cha mkojo badala ya kusafiri kupitia uume(retrograde ej*******on)

-Genetic test, hupima k**a kiwango cha uzalishwaji wa manii ni kidogo,kipimo cha damu(blood test),hufanyika ili kubaini k**a kuna mabadiliko ya chromosomu Y..

-Testicular biopsy,hiki ni kipimo kinacho jumuisha uchukuaji wa sample kwenye korodani kujua k**a kiwango cha manii kinacho zalishwa ni sahihi, pia kugundua k**a kuna tatizo la kuziba kwa mirija au tatizo la usafirishwaji wa manii kutoka kwenye korodani kwenda kwenye uume..

-Specialized s***m function test,hii hupima uwezo wa kuishi kwa manii baada ya kupiga bao,na uwezo wa hizo manii kurutubisha yai la mwanamke..

-Transre**al ultrasound,hii hutumika kupima k**a kuna saratani ya tezi dume,na kugundua k**a kuna kuharibika kwa mirija inayo safirisha maji maji(semen)..

Kipimo kingine ni Anti-s***m antibody test,hutumika kupima k**a kinga za mwili hushambulia manii na kuzidhohofisha au kuziua, hali hii huweza kutokea kwa mwanamke au kwa mwanaume mwenyewe..

ANGALIZO KUHUSIANA NA TATIZO LA UUME KUSHINDWA KUSIMAMA, KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO NA UWEZO HAFIFU WA UZALISHWAJI WA MBEGU ZA KIUME…,

Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutatua tatizo bila kujua nini chanzo cha tatizo, hivo wanashawishika eidha kwa kupenda wao wenyewe ama kwa kushawishiwa na elimu za mitaani kuhusiana na tatizo na hujikuta wana tumia kila aina ya dawa bila matokeo..

Kumbuka k**a unasumbuliwa na magonjwa yafuatayo;

-Kisukari

-Saratani ya tezi dume

-Matatizo ya mfumo wa mzunguko wa damu

Na

-Matatizo ya homoni(hormone imbalance)..

Matatizo haya yanatajwa kwa asilimia kubwa kuwa ni chanzo…

AfyanjemaTz tunakushauri kutatua chanzo na siyo kulitazama tatizo moja kwa moja…

Kwa kufanya hivo njia sahihi ya kukusaidia ni wewe kutumia virutubisho,virutubisho ni vyakula vilivyo andaliwa kiasilia, bila kuwekwa aina yeyote ya kemikali, pia vimewekwa katika mfumo rahisi,ili kukusaidia kurutubisha mwili wako kwa kukupa madini na vitamin ambavyo huwezi kuvipata kwa kiwango stahiki kupitia chakula chako unacho kula kila siku..

SULUHISHO LA TATIZO LA UUME KUSHINDWA KUSIMAMA, KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO NA UWEZO HAFIFU WA UZALISHWAJI WA MBEGU ZA KIUME..

AfyanjemaTz tumejikita katika kuwashauri watu;
Kutumia chakula bora
Kunywa maji ya kutosha
Kufanya mazoezi

Na
Kutumia virutubisho..

Vile vile tuna virutubisho ambavyo vinasaidia kutatua matatizo mbali mbali ya kiafya ikiwemo matatizo yote tajwa..

Ili kutatua tatizo la uume kushindwa kusimama, kufika kileleni mapema au kabla, wakati wa tendo na uwezo hafifu wa uzalishwaji mbegu za kiume, tuna kushauri kutumia virutubisho vitakavyo kusaidia kwenye maeneo yafuatayo;

-Virutubisho vitakavyo kusaidia kuimalisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, kuondoa sumu mwilini, kusaidia ufyonzwaji wa madini na vitamin kutoka kwenye chakula unacho kula na kuimalisha kinga za mwili, na kurutubisha ngozi na tishu mbali mbali za mwili..

-Virutubisho vitakavyo kusaidia kuimalisha mfumo mzima wa mzunguko wa damu mwilini, kuondoa stress(msongo wa mawazo), depression(sonona), na matatizo mengine yanayo husiana na mfumo mzima wa mzunguko wa damu..

-Virutubisho vitakavyo kusaidia kuimalisha mfumo mzima wa homoni za uzazi mwilini, ikiwemo kusafisha mirija ya uzazi,na matatizo mengine mengi yatokanayo na kuvurugika kwa homoni za mwili..

AfyanjemaTz tuna kuhakikishia kuwa k**a utaweza kutumia virutubisho kwa kufuata maelekezo na ushauri wetu, tatizo lako litatatulika mapema sana na utaanza kulifurahia tendo lako la ndoa badala ya kuumia na kuzalisha matatizo mapya kila kukicha..

kwa ushauri zaidi tupigie kwa namba 0785438612 au tuma ujumbe WhatsApp kwa namba hiyo

Afya kwetu ni bashasha 🦋

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255785438612

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kwa Wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Kwa Wanaume:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category