Dr.pamphilius

Dr.pamphilius Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.pamphilius, Dar es Salaam.

31/08/2023
💞🇹🇿MADHARA 14 YA UTOAJI MIMBA1. Maambukizi ya sehemu za uzazi.2. Kutoa mimba kikamilifu. Sehemu za mtoto husalia kwenye ...
15/08/2021

💞🇹🇿MADHARA 14 YA UTOAJI MIMBA

1. Maambukizi ya sehemu za uzazi.

2. Kutoa mimba kikamilifu. Sehemu za mtoto husalia kwenye mfuko wa uzazi na kuoza!

3. Damu zilizoganda husalia kwenye mfuko wa uzazi.

4. Kuvuja kwa damu kupindukia ambao haukwishi.

5. Kifaa cha matibabu kinaweza kukata mfuko wa uzazi wakati wa kutoa mimba.

6. Matatizo yanayotokana na dawa ya kupunguza uchungu ambayo ni kisunzi, matatizo ya kupumua, maumivu ya kichwa miongoni mwa matatizo mengine.

7. Kutoa mimba kunakohusisha upasuaji kunaweza kuacha alama za upasuaji kwenye mfuko wa uzazi.

8. Majeraha kwa mfuko na mpira wa haja.

9. KUMFANYA MWANAMKE KUWA TASA KABISA KWA SABABU YA HALI DUNI YA KUTOA MIMBA ILIYOTUMIWA.

10. Kutolewa kwa tumbo la uzazi kutokana na matatizo yanayoweza kutokea wakati wa kutoa mimba.

11. Kuwazaa watoto mapema kwa mimba zitakazofuata kabla ya siku zao za kuzaliwa kufika.

12. Kuharibiwa kwa sehemu ya mwanzo ya uzazi unaoweza kuufanya kufunguka mapema kwenye mimba zitakazofwata.

13. Matatizo ya kimawazo kutokana na vidonda vya kisaikolojia vinavyosababishwa na kifo cha mtoto wa mama.

14. Mlango wa tumbo la uzazi linaweza kuraruka wakati wa kutoa mimba

📌KUTOA MIMBA KWA NJIA YOYOTE, NI HATARI SANA,
MAANA UWEZEKANO WA KUPATA MIMBA NYINGINE BADAE UNAKUWA MDOGO SANA WAKATI MWINGINE, HUSABABISHA, WENGI WAO WALIOTOA MIMBA KUTOPATA WATOTO(TASA)

💝MABINTI WENGI WANAOTOA MIMBA SASA IVI APO BADAE,
HAWATAWEZA, KUPATA WATOTO K**A WASIPO ACHA HII TABIA YA KUTOA MIMBA,,

🌹ALAFU KUTOA MIMBA NI DHAMBI YA MAUAJI,
KWHIYO UKIFANYA HILI JAMBO JUA
UMEUA NA UMEMKOSEA MUNGU,,

DR.P
KWA USAHAURI
AU MATIBABU YA MADHARA ULIYONAYO YA UZAZI
NITAFUTE WHATSAP 0620120369

28/06/2021

🇹🇿💖🇹🇿VIASHIRIA VYA
HORMONAL IMBALANCE?

HORMON IMBAALANCE NI mvurugiko wa homoni AMBAZO huchochea kutokea kwa hedhi ,, Ikumbukwe Kuwa Ili uwe mwanamke anae weza kuzaa Lazima UPATE hedhi,, Hedhi NI Jambo zuri kwa mwanamke kutokea kwa sababu bila hedhi kutokea hakuna mtoto kupatikana,,
Maana ilo linakuwa yai ambalo linahitaji kurutubishwa,,

🌹💝🌹VIASHIRIA VYA
HORMONAL IMBALANCE?
✅Kukosa hedhi kabsa
✅Kubleed Sana
✅Kutoka damu kwa siku nyingi zaidi hata ya siku 7
✅Kutoka damu kidogo Sana K**a tone tu na chini ya siku 3
✅ Maumivu makali wakati wa hedhi chini ya kitovu
✅Mwili Kuishiwa nguvu kabsa wakati wa hedhi
✅ Hasira za mara kwa mara kabla na wakati wa hedhi
✅ Kutapika tapika wakati wa hedhi K**a mjamzito
✅ Maumivu makali ya mgongo na kiuno wakati wa hedhi au kabla ya hedhi
✅Hedhi isiyoeleweka eleweka yaani hubadilika badilika.
✅Kutoka damu ya mabonge mabonge
✅Kushindwa kupata au kubeba mimba
✅ Maumivi wakati wa tendo la ndoa na kukosa hamu ya tendo la ndoa

✍️ Dalili zipo nyingi K**a tulivyoona hapo juu👆 kitu Cha kujua siyo lazima uwe na dalili zote ndo useme una hormonal imbalance hapana maana Kuna mwingine anaweza kuwa nayo dalili moja tu au mbili zikatosha kutueleza kuwa ana hormonal imbalance.

🍎Anayehitaji ushauri au kupata DAWA ya hili TATIZO nitafute call/WhatsApp 0620120369,📌
DAWA ipo ijari Afya yako uishi kwa amani,🍎

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖💖🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

21/06/2021

2.LISHE MBAYA

Lishe mbaya yenye upungufu wa virutubisho ikiwemo vitamini na madini na yenye sukari na viambata vya kuongeza ladha kwa wingi hupelekea tezi za Adrenal na Thayroid kufaya kazi kupita kiasi. Kitendo hichi hupelekea uzalishaji wa kichocheo cha cotisoli ambacho kinapunguza uzalishaji wa homoni za uzazi.

Cortisol inapokuwa nyingi zaidi pia inaweza kukuletekeza madhara mwilini k**a udhaifu wa mifupa, ngozi kuharibika, tishu za ubongo na misuli kudhoofika. Kwahivo mtiririko huu unapojirudiarudia kila mara ndipo hali ya mwili huwa mbaya zaidi.

3.UZITO MDOGO KUPITA KIASI

Ili kupima uzito wako k**a uko sawa kiafya, tunatumia kipimo cha BMI yaani body mass index ni kipimo kinachotumika kupima uwiano wa uzito na urefu wako. BMI= Uzito wako kwa kg gawanya kwa (urefu kwa mita x 2). BMI kuanzia 18.5 mpaka 25 inaonesha kwamba uzito wako ni mzuri. Ukipata zaidi ya 25 manake uzito wako ni mkubwa na ukipata chini ya 18.5 ni kwamba una uzito mdogo kupita kiasi.

Mafuta mwilini huchochea uzalishaji wa homoni ya estrogeni kwa wanawake na ndio maana wanawake wembamba sana hukosa hedhi maranyingi zaidi. Kufanya mazoezi makali hupelekea mahitaji ya virutubisho mwilini kuongezeka na hivo uzito kupunguakupta kiasi na kuvurugika kwa homoni.

4.KUFANYA MAZOEZI KUPITA KIASI

Mazoezi ni muhimu kwa mwili katika kurekebisha athari za msongo wa mawazo, kuweka sawa shinikizo la damu, usingizi mzuri na kuweka sawa uzito wamo. Ila kumbuka kufanya mazoezi kupita kiasi kunachosha sana mwili kupelekea uzalishaji mkubwa wa cotisoli ambayo ndio kizuizi cha kuzalishwa kwa homoni za uzazi. Kwahivo hakikisha unafanya mazoezi mara 3 kwa week na yasiwe mazoezi yanayokula nguvu yako nyingi na kukuacha mdhaifu.

5.MATATIZO KWENYE TEZI YA THAIRODI.

Tezi ya thairodi ni kiungo chenye umbo la kipepeo. Kiungo hichi kipo kwenye shingo chini ya koromeo la sauti. kazi kuu ya Tezi hii ni kuzalisha homoni za (T3) na (T4), ambazo kwa pamoja hufanya kazi ya kurekebisha mzunguko wa damu na kazi

21/06/2021

🌹HOMONI

Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo au homoni za mwanamke hasa estrogeni. Homoni za estrogen husaidia kujenga ukuta na mazingira mazuri kwa ajili ya ukuaji wa kiumbe kinachozalishwa. Mwanamke akishakoma hedhi uzalishaji wa estrogen hupungua sana na ndio maana unaanza kukosa siku zako.

🌹Kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa, kuwa na kiwango kidogo sana cha estrogen husababisha kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi. Kwahivo unapoenda hospitali kishiria cha kwanza kwamba una kiwango kidogo cha estrogeni ni ikiwa unakosa siku zako.

🌹Sababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hedhi na Kuvurugika kwa Mpangilio wa Hedhi.

Ukiachilia mbali ujauzito nakukoma hedhi ambavyo vyote hivi ni vipindi vya kawaida kwa mwanamke kukosa hedhi.

🌹♨️ZIFUATAZO NI SABABU AMBAZO HUPELEKEA MWANAMKE KUKOSA HEDHI

1.MSONGO WA MAWAZO

Kikawaida mwili unapokutana na kitu cha kuogofya ama kinacholeta msongo wa mawazo unatunza nishati kubwa ili kuzielekeza kupambana na changamoto iliyopo mbele yako. Kwa hivo kila mara unapokuwa na msongo wa mawazo utendaji wa shuguli zingine za mwili unapungua na kudhoofika ikiwemo upevushaji wa mayai.

Homoni ya estrogen inapozalishwa kwa kiwa
[6/22, 00:54] PAMPHILIUS: Homoni ya estrogen inapozalishwa kwa kiwango kidogo pamoja na homoni zingine k**a homoni ya LH na FSH ukuta ambao humeguka kila mwezi kutoka pamoja na yai hautajengwa na hivo kupelekea ukose hedhi.

kwanini mwili unapunguza kasi ya upevushaji wa mayai wakati wa msongo wa mawazo?

Mwili unatambua kwamba upo kwenye kipindi cha hatari na unatakiwa upambane ili uishi kutokana na hatari inayokuwa mbele kwa hivo maisha ni kitu cha kwanza ndipo swala na hedhi lifuate. Mwili utatengeneza stress homoni kwa wingi k**a cotisoli na adrenalini ili kukuandaa kupambana, ama kukimbia hatari iliyopo mbele yako.

Fikiria pale unapotembea usiku na ukaona kitu kisicho cha kawaida mbele yako, tazama mwili unavobadilika, sasa mabadiliko ya homoni pale unapokutana na kitu cha hatari

21/06/2021

: 🇹🇿💖🇹🇿📌📌📌

MWANAMKE NA HEDHI

Sababu 8 za kokosa Hedhi na Hedhi Kuvurugika

Mpaka mwisho wa makala hii tayari utakuwa unajua

Jinsi mzunguko wa hedhi unavofanya kazi

Nini kinasababisha ukose hedhi kwa muda mrefu au hedhi yako kuvurugika

Madhara ya kukosa hedhi kwa muda mrefu

Ushauri nini ufanye na

Huduma ya dawa asili kurekebisha hedhi yako

Endelea kusoma kupata mwanga na mafunzo zaidi uboreshe afya yako k**a mwanamke.

🌹WANAWAKE WENGI WANA TATIZO LA KUKOSA HEDHI

Kukosa hedhi au kubadilika kwa mzunguko wa hedhi inaweza kuwa tatizo kubwa kulitatua. Kwasababu hedhi ndio kiashiria chema kuonesha hadhi ya mwanamke. K**a ukikosa hedhi lazima utaanza kupata msongo wa mawazo na kukosa amani.

Kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi huwakumba wanawake wengi sana kwa sasa hasa kutokana na mitindo ya maisha inayopelekea kuvurugika kwa homoni za k**e.

Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo kutoka kwenye tezi na ubongo, kwa hivo ni muhimu kurekebisha mtindo wa maisha unaovuruga homoni zako na kukupelekea kuvurugika kwa hedhi.

🌹HATARI YA KUVURUGIKA NA KUKOSA HEDHI ni KUBWA

Kwa mwanamke ambaye ni mzima wa afya kikawaida hutoa yai moja lililokomaa kila baada ya siku 25 mpaka 28 tayari kwa kurutubishwa na mbegu ya kiume kwenye siku za hatari. Japo mzunguko wa hedhi kwa kila mwanamke unatofautiana, wanawake wengi wenye afya njema mzunguko wao huchukua mwezi mmoja.

Mwanamke anapokoma kupata hedhi kabla ya kipindi chake inaonesha kwamba kuna tatizo la kiafya. Kupata hedhi ya kawaida isiyoambatana na maumivu makali kila mwezi ni kiashiria kwamba homoni zako zimebalansi na mfumo wako wa uzazi unafanya kazi ipasavyo.

🌹HOMONI KUVURUGIKA NI CHANZO CHA KUKOSA HEDHI

Kinyume chake pia ni ukweli kwamba ukiwa unakosa hedhi, hedhi isiyo na mpangilio mzuri, maumivu makali wakati wa hedhi na hedhi kuchukua siku nyingi zaidi ya 7 ni kiashiria kwamba homoni zako zimevurugika. K**a una uhakika kwamba huna ujauzito na unakosa hedhi basi siyo kitu cha kuchukulia

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.pamphilius posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share