28/03/2024
*TATIZO LA MISULI NA MISHIPA YA UUME KULEGEA* - ( *Erectile Dysfunctional* )
+255655562181 / +255769600821
" Hili ni Tatizo kubwa ambalo linawakumba vijana wengi wa Kitanzania kwa sasa na kutishia Uimara wa mahusiano ya kimapenzi.
" *Erectile Dysfunction* -
ni kulegea kwa uume ama kutosimama vizuri kunako pelekea kushindwa kumridhisha mwenz Wako kingono.
" *Erectile dysfunction* ( *ED* ) - Imekuwa Chanzo Cha kuvunjika kwa mahusiano mengi na matatizo ya kisaikologia kutokana na msongo wa mawazo kwa wahanga.
"Kwa Kawaida muhanga wa tatizo la kutosimama uuume na kulegea kwa uume anapaswa Kufuata Yafuatayo:-
1. Apate huduma ya kisaikolojia.
2. Apatiwe Huduma ya kimwili Kwa Kupatiwa Product Maalum za Kusaidia Mwili Kuongeza nguvu na Uimara wa Misuli na Mishipa Ya Damu.
3. Apatiwe produt Maalum Kwa ajili Ya Kuongeza Vichocheo Vitakavyoupa Mwili Msisimko na Kufanya afurahie tendo na apate hamasa ya Kufanya.
" Kuna virutubisho vingi ambavyo vinaweza kukusaidia kuongeza uzajlishaji wa horome ya testosterone na kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
" *Erectile Dysfunction ni nini?
"Ni kupungua ama kutokuwa na uwezo wa kuhimili kusimama kwa uume kwa mda mrefu kwenye tendo la ndoa.
" Ni tatizo kubwa linalowakumba wanaume wengi hasa kwa wanaume wazee. 80% ya wagonjwa wanaofika ofisini kwetu wana tatizo hili na hawawezi kuwaridhisha wanawake wao.
" Kikawaida unapokuwa kwenye tendo la ndoa damu nyingi husukumwa kuelekea kwenye uume na hivo kufanya misuli na mishipa kujaa na uume kusimama.
"Misuli inaposinyaa baada ya kumaliza kufanya ngono basi damu nyingi pia hupungua kwenye eneo la uume.
" Kupungua huku kwa uwezo wa kusimama kwa uume inaonesha kwamba kuna shida ya kiafya, kwa wanaume wachache hali hii huchukua muda mfupi na kupotea kutokana changamoto za kawaida za kimaisha k**a msongo wa mawazo, mwili kuchoka na matumizi ya pombe.
" Lakini kwa wanaume wengi hali hii huendelea kuwa mbaya zaidi kila wanapotaka kufanya ngono.
*MCHANGO WA PICHA ZA NGONO KWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MISULI YA UUME KULEGEA*.
Tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuongezeka kwa tatizo la ED kwa miaka ya hivi karibuni, hii inatokana na upatikanaji wa vifaa k**a simu na kompyuta hivo kuwarahisishia vijana wengi uwezo wa kuingia mtandaoni kiurahisi na kutazama picha za ngono muda wowote.
"Wengi hutazama picha na video za ngono ili kujiridhisha kimapenzi na kupiga punyeto. wanaume wanaoangalia pono wanafadhaika pale wenza wao wanaposhindwa kuwafanyia vitu kwa mtazamo k**a ule kwenye pono.
" Japo kuna mchango wa mitindo fulani ya maisha k**a kuwa na uzito mkubwa na kitambi, lakini kutazama picha chafu za ngono zinaufanya mwili utake msisimko mkubwa sana kuliko uliozoeleka na jinsi mwili ulivoumbwa ili kuamsha hisia, yaani kwa lugha rahisi ni kwamba mwili unakuwa sugu.
"Mazingira gani hatarishi yanayopelekea uwe muhanga wa tatizo hili la misuli ya uume kulegea na kutosimama.
"ED - inaweza kusababishwa na matatizo ya kiafya pamoja mitindo ya kimaisha k**a
Kisukari:
Wanaume wenye kisukari hasa tatizo la muda mrefu wana upungufu wa nguvu za kiume na uume kutosimama kwa nguvu
Shinikizo la damu:
utafiti unaonesha kwamba shinikizo kubwa la damu pamoja na uume kufeli kusimama ni vitu vinavyoenda kwa pamoja.
Matatizo kwenye njia ya mkojo:
matatizo kwenye njia ya mkojo huambatana na dalili k**a kupata mkojo mara kwa mara, kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu ambayo hupelekea kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kufanya ngono kikamilifu.
Uzito mkubwa na kitambi:
Uzito mkubwa na kitambi ni chanzo kikuu kusababisha shida kwenye nguvu za kiume na kulegea kwa jogoo. Kitambi na uzito huvuruga homoni, kufanya mwili kutosikia uwepo wa insulin na hivo kiasi cha sukari kupanda kwenye damu. Kiwango cha sukari kwenye damu kinapokuwa kingi hupunguza utengenezaji wa kichocheo cha testosterone kupungua. Testosterone ndio kichocheo kinachofanya mwanaume kuwa mwanaume kwa kuchochea hamu ya tendo la ndoa na kusaidia uzalishaji wa mbegu.
kuishi kizembe (sedentary life) bila kushugulisha mwili na kufanya mazoezi: Mazoezi ni muhimu kwa wanaume wanaotaka kufurahia tendo la ndoa miaka yote, k**a hukujua hili basi nashauri weka ratiba sasa anza mazoezi mepesi walau mara tatu kwa week.
Umri: Kadiri umri unavoenda kasi na uwezo wa kufanya ngono hupungua kutokana na mifumo mbalimbali ya mwili kuchoka, matatizo moyo, na matatizo ya kisaikolojia na msongo wa mawazo. Pia wazee ni kundi linalotumia dawa nyingi sana na hivo homoni zao kuvurugika.
Kuvuta sigara: wavutaji wa sigara wapo kwenye hatari zaidi ya kupata matatizo ya uzazi na misuli ya uume kulegea
Matumizi ya vidonge vya hospitali kwa muda mrefu,mfano dawa za presha, usingizi, msongo wa mawazo, tezi dume .
"Dawa hizi huweza kupunguza hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kumwaga mbegu, na kushindwa kusisimka.
"Kumbuka Unapotaka kutatua changamoto ya kushindwa kusimama kwa uume, basi hakikisha unalenga chanzo cha tatizo, k**a una uzito mkubwa na kitambi hakikisha unapunguza uzito, k**a ni matatizo ya mfumo wa damu na moyo basi lenga kwenye lishe utaishi kwa raha sana.
HATUA TANO 5 ZA KUIMARISHA MISHIPA NA MISULI YA UUME
Kusimama Na Kuongeza Nguvu Za Kiume.
1. Punguza uzito mkubwa na kitambi : Kitambi na uzito ni adui wa afya yako, si tu katika tendo la ndoa, kitambi ni chanzo cha magonjwa mengine k**a kisukari, presha, ugumba na saratani. katika safari yako ya kupunguza uzito epuka vyakula vya wanga na sukari, tumia zaidi vyakula vya mafuta mazuri k**a samaki, parachichi, nyama, mayai, karanga na n**i.
2. Fanya mazoezi ya kutosha.
Watu wengi wamelemewa na magonjwa kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbali mbali k**a vile ubongo, ini,figo ambazo ndio sehemu zenye kuufanya mwili wako ufanye kazi katika uhalisia wake. Hivyo basi magonjwa mengi ya msunguko wa damu ni pamoja na nguvu za kiume kwani k**a hufanyi mazoezi mwili wako unadhofika na kukosa uwezo wa kuhimili ndoa yako pia inapunguza nguvu za kiume. Basi ningependa kuwa kwa wale wazee siku hizi kuna vituo mbalimbali ambavyo vitakusaidia mwili wako kuwa imara na kurudisha uwezo wako katika tendo la ndoa kupitia mazoezi. Mazoezi huimarisha mwili wako na kuweka mbali mwili wako na maradhi mbalimbali yanayo sababishwa na uzembe. k**a hujui pa kuanzia basi anza na mazoezi mepesi ya kukimbia, kisha jaribu kegel exercise- unapokojoa hakikisha unatoa mkojo kidogo kisha unabana kwa sekunde 10 kisha ruhusu tena, fanya hivo kila unapoenda kukojoa walau mara 10 kwa kila awamu. Kegel exercise husaidia kuimarisha mishipa ya uume.
3. Punguza msongo wa mawaz : matatizo ya kisaikologia k**a msongo wa mawazo huathiri uwezo wako wa kufanya ngono kwa uzuri na kukupelekea heshima ya ndoa kupungua, hivo hakikisha unabalansi kazi za kimaisha zisiathiri tendo la ndoa.
4. Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi, vya kusindika, vyenye vionjo vya sukari, rangi na ladha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume. Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa, matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani. Utafurahia maisha ya kula vyakula asili na utafurahia ndoa yako.
Anza leo rudisha Virutubisho ambavyo vimepotea mwilini mwako Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi k**a zinki, chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi, kwani madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili wako.
"Ukiona mpaka umekumbwa na tatizo hilo ujue mwili umekuwa na udhaifu kwa mda mlefu ili uweze kuludi kawaida kwa haraka zaidi mwili usaidie kuuongezea virutubisho ambavyo vina madini yote muhimu.
" Kwa Muda wa Siku Zisizo pungua 30 mpaka 90 mwili unaludi kawaida na baada ya hapo unaendelea kula vyakula vya asili k**a kawaida huku ukifuata masharti ya ulaji vyakula na kufanya mazoezi ukiwa sawa.
-๐ Kwa Msaada zaidi Wasiliana nasi kwa namba 0655562181 / 0769600821
โข Ku chart Nasi Moja Kwa Moja WhatsApp Bonyeza hapa ๐๐ฟ ๐๐ฟ https://wa.me/255655562181